proguards security services vs wadhifa yanda bashiru 2021 tzhcld 75 16 aprili 2021
- Citation
- proguards security services vs wadhifa yanda bashiru 2021 tzhcld 75 16 aprili 2021
- Status
- Judgment
- Jurisdiction
- Tanzania
- Court
- TANZLII
- Decision
- 1 January 2021
- Posture
- Labour Revision / Judgment
- Language
- English
More details
- Court
- TANZLII
- Decision
- 1 January 2021
- Posture
- Labour Revision / Judgment
- Language
- English
On this page
Professional case brief
Research organized from the available case record
01
Holding and result
The applicant failed to prove that the respondent abandoned work or was lawfully terminated without notice. The Commission correctly found the termination unfair and awarded compensation for the remaining contract period and notice pay.
Court disposition
Application dismissed
Orders
- Commission's award confirmed
- Applicant to pay respondent three months' salary and one month in lieu of notice, totaling TZS 400,000
02
Material facts
Parties
Proguards Security Services
Applicant Counsel: William MakajaWadhifa Yanda Bashiru
RespondentAmounts and remedies
- Total Compensation Awarded: TZS 400,000
03
Procedural history
Posture
Labour Revision / Judgment
04
Questions and positions
Legal issues
- 01
Whether the respondent was unfairly terminated
- 02
Whether the respondent was entitled to notice pay during probation
- 03
Whether the Commission's decision was correct
Party arguments
- Applicant
- The respondent abandoned work by not reporting and keeping the uniform, thus self-terminated. The employment contract allowed termination during probation without notice. The Commission erred in awarding notice pay and was biased in accepting the respondent's evidence.
- Respondent
- The applicant failed to prove absenteeism. The contract violated legal requirements regarding probationary termination. The respondent was entitled to compensation as per the law and the applicant cannot benefit from their own wrongs.
05
Court’s reasoning
Legal principles
- 01
Employment and Labour Relations (Code of Good Practice) GN.42/2007
Absence from work without permission for up to five days is a warning offence, not automatic termination.
- 02
Employment and Labour Relations Act and GN.42/2007
Probationary employees are entitled to fair procedures and notice unless expressly excluded by a valid contract compliant with the law.
06
Ratio, limits and disposition
Ratio decidendi
The applicant failed to prove that the respondent abandoned work or was lawfully terminated without notice. The Commission correctly found the termination unfair and awarded compensation for the remaining contract period and notice pay.
Court disposition
Application dismissed
- Commission's award confirmed
- Applicant to pay respondent three months' salary and one month in lieu of notice, totaling TZS 400,000
Source and reliance status
TANZLII · 1 January 2021
This page organises the available record for research. Confirm quotations, current status, and subsequent treatment against the official source before relying on the case.
Judgment reading view
Judgment text
The complete available source text.
