hussein mungi na wengineo dhidi ya mile solution co ltd na mwenzake 2022 tzhcld 698 6 julai 2022
- Citation
- hussein mungi na wengineo dhidi ya mile solution co ltd na mwenzake 2022 tzhcld 698 6 julai 2022
- Status
- Judgment
- Jurisdiction
- Tanzania
- Court
- TANZLII
- Decision
- 1 January 2022
- Posture
- Labour Application / Ruling on Interlocutory Application for Temporary Injunction
- Language
- English
More details
- Court
- TANZLII
- Decision
- 1 January 2022
- Posture
- Labour Application / Ruling on Interlocutory Application for Temporary Injunction
- Language
- English
On this page
Professional case brief
Research organized from the available case record
01
Holding and result
The applicants failed to satisfy the second and third criteria for grant of a temporary injunction. There was no sufficient evidence of irreparable loss that could not be compensated by monetary damages, as the respondent companies are Tanzanian entities with ongoing business and assets. The applicants also failed to show that the balance of convenience favoured them, as there was no proof that the respondents intended to dispose of the property in a manner that would frustrate any future award. Therefore, the application for a temporary injunction was dismissed for lack of merit.
Court disposition
Application dismissed
Orders
- Application for temporary injunction is dismissed for lack of merit.
02
Material facts
Parties
Hussein Mungi
Applicant Counsel: Mussa DaffaAcky Charles
Applicant Counsel: Mussa DaffaDaniel Makundi
Applicant Counsel: Mussa DaffaNelson Ainea Mkumbili
Applicant Counsel: Mussa DaffaClement M. Masele
Applicant Counsel: Mussa DaffaCleopa Swai
Applicant Counsel: Mussa DaffaAniset Midala
Applicant Counsel: Mussa DaffaDamacent Michael
Applicant Counsel: Mussa DaffaJonathan Joas Kabwoto
Applicant Counsel: Mussa DaffaExpery Shio
Applicant Counsel: Mussa DaffaMoses Maganga
Applicant Counsel: Mussa DaffaIbrahim Sarumbo
Applicant Counsel: Mussa DaffaJohn Makas
Applicant Counsel: Mussa DaffaMexon M. Kamuntu
Applicant Counsel: Mussa DaffaFredy Ialele
Applicant Counsel: Mussa DaffaJuma Khamis Machaki
Applicant Counsel: Mussa DaffaJoseph Meena
Applicant Counsel: Mussa DaffaPetro Mpanda
Applicant Counsel: Mussa DaffaUmdati Mghem
Applicant Counsel: Mussa DaffaMile Solution Co. Ltd
Respondent Counsel: Heri ZukuSigmax Co. Ltd
Respondent Counsel: Heri ZukuAmounts and remedies
- Claimed Security Amount: TZS 455,298,247
03
Procedural history
Posture
Labour Application / Ruling on Interlocutory Application for Temporary Injunction
04
Questions and positions
Legal issues
Whether the applicants have met the legal criteria for grant of a temporary injunction against the respondents regarding company property pending determination of the labour dispute
Party arguments
- Applicant
- Applicants argued that there is a pending labour dispute at the CMA involving claims for salaries, leave, and social security contributions, and that they are in possession of company property which the respondents are attempting to recover or sell. They contended that the three criteria for a temporary injunction are met: existence of a serious triable issue, risk of irreparable loss, and balance of convenience in their favour.
- Respondent
- Respondents argued that the applicants have not demonstrated a direct link between the property and the labour dispute, have no legal right to retain the property, and have not shown irreparable loss. They contended that the company is financially sound and any award can be satisfied by monetary means, and that the applicants are wrongfully withholding the property.
05
Court’s reasoning
Legal principles
- 01
Atilio v. Mbowe [1969] HCD 284; Kaare v. General Manager, Mara Cooperative Union 1987 TLR 17; Giella v. Cassman Brown [1973] EA 358
Three criteria for grant of temporary injunction: existence of a serious triable issue, risk of irreparable loss not compensable by damages, and balance of convenience.
