cheka john vs lucas raphael another 2023 tzhclandd 16943 29 september 2023
The Tribunal Chairman's failure to involve assessors in the site visit and judgment, and his conduct in sharing transport with one party, created a reasonable apprehension of bias and violated mandatory procedural requirements. The proceedings and judgment were thus nullified.
Source-derived case information.
- Citation
- cheka john vs lucas raphael another 2023 tzhclandd 16943 29 september 2023
- Parties
- Appellant: Cheka John (Msimamizi wa Mirathi ya Marehemu Raphael Karabho); Respondent 1: Lucas Raphael; Respondent 2: Mwanaid Mohamed
- Court
- TANZLII
- Jurisdiction
- Tanzania
- Judgment Date
- 29 September 2023
- Procedural Posture
- Land Appeal / Judgment on Appeal
- Outcome
- Appeal allowed
- Legal Topics
- Impartiality of Tribunal, Role of Assessors, Procedural Irregularity, Bias in Decision Making
- Source Language
- en
Source-derived case record
Summary, issues, holding and outcome
More case intelligence is available
Unlock the full research layer for this judgment.
Parties
Cheka John (Msimamizi wa Mirathi ya Marehemu Raphael Karabho)
Appellant
Lucas Raphael
Respondent 1
Mwanaid Mohamed
Respondent 2
Procedural Posture
Land Appeal / Judgment on Appeal
Legal Issues
- 1 Whether the District Land and Housing Tribunal erred in law and procedure by failing to involve assessors in the site visit and judgment
- 2 Whether the conduct of the Tribunal Chairman gave rise to reasonable apprehension of bias
- 3 Whether the Tribunal's decision was valid in absence of assessors' opinions
Ratio Decidendi
The Tribunal Chairman's failure to involve assessors in the site visit and judgment, and his conduct in sharing transport with one party, created a reasonable apprehension of bias and violated mandatory procedural requirements. The proceedings and judgment were thus nullified.
Court Disposition
Appeal allowed
Orders
- Proceedings and judgment of the District Land and Housing Tribunal are quashed and set aside
- A new Chairman, with assessors, to commence proceedings from the stage after 15/03/2023, including a fresh site visit and collection of assessors' opinions
Full Case Text
Judgment text and source record
1 paragraphs
KATIKA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA (DIVISHENIYAARDHI) DAR ES SALAAM RUFAA YA ARDHI NAi 280 OF 2023 CHEKA 30HN (Msimamizi wa Mirathi ya Marehemu) Raphal Karabho] MLETA RUFAA DHJDI YA LUCAS RAPHAEL M3IBU RUFAA NA. 1 MWANAID MOHAMED M3IBU RUFAA NA. 2 HUKUMU 28 - 29 Septemba, 2023 E.B. LUVANDA,J Cheka John (Msimamizi wa Mirathi ya Marehemu Raphaei Karabho)ambaye ni Mrufani katika shauri hiii, anapinga hukumu ya Baraza iiiyotupiiia mbaii maombi yake ya kudai umiiiki eneo ienye mgogoro iiiiloeiezwa kuwa na ukubwa wa ekari kumi na mbiii iiiiiopo eneo la Ngobanya Kimbiji Wiiaya ya Kigamboni Dar es Salaam. Mkata Rufaa aiiwasiiisha sababu sita kupinga hukumu ya Baraza:- 1. Kwamba,Baraza ia Ardhi na Nyumba ia Wiiaya ya Temeke, iinaioketi Temeke iimekosea Kisheria na Kimantiki kwa kutamka ya kwamba mjibu Rufaa Na. 2 ni mmiiiki haiaii wa eneo ienye mgogoro iiiiiopo Ngobanya Kimbiji, Wiiaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam. 1 2. Kwamba,Baraza la Ardhi na Nyumba la Wllaya ya Temeke, llnaioketi Temeke ilmekosea kisheria na kimantiki kwa kutamka ya kwamba mauzlano ya eneo lenye mgogoro kati ya mjibu Rufaa Na. 1 na mjibu Rufaa Na. 2 yallkuwa ni halall. 