TANZLII
Judgment· 1 January 2021
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA KAZI
DAR ES SALAAM MAOMBI YA MAREJEO NA.805/2019
BAINA YA PROGUARDS SECURITY SERVICES .................. MLETA MAOMBI NA WADHIFA YANDA BASHIRU......... .................WIBU MAOMBI
HUKUMU Tarehe ya mwisho ya Amri:26/03/2021 Tarehe ya Hukumu:16/04/2021 Z.G.MurukeJ Ipo katika kumbukurribu^ kwamba, mnamo tarehe 11/11/2017 mjibu maombi Wadhifa^AYanda Bashiru, aliajiriwa na mleta maombi ip katika kazi ya ulinziAwa^mkataba wa kipindi miezi sita. Alifanya kazi hadi tarehe O8/02/2O.1Xttnasemekana kwamba toka tarehe 10/02/2017 mleta-.mabmbRhakufika kazini akidai kuachishwa kazi kwa njia ya mdomdvsMIefa maombi hakuridhika na kuachishwa huko kazi na '^A'% kuamua^Kufungua shauri la kusitishiwa mkataba. Baada ya kusikilizwa mgogoro, Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (itajulikana kama tume), iliamua kuwa ni kweli mkataba huo ulisitishwa pasipo halali hivyo kuamuru mleta maombi amlipe mjibu maombi mishahara ya miezi mitatu(3) iliyobaki pamoja na mshahara wa mwezi mmoja kwaajili ya taarifa ya kuachishwa (Notice), jumla shilingi laki nne(400,000). Uamuzi i huu haukumridhisha mleta maombi ambaye aliamua kufungua maombi ya kutengua uamuzi wa Tume kwa sababu zifuatazo; i. Muamuzi alikosea kisheria na kimaelezo kwa kukubali kwamba kitendo cha kubaki na sare za kazi bila kufika kazi sio utoro kaini. ii. Muamuzi alikosea kisheria kwa kushindwa kuzingatia vigezo na masharti vilivyoainishwa katika mkataba wa ajira kuhusianaha kuacha kuachishwa kazi wakati wa kipinsdi cha majaribio^^ iii. Muamuzi alimpendelea mjibu maombi kwa kukubali maelezo ya x> kuambiwa na kubahatisha toka kwa
mjibu m^mbi/^? ' O’ Maombi haya yaliungwa mkono na kiapb^cha Pius Elias Kagete Afisa wa mleta maombi. Kupinga maombfohaya, mjibu maombi alileta kiapo kinzani kilichoapwa na mjibu'maombi'.Kwa ridhaa ya mahakama shauri hili lilisikilizwa kwa njia ya'r^aandisfih Mleta maombi aliwakilishwa na Msengi William Makaja^rplawaKilishi binafsi wakati mjibu maombi hakuwa na muwakilishi.^kV. Katika mawasilisho<yake muwakilishi wa mleta maombi katika sababu ya^kwanzakalieleza kwamba, mjibu maombi alijiachisha kazi mwenyewe ^w^kitendo cha kutofika kazini huku akiwa na sare za kazi. Alikaa^na'sare^hizo hadi pale alipoamriwa na muamuzi kurejesha sare hizo kwa<mleta maombi. Katika sababu ya pili alieleza kwamba, hadi kuachishwa kazi mjibu maombi alikuwa amefanya kazi kwa muda wa miezi mitatu (3). Ni makubaliano yao katika makataba wa ajira kuwa katika kipindi hichi cha majaribio,muajiriwa anaweza kuachishwa kazi bila kupewa taarifa(notisi). Hivyo muamuzi alipuuza makubaliano hayo na kuamuru 2 malipo ya mshahara wa mwezi mmoja kama mbadala wa taarifa ya kuachishwa kazi. Alieleza zaidi kwamba mjibu maombi alistahili malipo ya mishahara ya miezi mitatu tu bila notisi kama aliachishwa kazi isivyo halali. Bwana Makala alieleza katika sababu ya tatu kuwa, ni maoni yao kuwa muamuzi alimfanyia upendeleo mjibu maombi kwasababu aliamua kukubali maelezo yaliyotolewa na mjibu maombi .