- 02
Abdi Sale v. Asac Care Unit Limited, Land Case No. 71 of 2011
All three criteria must be satisfied for a temporary injunction to be granted.
06
Ratio, limits and disposition
Ratio decidendi
The applicants failed to satisfy the second and third criteria for grant of a temporary injunction. There was no sufficient evidence of irreparable loss that could not be compensated by monetary damages, as the respondent companies are Tanzanian entities with ongoing business and assets. The applicants also failed to show that the balance of convenience favoured them, as there was no proof that the respondents intended to dispose of the property in a manner that would frustrate any future award. Therefore, the application for a temporary injunction was dismissed for lack of merit.
Obiter and limits
- The mere existence of a pending labour dispute does not automatically entitle applicants to an injunction over company property.
- The property in question is not directly linked to the subject matter of the labour dispute, which concerns monetary claims.
Court disposition
Application dismissed
- Application for temporary injunction is dismissed for lack of merit.
Source and reliance status
TANZLII · 1 January 2022
This page organises the available record for research. Confirm quotations, current status, and subsequent treatment against the official source before relying on the case.
Judgment reading view
Judgment text
The complete available source text.
TANZLII
Judgment· 1 January 2022
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
DIVISHENI YA KAZI
ILIYOKETI DAR ES SALAAM MAOMBI YA ANUAI NA. 213 YA 2022 (Inatokana na Mgogoro wa Kazi Na. CMA/DSM/KIN/266/2022 katika Tume ya Usuiuhishi Dar es Salaam, Kinondoni)
KATIYA HUSSEIN MUNGI ^LETjy^AOMBI ACKY CHARLES 2 MLEJA MAOMBI DANIEL MAKUNDI 3 MLETA MAOMBI
NELSON AINEA MKUMBILI MLETA MAOMBI CLEMENT M. MASELE 5 MLETA MAOMBI CLEOPA SWAI 6 MLETA MAOMBI ANISET MIDALA. 7 MLETA MAOMBI DAMACENT MICHAEL 8 MLETA MAOMBI JONATHAN JOAS KABWOTO 9 MLETA MAOMBI EXPERY SHIO 10 MLETA MAOMBI MOSES MAGANGAf. 11 MLETA MAOMBI IBRAHIM SARUMBO>. 12 MLETA MAOMBI JOHN MAKAS. 13 MLETA MAOMBI MEXON M. KAMUNTU 14 MLETA MAOMBI FREDY IALELE 15 MLETA MAOMBI JUMA KHAMIS MACHAKI 16 MLETA MAOMBI JOSEPH MEENA. 17 MLETA MAOMBI PETRO MPANDA 18 MLETA MAOMBI UMDATI MGHEM 19 MLETA MAOMBI DH1DI YA MILE SOLUTION CO. LTD 1 MJIBU MAOMBI SIGMAX CO. LTD 2 MJIBU MAOMBI 1
UAMUZI MDOGO K, T. R. MTEULE, J, 30th June 2022 & 06th July 2022 Chini ya hati ya dharura, waleta maombi wamewasilisha maombi katika Mahakama hii wakiomba nafuu zifuatazo:- 1. Kwamba Mahakama hii Tukufu iwe radhi kutoa^mriWaazuio la muda dhidi ya mlalamikiwa wa kwanzawa wa pflt^au kampuni tanzu zake kutohamisha, kutenganish^kuzi^jkua mail tajwa kutoka mikononi mwa waombajL kuuza^au kuondoa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaj^^g® zifuatazo ambazo ni Magari, Pikipiki, Splicing^ftachinb^gr^oja na Laptop, Magari Nos. T 286 DTQ NISSAN X-TIWL,M(§599 CCS TVS 125, T 854 DHW NISSAN PICKUP S^G^ CABIN, T 227 DTL NISSAN XTRAIL, MC 714 BFH, T 852W JlSSAN PICK UP SINGLE CABIN, T 826 DHW NISSaC^M^SINGLE CABIN, MC 403 BFK, T 846 DHW NIS^N^GOPSINGLE CABIN, T 840 DHW NISSAN PICKUP SINGtk.CABIN, MC 703 BFH, T 846 DHQ NISSAN PICKUP ^SINGlOkBIN, SPLICING MACHINE 5 na LAPTOP 8 hadi uamuzi v^mwisho wa suala linalosubiriwa kuamuliwa mbele ya Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Na. CMA/DSM/KIN/266/2022.