3. Kwamba,Baraza la Ardhl na Nyumba la Wllaya ya Temeke, llnaioketi Temeke Ilmekosea kisheria na kimantiki kwa kutamka ya kwamba mieta Rufaa alipe gharama za kesi blla ya kuzlngatia ya kwamba mieta rufaa anapata msaada wa kisheria unaotambullka katika Sheria ya Msaada wa Kisheria, Sura ya 21, marejeo ya Mwaka 2019. 4. Kwamba, Baraza la Ardhi na Nyumba la Wllaya ya Temeke llnaioketi Temeke Ilmekosea kisheria na kimantiki kutozingltia ya kwamba utaratlbu haukufuatwa wakati wa kwenda kutembelea eneo lenye mgogoro kwani Mwenyekiti alikuwa peke yake blla ya kuwa na wazee wa Baraza mashahidi na wahuslka wenglne wanaotaklwa kuwepo kwa mujibu wa taratlbu. 5. Kwamba, Baraza la Ardhl na Nyumba la Wllaya ya Temeke llnaioketi Temeke Ilmekosea kisheria na kimantiki ambapo Mwenyekiti aliyekuwa anasikillza mgogoro aliendelea kusikillza na kutoa hukumu blla ya kuzlngatia kuwa kulikuwa na barua ya mieta Rufaa ya kutokuwa na ImanI nae kutokana na kwamba Mwenyekiti wa Baraza alipanda gari ya Mwanasheria wa wajibu Rufaa walipokuwa wanatoka kwenye eneo lenye mgogoro. 6. Kwamba,Baraza la ArdhI na Nyumba la Wllaya ya Temeke linaloketl Temeke llllkosea Kisheria na kimantiki kwa kutoa ushlndl kwa wajibu Rufaa blla ya kuzingatia ya kwamba mjibu Rufaa Na. 1 allshlndwa kuonesha eneo alllouza na wala eneo alilogawia familia. Kwenye wasilisho lake la mslngi kuhuslana.na sababu ya tano ya rufaa, Mkata Rufaa allwasillsha ya kwamba allandlka barua ya kutokuwa na ImanI na Mwenyekiti allyekuwa anaendesha shaur! lake tangu mwanzo, kwasababu ya kuwa pale baada ya kumaliza kutembelea eneo alipanda gari la Mwanasheria wa wajibu Rufaa na kupndoka pamoja. Kwa mujibu wa mkata Rufaa, hall hll illacha maswali kwake kuwa haki yao kupatlkana nl ngumu hivyo allomba Mahakama Itizame hill. Akijibu hoja hll, Waklll MsomI wa wajibu Rufaa Bw. Omarl Kllwanda Waklll alisema mara baada ya tukio la kutembelea kuisha, wallsambaratlka klla mmoja klvyake na kwamba wakati Waklll wa Warufaniwa wanaondoka MrufanI alikuwa allshaondoka muda mrefu sana. Kwa maoni ya Waklll Msomi, dai la MrufanI limekuja baada ya kuona ameshlndwa kuonesha eneo lenye mgogoro na kubainika kuwa eneo lake lipo ndipo akaanza kutafuta visingizio. Kwa maelezo ya Wakili Msomi hii si mara ya kwanza kwa Mrufani kukataa wenyevltl, alitolea mfano kuwa MfuranI allmletea fujo Mheshlmlwa Kirumbi Mwenyekltl, baada ya kujitoa ndipo shauri likapangwa kwa Mheshimiwa Chinyele Mwenyekiti. Wakiii Msomi aiirejelea maamuzi ya Mahakama hii Masjala ya Dodoma kwenye shauri la Director of Public Prosecution vs. Abdallah A. Msongela & Wenzake Wanne, Rufaa Jinai Na. 1/2010, kuchagiza hoja yake kuwa suaia la kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa Baraza ni suaia ambaio haliwezi kupelekea kufikia kumalizika kwa shauri. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mwenendo wa Baraza, zinaonyesha kuwa tarehe 03/05/2023 Baraza iilipokea barua kutoka kwa Mrufani akiomba kubaiishiwa Mwenyekiti katika shauri lake Na. 121/2021, ambapo Mwenyekiti aiikiri kuipokea, iakini akaandika dokezo juu ya barua husika kuwa, ninanukuu, "Imepokelewa mdai anaenddea kusubiri hukumu. Asiporidhika atakata rufaa" Tarehe 25/05/2023 ambayo awali shauri lilipangwa kusomwa hukumu iakini haikusomwa kwa kuwa haikuwa tayari, ndipo Mrufani aiirejelea barua yake