nisile mwalusama mchapi vs salvation army tanzaniaterritory 2021 tzhcld 47 19 machi 2021
- Citation
- nisile mwalusama mchapi vs salvation army tanzaniaterritory 2021 tzhcld 47 19 machi 2021
- Status
- Judgment
- Jurisdiction
- Tanzania
- Court
- TANZLII
- Decision
- 1 January 2021
- Posture
- Application for Revision / Final Judgment
- Language
- English
More details
- Court
- TANZLII
- Decision
- 1 January 2021
- Posture
- Application for Revision / Final Judgment
- Language
- English
On this page
Professional case brief
Research organized from the available case record
01
Holding and result
No sufficient evidence of continued work after contract expiry; contract terminated automatically as per regulation; applicant received notice and certificate of service; no grounds to revise CMA decision.
Court disposition
application dismissed
Orders
- CMA decision affirmed
- No further relief granted
02
Material facts
Parties
Nisile Mwalusama Mchapi
Applicant Counsel: Denis MamkwalaSalvation Army Tanzania Territory
Respondent Counsel: Avitus RugakingiraAmounts and remedies
- Notice Payment: TZS 1
03
Procedural history
Posture
Application for Revision / Final Judgment
04
Questions and positions
Legal issues
- 01
Whether the employment contract was renewed by conduct after expiry
- 02
Whether termination complied with legal requirements for operational needs
Party arguments
- Applicant
- Applicant argued that continued work after contract expiry and payment of health insurance evidenced renewal; termination was for operational requirements without proper procedure.
- Respondent
- Respondent argued contract expired automatically on 31/03/2018 with no renewal clause; applicant failed to prove continued work after expiry; notice and certificate of service were paid.
05
Court’s reasoning
Legal principles
- 01
Regulation 4(2)(3), Employment and Labour Relations (Code of Good Practice) GN No. 42/2007
Fixed-term contracts terminate automatically unless renewed; renewal may occur by default if employee continues working after expiry and circumstances warrant it.
- 02
Section 38, Employment and Labour Relations Act, Cap 366 (as amended 2019)
Termination for operational requirements must follow procedures outlined in the Employment and Labour Relations Act.
06
Ratio, limits and disposition
Ratio decidendi
No sufficient evidence of continued work after contract expiry; contract terminated automatically as per regulation; applicant received notice and certificate of service; no grounds to revise CMA decision.
Obiter and limits
- Applicant selectively relied on parts of termination letter; contract expiry and non-renewal were clearly communicated.
Court disposition
application dismissed
- CMA decision affirmed
- No further relief granted
Source and reliance status
TANZLII · 1 January 2021
This page organises the available record for research. Confirm quotations, current status, and subsequent treatment against the official source before relying on the case.
Judgment reading view
Judgment text
The complete available source text.
TANZLII
Judgment· 1 January 2021
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA KAZI DAR ES SALAAM. MAOMBI YA MAREJEO NA.221/2019
BAINA YA MLETA<MAOMBI NISILE MWALUSAMA MCHAPI..................... NA ■^1 SALVATION ARMY TANZANIA TERRITORY.....tMJIBU MAOMBI V HU KU MU a W I ■ i Tarehe ya mwisho ya Amri:02/03/2021 Tarehe ya Hukumu:19/03/2021 Z. G. Muruke. J. Nisile Mwalusama Mcfoapi fhleta maombi, aliajiriwa na mjibu maombi kama muhasibu/iwa.mradi mnamo tarehe 01/04/2017 kwa mkataba wa mwaka mmojasuiiokuwa unaisha tarehe 31/03/2018. Katika Vi mkataba huo waljkubajiana kuwa mjibu maombi angemlipia bima ya afya kila mwaka, (^ia>kwa atakayetaka kusitisha mkataba huo, atatoa taarifa.ya{mwezixmmoja juu ya nia ya kusitisha mkataba huo. Ni madai y^^mlefii^maombi kwamba, aliendelea kufanya kazi hadi tarehe 05/04/2018 alipopewa barua ya taarifa ya kusitisha