2. Kwamba Mahakama hii Tukufu iwe radhi kutoa amri kwa walalamikiwa wa kwanza na wa pili kutoa dhamana mbele ya Mahakama hii sawa na kiasi cha mgogoro, ambazo ni jumla ya 2 Shilingi za Kitanzania 455,298,247/= au mail yoyote sawa au zaidi ya thamani hiyo.
3. Kwamba Mahakama hii tukufu iwe radhi kutoa amri kuwa mali hizo, magari namba za usajili T 286 DTQ NISSAN X TRAIL, MC 599 CCS TVS 125, T 854 DHW NISSAN PICKUP SINGLE CABIN, T 227 DTL NISSAN XTRAIL. MC 714 BFH, T.85’2 NISSAN PICKUP SINGLE CABIN, T 826 DHW NIS^^KCK
SINGLE CABIN, MC 403 BFK, T 846 DHW NISSAN PI®UP SINGLE CABIN, T 840 DHW NISSAN PICKUP^I^E^CABIN, MC 703 BFH, T 846 DHQ NISSAN PICKls^Ml^ CABIN, SPLICING MACHINE 5 na LAPTOP S^adi^^Mtaklpotolewa uamuzi kamili wa mwisho katika mgogqrp namb^^lA/DSM/KIN/266/2022.
4. Kwamba Mahakama^fh TukiWrwe radhi kutoa amri za kumzuia mlalamikiwa wa^kwanza^na wa pili kuendelea kuwapokonya mali hizo toka ky^W^tgJriaombi hadi pale shauri litakapoamuliwa katife^ffme^a^^Jluhishi na Uamuzi (CMA).
5. Gharamazasmaombi haya. 6, nyinqine yoyote ambayo Mahakama hii tukufu itaona inafaa kuutoa. Maombi yaliambatana na hati ya kiapo cha waleta maombi kilichoeleza kisa cha madai yao yaliyofunguliwa Tume ya Usuluhishi kuwadai wajibu maombi mishahara, likizo na michango ya hifadhi ya jamii huku wakidai ukiukaji wa makubaliano ya kimkataba. Kiapo kimeeleza pia 3 kuwa waleta maombi wamekabidhiwa vifaa tajwa kama vitendea kazi ambavyo vipo chini ya uangalizi wa waleta maombi. Waleta maombi wameomba mali hizo ziendelee kukaa kwao badala ya kuuzwa na wajibu maombi kama walivyoanza kufanya. Waleta maombi wameeleza pia kuwa wamepokea barua pepe ya wajibu maombi kuwataka warejeshe mali zote za kampuni zilizopo mikononi mwao. Maombi yalisikilizwa kwa mdomo, ambap^w^tal^aombi waliwakilishwa na Wakili Mussa Daffa na MWakilishi Bfnafsi Pascal Temba. Wajibu maombi waliwakilishwa na W^ili FferbZuku. Wakili Mussa Daffa, baada ya kuomba^japp cha waleta maombi kiwe sehemu ya maelezo yake, aljfSjea %esi ya Atilio dhidi ya Mbowe 1969, HCD, 284 pamoja keskya Kaare Vs. General Manager, Mara Cooperative Union 1987 TLR 17 ambazo zina niwongozo wa kuzingati^^i^a kuruhusu maombi ya zuio la muda. Alisema kesi zot^^b^^^eka vigezo vitatu (3) vya kuzingatia ili Mahakama^i^^^^^zuio kwa muda. Vigezo hivyo ni:- ^Ku^^i^Jkesi ya msingi inayohitaji kuamuliwa ambayo mleta ^maombi^ana nafasi kubwa ya kushinda.