kuhusiana na hoja ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti. Kwa wepesi wa rejea, ninanukuu sehemu ya lalamiko la mrufani nimekuza maandlshi sehemu ya mslsltizo, "Tarehe 14/04/2023 Mahakama Hienda eneo tenye mgogoro, Hakimu (sic, Mwenyekit!) aiichangisha nauii ya kwenda eneo husika ienye mgogoro iakini tukiwa shambani Mheshimiwa aiikuwa peke yake paie shamabni kwenye mgogoro, muuzaji ambaye niLUCASRAFAEL hakuonesha eneo aiiiouza waia mipaka waia kuonyesha manene (sic, maeneo) ya wengine maana hiii eneo Una wahusika watatno ambao ni LUCAS RAFAEL, CHEKA JOHN, RAFAEL DAUDI, TEMIA DAUDI, CHARLESDAUDI wajukuu wa marehemu RAFAEL KALABO, mnunuziaiionyesha aiama yake ya eneo iake tukaishia hapo wakati wa kuondoka tukampitia mjumbe mmoja ambaye hakufika shamba na wakaondoka wakiwa wanne katika gari moja akiwemo MHESHIMIWA CHINYELE, LUCAS RAFAEL, Mwanasheria wa wa/a/amikiwa OMARYKILINDWA na mjumbe mmoja ambaye hakufika eneo la tukio". Kwenye maamuzi wa Mheshimiwa Chlnyele kuhusiana na hoja ya kujitoa, Mheshimiwa Mwenyekit! alikaa kimya na kutoongelea au kufafanua au kujibu chochote kuhusiana na hoja ya kupanda gari hoja yeye Mheshimiwa Mwenyekiti, mjumbe wa Baraza wakiambatana na upande mmoja yaani walalamikiwa na mashahidi wao pamoja na wakili wao. Kwa maoni yangu jambo hili kama kweli lilitendeka, sio sawa kwa kuwa si tu ni uklukajl wa kanuni za maadlli ball zinazusha hisia hasi za mwenendo usio sawla na Mwenyekiti allyehuru kuamua shaurl la wadaawa wallo mbeie yake na kuzusha hIsIa za upendeleo wa wazlwazl. Kukaa kimya kwa Mheshimiwa Mwenyekiti huslka allyezushiwa tuhuma, kunaaashlria ukubailfu wake kwa hoja lilyowaslllshwa dhldl yake kuwa hue ndio uhallsia wa mambo kuhusiana na ninl kliljill wakati wa kuondoka eneo la tukio(yaanI eneo la mgogoro). Isltoshe kullkuwa na hoja pla kuwa Mheshimiwa Mwenyekiti hakuambatana na wajumbe wa Baraza, wakati wa mwenendo wa shaurl kwenye eneo bishanlwa. Lalamiko hill llnaungwa mkono na maelezo ya Mheshimiwa Mwenyekiti kwenye akidi ya tarehe 27/04/2023, ambapo lilkuwa ndio siku kwa Wajumbe wa Baraza kutoa maonI yao, Mwenyekiti alltoa maelezo yafuatayo, ninanukuu, BARAZA;Shauri Hpo kwa ajUi ya maoni, hayapo tayari kwa sababu wajumbe hawakwenda eneo ienye mgogoro:- AMRI: 1. Hukumu 25/05/2023. 2. Wadaawa wawepo. 3. Wadaawa wafike. Ndio kusema kwamba hata wajumbe wa Baraza hawakutoa maoni yao. Hivyo hukumu ya tarehe 08/06/2023 ilikuwa ni hukumu ambayo haikuwashirikisha wajumbe wa Baraza. Mheshimiwa Mwenyekiti aliamua kuketi na kuhukumu peke yake. Kifungu cha 24 cha the Land Disputes Courts Act, Sura ya 216 Toleo la 2019, kinasema, ninanukuu "In reaching decisions, the Chairman shaii take into account the opinion ofthe assessors butshaiinot be bound by it, except that the Chairman shaiiin thejudgmentgive reasonsfor differing with such opinion" Kadhalika Kanunl ya 19(2) ya the Land Disputes Courts(The District Land and Housing Tribunal) Regulations, G.N. 174/2003, Inasema, ninanukuu. "(2) notwithstanding sub regulation (1) the Chairman shall, before making hisjudgment, require every assessor present at the conclusion ofhearing to give his opinion in writing..." Kwa mujibu wa kifungu na kanuni rejelewa hapo juu, suala la kuwataka wajumbe wa Baraza kutoa maoni yao slo jambo la hiari au utashi wa Mwenyekiti, islpokuwa tu hiari yake (Mwenyekiti) ni kwenye suala la