mkataba wake iliyokuwa imeandikwa tarehe 26/03/2018. Hakuridhika na kuachishwa huko kazi hivyo alipeleka mgogoro wake katika tume ya usuluhishi na uamuzi hapa (CMA) itajulikana kama tume. Uamuzi wa tume ulikuwa upande wa mjibu maombi. Mleta maombi hakuridhishwa na uamuzi huo ndipo alileta maombi haya ya kutengua uamuzi wa tume kutokana na sababu zifuatazo; 1 i, Muamuzi alikosea kisheria na kwa kushindwa kuzingatia kwamba mleta maombi aliachishwa kazi tarehe 05/04/2018. ii. Muamuzi alikosea kisheria kwa kushindwa kuzingatia kwamba kitendo cha mjibu maombi kumlipia bima ya afya hadi tarehe 30/03/2019 ni ushahidi kwamba mkataba ulikua ni halali. Maombi haya yaliungwa
mkono na kiapo cha mleta maombi mwenyewe. Katika kupinga maombi haya, mjibu maombi aliletakjapo kinzani kilichoapwa na Avitus Rugakingira ambaye ni wakilhyvake. Kwa ridhaa ya mahakama shauri hili lilisikilizwa kwa njia^a maandishi. Mleta maombi aliwakilishwa na Denis Mamkwala, muwakilishi^binafsi, wakati 4s 1 CK-"" mjibu maombi aliwakilishwa na wakili Aviatus^Sugakingira. Katika mawasilisho yake muwakilishi waknleta maombi aliachana na sababu ya pili na kuwasilisha maelezo. ya sababu ya kwanza tu. Mwakilishi wa mleta maombLdliefeza kwamba, muamuzi ameshindwa kuzingatia ushahidi uliotolewa^kWamba mleta maombi aliachishwa kazi tarehe 5/4/2018.^ Mleta Maombi aliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja ulimalizika^ tarehe 31/03/2018 kama kielelezo Pl ambao rw (mkataba wagajira^kinavyoonyesha. Lakini mleta maombi aliendelea kufanya kazi^hacli tarehe 5/4/2018 alipopewa barua iliyokuwa imeandiKwa^tarehe 26/03/2018 (kielelezo P4). Kwa hali hiyo ni wazi kwambaMs,mkataba wao ulihuishwa kwa kitendo cha mleta maombi kuendelea kufanya kazi baada ya muda wa mkataba kuisha. Kama mjibu maombi hakua na nia ya kuhuisha mkataba wao hakua na haja ya kutoa notisi kwasababu mkataba wao ulikuwa umebainisha tarehe ya kumalizika. 2 Muwakilishi wa mleta maombi alieleza zaidi kwamba, katika barua hiyo ilielezwa kwamba sababu ya kusitisha mkataba huo ni marekebisho ya idara ya fedha na miradi, hivyo kubeba
taarifa mbili za marekebisho na kuachishwa kazi. Kwasababu hiyo ni wazi kwamba mjibu maombi alidhamiria kumuachisha kazi mleta maombi bila kufuata taratibu za uachishwaaji kazi kwa sababu ya mahitaji ya kiutendaji(operational requirement) kama ilivyoelekezwa katika kifungu cha 38Icha Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini, Sura ya 366 kama ilivyorekebishwa'mwaka ';' 2019) (hapa itajulikana kama Sura ya 366 marejecrya 2019). Kutokana na hayo mleta maombi alisitishiwa mkatate^val^^pili isivyo halali. Alimalizia kwa kuiomba mahakama itengue uamuzLfiuo wa tume ili haki ionekane kutendeka. M Ok Kwa upande wake wakili wa mjjbu maombi alieleza kwamba, mkataba kati yao ulimalizika^ tarehe 31/03/2018 kama ilivyoinishwa katika mkataba. Mkataba ^Lb^aukuwa na makubaliano ya kuuhuisha, hivyo ulimalizika baada^y&kufika muda wake wa ukomo,alirejea Kanuni ya 4(2) ya Sheria^ya^Ajira na mahusiano(Kanuni za utendaji bora),Gazetya?SeriKali-Namba 42/2007(Kanuni za utendaji Bora). Zaidif wakiti^Rugakingira alieleza kwamba, mleta maombi ameeleza kw&mba^alie'ndelea kufanya kazi hadi tarehe 05/04/2018 alipopokea notisi -kufiusu kumalizika kwa mkataba. Hakuna ushahidi wowote uliotolea kuthibitisha kwamba mleta maombi alifanya kazi hadi tarehe hiyo. Aliiomba Mahakama itupilie mbali maombi haya kwa kukosa mashiko. 3 Baada ya kupitia maelezo kinzani ya wadaawa, mahakama ilikuwa na hoja za kuamua kama