2) Kuwa kuna hasara kubwa inayoweza kujitokeza.
3) Katika mizania, mleta maombi ataumia zaidi kama maombi yatakataliwa kuliko mjibu maombi kama maombi yatakubaliwa. 4 Akianza na kigezo cha kwanza, Wakili Daffa alieleza kuwa kwa mujibu wa kiapo cha waleta maombi aya ya 7 kuwepo kwa mgogoro wa kikazi wenye namba CMA/DSM/KIN/226/2022 kunahalalisha kigezo cha kwanza kwani mishahara na likizo ni kitu cha msingi katika mikataba ya kazi. Alisema kuwa kuna madai hayo basi Mahakama hii ione kwamba kuna kesi ya msingi ya kuamuliwa. AlitahadbarisKa kuwa siyo jukumu la mleta maombi kuingia ndani kujadili^Affiuzi ^a J^esi ya msingi. Kuhusu kigezo cha pili kinachozungumzia hBa^fejipwa anayoweza kupata mlalamikaji, Wakili Daffa a^^r^\kuwa walalamikiwa wameanza kuuza baadhi ya mali IzaB^^^zo kimsingi ndio mali zinazofahamika kwa walala^ikaji ^\ajfcipo kwenye mikono ya walalamikaji wakizitumia k^an^^a^ Alitaja mojawapo ya mali hizo kuwa ni magari ambayowajibu maombi wana kadi zake za umiliki, na kusema ni rahisi ^u^^^^ufariya uhamisho (transfer). Ni rai ya Wakili Daffa l^vafeiba^aialamikaji watapata hasara kubwa endapo kesi ya Tum^yax^Jsuluhishi itawapa ushindi waleta maombi mali hizi zikiwa zimesjiauzwa kwani hawatakuwa na chochote cha kukazia tuzo. Kuhusu^^zo cha tatu, Wakili Daffa aliwasijisha hoja kuwa waleta maombi wako katika hatari kubwa zaidi ya hasara kubwa kama maombi haya yatakataliwa ikilinganishwa na hasara watakayopata wajibu
maombi kama maombi haya yatakubaliwa. Ana maoni kwamba, ikiwa maombi yatakubaliwa, mali zilizotajwa zitaendelea kuwa salama, ila kama yatakataliwa, wajibu maombi wakaruhusiwa 5 kuendelea kuziuza au kuzihamisha, waleta maombi hawatakuwa na mali yeyote watakayotumia kukaza hukumu. Aliendelea kueleza, kinyume chake ikiwa maombi yatakubaliwa na waleta maombi wakashindwa katika kesi ya msingi, wajibu maombi wataendelea kuwa wamiliki wa mali zao. , Wakili Daffa alirejea maamuzi ya Mahakama hii^^ka<^ ya^Alex Lazaro Mjoge na wengine 104 Vs. Fastger^Akline^td. & mwenzake, Misc. Appl. No. 205 ya 2019%a^kuelez^kuwa katika mazingira kama haya Mahakama iiiwazuia ^ji^^giaombi kuuza au kuhamisha mali. Aliomba maombi yaruh^^^ra^Iahakama itoe amri kuwa mali zisiuzwe hadi Tum^amu^^s^ao^ingi. Mwakiiishi Binafsi Pascal Tenfoa, apogeza kuwa uwezekano wa waleta maombi kushinda<<katika snailli lililopo Tume ya Usuluhishi ni mkubwa kutokana najwejx^va mishahara ambayo haijalipwa kwa waleta maombi. Katika ma^^^e, Wakili Heri Zuku, aliyemwakilisha Mjibu maombi namba ^^i^^^iapo kinzani kipokelewe kama sehemu ya shauri wasilisfto la^ewlikubaliana na wasilisho la Wakili Daffa kuhusu vigezo vitatu vi^oainishwa na iii kuruhusu ombi la zuio la muda. Kwa maoni yake, vigezo hivyo vinatakiwa viwepo vyote kwa pamoja. Alirejea kesi ya Abdi Sale Vs. Asac Care Unit Limited na wengine. Land Case No. 71 of 2011 uk. 9,