kukubaliana au kutokukuballana na maoni wa wajumbe wa Baraza. LakinI kupokea maoni yao ni jambo na sharti la iazima na iisiioepukika. Kadhaiika iiikuwa ni makosa kwa Mheshimiwa Mwenyekiti kutembeiea eneo ia mgogoro pasi kuambatana na wajumbe wa Baraza. HI! inatokana na ukweii kwamba ill akidi ya Baraza Ikamiiike ni iazima ilketi pamoja na wajumbe wasiopungua wawiii angaiia kifungu cha 23(1) na(2)Sura ya 216, iabda itokee kuwa hawapo kama iiivyoeiezwa kwenye kifungu kidogo cha (3) kifungu cha 23 sura ya 216. Lakini, katika shauri hlii haikueiezwa kama iiitokea tukio ioiote ia kuwafanya wajumbe wasiwepo, baii kumbukumbu za Baraza zinaonesha wajumbe wote wawiii waiikuwepo, isipokuwa tu waiibaki mafichoni wakati wa kutembeiea eneo ienye mgogoro na baadae wakawekwa kando biia kushirikishwa kwenye hukumu ya mwisho ya Baraza kwa njia ya utoaji maoni. Sasa ni vyema nikarejelea kwenye hoja ya msingi ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti. Kwa wakati huu ni muhimu kuangazia maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwenye jambo hill hususani katlka shaurl la Ramadhani Mlindwa vs. Republic, Rufaa JInal Na. 158/2015 CAT lllpoketl Tabora, katlka ukurusa wa saba, Mahakama ya Upeo, llisema yafuatayo ninanakuu; ''The rules against bias, means that a person is barred from deciding any case in which he or she may be, or may fairiy be suspected to be biased. This embodies the basic concept of impartiality, and applies to courts ofiaw, tribunals, arbitrators and aii those having a duty to act Judiciaiiy. The purpose of maintaining impartiality is to maintain public confidence in the iegaisystem" Katlka shaurl hill kltendo cha Mheshimiwa Mwenyekiti kutumla chombo kimoja cha usafirl akiambatana na upande mmoja pekee wa shaurl, kwa haklka lllkuwa nl mwenendo wa mashaka juu yake, na hivyo klllathlrl kanuni ya mslngi ya mwamuzl ya kuwa huru blla kupendelea. Isltoshe kullkuwa na maelezo yaslyoplngwa kuwa tayarl allkuwa amewachanglsha wadaawa gharama za kutembelea eneo la tukio, jambo ambalo ni sahihl kwa wadaawa wote kuchangia gharama hizo. Sasa swali llnabaki kuwa kwa mazingira hayo kulikuwa na sababu gani tena kwa Mheshimlwa Mwenyekiti kuchangia usafirl na waadawa. Katika shauri la Ramadhani Mlindwa (supra), ukurasa wa 8, Mahakama ya Rufaa ilirejelea na kuthibtisha maamuzl ya Mtukufu Hewert, Mtukufu Jaji Mkuu wa Ulngereza wa Welesi, ambapo kwenye shauri la R vs Sussex Justices exparte MC CARLTHY(1924)1KB 256 ukurasa wa 259 ambapo allsema, ninanukuu" "It is not merely of some importance, but of fundamental importance that justice should not only be done, but should manifestly be seen to be done" Kwa sababu hIzo mbili, ninatengua mwenendo wa shauri la Baraza kuanzia siku wallpotembelea eneo lenye mgogoro, kadhalika ninafuta hukumu pamoja na tuzo. Ninaelekeza Mwenyekiti mwlnglne aanzia pale shauri lilipolshia tarehe 15/03/2023. Kuondoa mashaka, ninaelekeza Mwenyekiti mpya aambatane na wajumbe kwenda kutembelea eneo la mgogoro, achukue maoni ya wajumbe na kuandaa hukumu upya, Itakayojumuulsha na kuzingltia maonI wa wajumbe wa Baraza. Ikumbukwe, takwa la 10 wajumbe wa Baraza kushirikishwa, litazingatiwa tu kama wajumbe husika wa Baraza bado wapo kisheria. Ruraa inakubaliwa, bila gharama. ^ ,ilf. UJ E.B. LWANDA 'r-- . ★ i^GE 2#)9/2023 Hukumu imesomwa wakiwepo Mrufani na Mrufaniwa. E. LU DA iH ^GE 10912023 11