ifuatavyo; i. Endapo mkataba wa wadaawa ulihuishwa? ii. Nini nafuu za pande zote. Katika kujibu hoja ya kwanza, ni wazi kwamba mleta maombi aliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja ambao muda wake uliisha tarehe 31/03/2018. Ni madai ya mleta maombi kwarnba baada ya^muda kuisha mkataba huo ulihuishwa kwa sababu aliendelea/kufan^kazi hadi tarehe 05/04/2018. a \ Kanuni ya 4(2)(3) ya Kanuni za Utendaji Bofalimeeleza kwamba; 4(2) "Where the contract is a fixed term Contract, the contract shall terminate automatically when the agreed period expires, unless the contract provided otherwise?. v 4 (3) "..... a fixed terrr^contract^may be renewed by default if an employee continues^to\rork- after the expiry of the fixed term contract and circumstances warrant it." Kwa tafsiri^yaMCiswahili ni kwamba, pale ambapo mkataba niwa mudatmaalum,^mkataba utamalizika moja kwa moja pale muda walio kukubaliana^tiriapofika ukomo. Pia mkataba huo utakuwa umehuishwa iwapo%muda wake umeisha na muajiriwa akaendekea kufanya kazi na mazingira yanaruhusu hivyo. Mahakama imepitia kumbukumbu na kuona kwamba zaidi ya barua(kielelezo P4) ambacho hinaonyesha mleta maombi alisaini notisi hiyo tarehe 05/04/2018,hakuna ushahidi ' mwingine unaothibitisha kwamba mleta maombi aliingia kazini na kufanya majukumu yake toka 4 tarehe ya kumalizika kwa mkataba huo. Kusaini tu katika barua hii haitoshi kuthibitisha kuwa aliingia
kazini baada ya kumalizika kwa mkataba huo. Ni matakwa ya kisheria kwamba yule anaelalamika anapaswa kuthibitisha lalamikao lake. Pia mleta maombi ameeleza kuwa mjibu maombi alidhamiria kumuachisha kazi kwakua barua hiyo ya notisi imeeleza sababu ya kuachishwa kazi huko kuwa ni marekebisho ya idara^ya fedha na miradi. Hivyo aliachishwa kazi kwa mahitaji ya kiuencfeshaji bila kufuata ax taratibu zilizoainishwa katika kifungu cha 38^€cha "Sura ya 366 & W marejeo2019. Kwa urahisi wa rejea nina nukuu barua^hiyo; The Salvation Army Tanzania Territory____ PROJECT OPFiee P.O. Box 1273
DAR EB SALAAM
TANZANIA Telephone: **255764331415 *255763304448 E-mail: rntisnmaaalawataeTnml.com 26.03.2018 Nisile Mwasutama Project Accountant Tanzania Territory DenrNhile Mwasulama RE: NOTE CL OE-YOUR CONTRACT ASJ-ROJECT ACCOUNTANT. As the heading above states I would like to inform j*ou that your Contract will be ending up by 3 I"' March 3018. The decision has been made to not renew your contract us Project Accountant. By tills letter wc arc giving you 30 days as u notice. The reason is the restructuring of both the Finance Department and the Projects Departments. Please acknowledge this os an ollie tai letter ofyour contract termination. Vour salary of April 2018 will be paid in full and the end of your contract will be 31.03.2018. We take this opportunity to lluink you ail for the great work done and regret for losing such n sincerely and hard working employee. Wc will definitely contact you fbr any suitable profile for you in future. We have your contact details with us. If there ts any change with your contact details please let us know. We wish you all the best for your career. Yours Sincerely Musa Magalgwa Major Project Officer 5 Ukiangalia aya ya kwanza ya barua hii, iko wazi kabisa kwamba mkataba huu utaisha tarehe 31/03/2018 na muajiri alieleza wazi nia ya kutohuisha mkataba wao baada ya kumalizika. Na sababu ya kutohuisha mkataba huo ni marekebisho katika idara za fedha na
miradi. Lakini mleta maombi kwa matakwa yake binafsi alichagua kutoona aya ya kwanza na ku ng'ang'ana na aya ya pili ya sababu. Kama ambavyo tume imeamua, ni dhahiri kwamba mkataba huo hauktffiuisfiwa kama anavyodai mleta maombi. Katika hoja ya pili, baada ya kuamua^^^^bakukuwa na kuhuishwa kwa mkataba, ni dhahiri kwai^gst^h^f^lizonazo mleta maombi ni malipo ya notisi na cheti cha utu^shi, ambavyo hakun a ubishi kwamba alikwisha lipwa. Minajil^^^^basi, mahakama hii haioni sababu ya msingi ya kutengua uamu^vatume. Kwa mazingira hayo^maqgbi haya yanatupiliwa mbali kwa kukosa mashiko.Uamuz^a^ume umethibitishwa. Imeamriwa hivyo. 19/03/2021 Uamuzi^huu umesomwa mbele ya mleta maombi mwenyewe na Avitus Rukakingira, Wakili wa mjibu maombi. Z. G. Muruke
JAJI 19/03/2021 6
Case-aware research
Ask AI about this case
The judgment and available research above are public. New questions open in a separate private conversation grounded in this case.