ambapo Mhe. Jaji Muruke alisema vigezo hivi lazima viwepo vyote kwa pamoja. Ni maoni ya Wakili Zuku kuwa si vigezo vyote vimekidhi matakwa ya sheria. 6 Akianza na kigezo cha kwanza, alieleza kuwa haitoshi kusema kuna kesi Baraza la Usuluhishi ball waleta maombi walitakiwa waonyeshe kesi hiyo inahusiana vipi na mali wanayoiombea zuio. Alisema kiapo cha waleta maombi hakina mahali popote kinanpoonyesha uhalali wa waleta maombi kukaa na mali za wajibu maombi kwani madai yao hayajathibitishwa na M§ha$aha yoyote. Aliwasilisha hoja kuwa Mahakama hii haiwezi kutoa nhuu yq^lio kwa waleta maombi ambao wameamua kukaa %a> mali oila idhini ya mwenye mali. Alirejea Kielelezo S2 aJbachojni bafua pepe inayoeleza zaidi kitendo cha waleta ma^oi^kaa na mali ya mjibu maombi bila idhini, aliwasilishaJ<uwafhdtjJngogoro unatengenezwa na waleta maombi bila sababu maana hakunalkesi ya msingi CMA. Kuhusu kigezo cha pili, Akili ZiSicui alisema kuwa hakuna hasara yoyote ambayo waleta nraomty, wanaweza kupata kwa Mahakama hii kukataa ombi la ^iS^^a^hakuna uthibitisho wowote katika kiapo kuonyesh^^va^iji^® maombi Na. 2 ameanza kuuza mali. Kwa maoni yake,/Kigezo hakijaonyesha kama waleta maombi watapata hasara yoyotelcama maombi yao hayataruhusiwa. Mpaka sasa mjibu maon^anapata hasara kwa waleta maombi kuendelea kushikilia mali zake bila idhini yake. Kuhusu kigezo cha tatu, Wakili Zuku aiwasilisha hoja
kuwa, kwa vile waleta maombi wameshikilia mali za wajibu maombi bila idhini ya mwenye mali, basi hawawezi kuapta hasara endapo maombi yao yatakataliwa. Alitoa hoja kuwa pia wajibu maombi hawajaieleza 7 Mahakama kama watashinda kesi fidia ya fedha haitakuwa stahiki halali kwao. Alipinga uhusika wa kesi ya Fastjet katika shauri hili akisema kuwa kesi hii ina utofauti na kesi iliyoko mbeie ya Mahakama. Alisema kwenye kesi ya Fastjet mali zilikuwa chini ya usimamizi wa mjibu maombi wakati katika shauri hili waleta maombi^wa^omba., zuio kwenye mali wanayoishikilia wenyewe kinyume na uaratitML Mwisho Wakili Zuku alitoa hoja kuwa kwajlk wajibu maombi ni kampuni halali ya kitanzania inayomilikiwwia watanzania kama iliyvoainishwa katika kieleiezo cha^Ai'apo %nSni - S 4, endapo kutatokea tuzo itakayowataka^^jibam^n™ walipe waleta maombi. mjibu maombi ana nguvu ya^fedh^ma kampuni inaendeiea na ,. , ... .. . -i ■ biashara. Wakili Zuku alimalizia kwa kuomba kuwa kwa vile vigezo vyote vitatu havijakidlM^naonl^i yatupiliwe mbali. Mawakiii <^/va waji^^iaSibi walifanya majumuisho ambayo pia yatazingawaS^ika^uamuzi huu. Kutfekana naimawasilisho ya wadaawa, Mahakama inaona kuwa kuna hoja mpja^ya kujibiwa katika maombi haya. Hoja hiyo ni kama waleta maombi wameweza kutoa sababu za msingi za kuishawishi Mahakama kuruhusu ombi la zuio la muda. Suala la zuio la muda limetolewa maelekezo katika sheria
hukumu nyingi katika Mahakama zetu miongoni mwa hizo zikiwa ni kesi zifuatazo:- Atilio vs. Mbowe [1969] HCD 284; Suryakant D. 8 Ramji vs. Savings and Finance Ltd. & 3 Others, High Court Commercial Division, Dar Es Salaam, Civil Case No. 30 of 2000 (Unreported); E. AS Industries Ltd. Vs. Trufood Limited [1972] Ea. 420; Giella vs. Cassman Brown [1973] E.A 358; Colgate Palmolive Company Vs. Zakaria Provisional Stores & 3 Others, High Court, Dar Es Salaam, Civil CaseNcML of 1997; na CPC International Inc. Vs. Zainabu Grain|Miliers^Ltd.^Civil Appeal No. 49 of 1999 [CA]. . V* Kimsingi, vigezo vilivyozungumzwa katika^fesi^rizi ni vile vitatu vilivyoongelewa na wadaawa katika maonQbi^a^ambavyo ni:- 1) Kuwepo na kesi ya msirfgi ina^ohitaji kuamuliwa ambayo mleta maombi ana nafas kubwa^ya kushinua.
2) Kuwa kuna hasaraskiMwa inayoweza kujitokeza.
3) Katika mizaniaWnleta maombi ataumia zaidi kama maombi yata^^iw^ku^p mjibu maombi kama maombi yatakubaliwa. Nakubali&n^a^kili wa mjibu maombi kuwa ni msimamo wa sheria kwamba vigez^ hivi ni lazima viwepo vyote kwa pamoja ili kukidhi kuishaw^i^lahakama kuruhusu maombi ya zuio la muda. Tukianza na kigezo cha kwanza, haina ubishi kwamba kuna shauri Tume ya Usuluhishi ambalo linasubiri kuamua mgogoro wa kikazi kati ya wadaawa. Nakubaliana na wakili wa mleta maombi kuwa, hata katika maombi haya kuna ubishi unaojitokeza kuhusiana na kuwepo 9 kwa shauri katika baraza la usuluhishi. Na pia nakubaliana na mleta maombi kuwa uwepo wa uwezekano wa kushinda si jambo la kuweza kuamuliwa katika hatua hii. Kwa vile ye yote anaweza kushinda katika shauri la tume, ijulikane tu kwamba hata mleta maombi anaweza kushinda. Itoshe tu kusema kuwa kwa vile hakuna ubishi kuwa kuna shauri Tume ya Usuluhishi, basi kigezo cha kwanza kimetimia. Kuhusu kigezo cha pili cha kuwepo kwa hasara Kubwa k\^#waleta maombi, ni msimamo wa sheria kuwa hasara^hiyo ni lazima iwe ni hasara isiyoweza kufidiwa kwa namna yoyo||. Mojg^ ya kesi iliyotoa msimamo huu ni Kaare vs. General Mariage^Mara Cooperation Union [1924] Ltd. (1987) TLR 17?^^J^ Nakubaliana na mawasilisho ywiletajrrfaombi kuwa mjibu maombi ni kampuni ya kitanzania, ina^bmilikiWna watanzania na inayoendelea na biashara nchini.^^i^b^ili halijabishaniwa.
Sijaona maelezo yanayotosha kutoka^kwa^gleta maombi kuwa nje ya mali wanazotaka zitolewe ftiiotffa^huz^a, wajibu maombi hawana uwezo mwingine klfedha a®kimalLambao utamwezesha kulipa waleta maombi kama wata^indafcizo. Kwa msingi huu, na kwa vile kampuni na wamiliki wote rw^rtanzania, naona hakuna maelezo ya kutosha kuonyesha ni kwa jinsi gani waleta maombi watapata hasara isiyoweza kufidiwa kwa fedha au namna nyingine nje ya mali wanazotaka zisiuzwe. Ukazaji wa hukumu una njia nyingi ikiwemo kuwakamata wadeni tuzo, hivyo kwa wadaiwa ambao ni watanzania, sioni sababu ya hofu upande wa waleta maombi. 10 Kuhusu kigezo cha tatu, ni nani atapata hasara kubwa kati ya waleta maombi kama maombi yatakataliwa au wajibu maombi kama maombi yataruhusiwa, inaonekana kila upande unaweza kupata hasara. Hata hivyo, hakuna mahali wajibu maombi walipotoa maelezo ya kina kuonyesha ni viashiria gani vimewafanya wahisi kuwa mali walizotaja zina mpango wa kuuzwa. Hakuna kieleiezo chochote kar^atangazo la mauzo au mazungumzo na wanunuzi ambaygF^mejitoteza na kuelezewa na waleta maombi kusababisha h^fu ya uuz^ajrwa mali hizo. Kukosekana kwa maelezo haya kunaiwekaWlahakama hii katika hatari ya kuruhusu mali zinazotumika katikp^eiidesha kampuni kuwa mikononi mwa waleta maombi na^u^i^^gsjiia kampuni kufilisika jambo ambalo haiiwezi kur^^bika^^^iisi. Mpaka sasa hakuna ushahidi wowote kuonyesha Kama I^mpuni
ya mjibu maombi ina mwelekeo wa kufilisika ^(|vyo kujOushindwa kuiipa deni tuzo kama waleta maombi watasJaM^uligwa. Ikumbukv^e pip^Wamba^mali zilizokamatwa na waleta maombi, hazina uhusbiw'raTrhoja kwa moja na madai yaliyopo katika Tume ya Usujuhisf^^ac^i^t tume yanahusu fedha, ambazo kuiipwa kwake, si lazima^^utokane na mauzo ya mali walizoshikilia. Mali hizo hazina mgogoro^Wa umiliki katika Mahakama yoyote, hivyo sioni sababu ya kumkataza mwenye nazo kuzitumia kwa kadiri atakavyoona inafaa. Kutokana na uchambuzi huu, hata kigezo cha tatu hakijajitosheieza kuishawishi Mahakama hii kutoa amri ya zuio. 11 Katika hatua hii, nimeona ni vema kuweka wazi kuwa, ingawa maombi ya faragha yalikuwa pia na ombi la kuomba wajibu maombi kulipa SHS 455,298,247. Hata hivyo, wadaawa hawakuliongelea jambo hili katika mawasilisho yao hivyo na mimi sitalizungumzia. Baada ya kuona kuwa kigezo cha kwanza na cha pili cha maombi hakijajitosheleza, naona waleta maombi hawajawe^alkul^^sababu za msingi kuifanya Mahakama itoe amri ya zuio dhic/^®jil^^f^ombi. Hivyo hoja kama waleta maombi wameweza kutolhsababu za msingi za kuishawishi Mahakama kurdSiusu^onibi la zuio la muda inajibiwa kinyume chake wajibu maombi wameshindwa kuishawishi M^akar^^k^a^Kuna sababu za msingi kuiwezesha kutoa amri ya zuicSdhidi ya^w^ibu maombi. Kwa sababu zilizoelezwa, I^ombun^a yanatupiliwa mbali kwa kukosa msingi. Imeamriwa Imetolewajeo tarlhe^6Julai, 2022, Dar es Salaam. iTARINA REVOCATI MTEULE
JUDGE 06/07/2022 12
Case-aware research
Ask AI about this case
The judgment and available research above are public. New questions open in a separate private conversation grounded in this case.