Lakini^mjibuvmaombi alishindwa kujibu baadhi ya maswali aliyoulizwa ikiwemo kajna mjibu maombi ndiye aliyemuachisha kazi kwanini hakumparnuru arejeshe vifaa vya kazi mara tu alipomuachisha kazi, naniWimpa ruhusa ya kubaki na vifaa hivyo wakati alikuwa hafikiSkazini hadi alipoamriwa kurejesha na tume? Katika maelezo ^akevmleta maombi alikanusha kumuachisha kazi mjibu maombi,, kama^muamuzi angezingatia maelezo hayo angeagiza mjibu maombf kuruhusiwa kuendelea na majukumu yake, allimalizia kwa kuiomba^mahakama kutupilia kurejea na kutuppilia mbali uamadzi^a^tume. V- Vx ? i Kwa upancJe^waWjibu maombi katika kujibu sababu ya kwanza alieleza kwambaXmleta maombi alikanusha kumuachisha kazi wakati ushahfdL ^w^vmjibu maombi unaonyesha kuwa katika tarehe anazosemekena alikuwa mtoro yani 08/02/2018 na 10/02/2018 alikwepo kazini^MIfeta maombi ameshindwa kuthibitisha swala la utoro kazini. Katika hoja ya pili mjibu maombi alieleza kwamba mleta maombi alipaswa kuzingatia matakwa ya kisheria alipoandaa mkataba waliousaini, vinginevyo mkataba huo ni batili toka mwanzo. Mkataba huo upo kinyume na Kanuni ya 10 ya Sheria ya ajira na mahusiano kazini (kanuni za utendaji Bora), GN.42/2007 ambayo imebainisha 3 utaratibu wa kufuatwa unapomuachisha kazi mtu aliye katika kipindi cha majaribio. Mjibu maombi katika sababu ya tatu alieleza kwamba yeye alikuwa shahidi pekee kwa upande wake, hivyo ushahidi
alioutoa uiikuwa ni wakile alichokiona na kusikia kwa masikio yake mwenyewe. Alieleza zaidi kuwa haikuwa shaihi kwa mleta maombi kuchagua aina ya fidia X/ v A inayopaswa kutolewa kwa mjibu maombi, hawawezi kuriufaika kutokana na makosa yao wenyewe. Aliiomba mahakama hii ^kutupilia mabali maombi haya kwa kukosa mashiko. V - Baada ya kupitia kwa kina maelezo kihzan[ya!iybtolewa na pande zote mbili mahakama ilikuwa na hoja za^kujiuliza;, X Endapo mjibu maombi aliachishwa kazi. ii. Nafuu za kila upande. Katika kujibu hoja ya^kwanza? mjibu maombi katika maelezo yake alieleza kwamba ^ali.achlsh^ kazi tarehe 10/02/2018 kwa mdomo baada ya kuitwa n.aj uoingozi kwa tuhuma za kuwatishia silaha viongozi waliomfuata^lindoni?jMjibu maombi alieleza kwamba hakukuachisha kazi mjibu maombi zaidi yeye ndio hakufika kazini kuanzia tarehe & SX 10/02/2018.xKatika kipengele cha 9 cha muongozo ulioko ndani ya kanunr^za Ajira na Mahusiano Kazini (Kanuni za Utendaji bora) GN.42/2007 , imeeleza makosa ambayo onyo linaweza kutolewa, imeeleza;
OFFENCES WHICH WARNING MAY BE GIVEN 1. Late for work, leaving work place without permission or general time keeping offences 4 2. Absence from work without permission or without acceptable reason for up to five working days. Baada ya kupitia kumbukumbu za shauri hili hakuna ushahidi kuwa mleta maombi alimchukulia mjibu maombi hatua yoyote baada ya kuona kwamba hafiki kazini. Ni madai yake kwamba kitendo cha mjibu maombi kubaki na sare za kazi ni wazi kwamba aliamuaAujiachisha kazi yeye mwenyewe kwa kutofika kazini. Ni maoni ya Mahakama hii kuwa kitendo cha mjibu maombi kubaki na sare zakazi sio Kithibitisho tosha cha kuonyesha kwamba mjibu maombi hakuftikuzwa kazi. Kwa hiyo basi, ni maoni ya mahakama hii kuV\fa|mjibujTiaombi alifukuzwa kazi hivyo kupeleka mkataba wake kusitisfciwa na<majibu maombi. Katika hoja ya pili ni mleta^mao'rhbi amedai kwamba muamuzi /X n* alikosea kuamuru malipo yapnotisi)> kwa mjibu maombi kwasababu, katika mkataba wao yjwalikiibaliana Xss 1 kwamba katika kipindi cha 'z > X majaribio kuachishwa) KaziXkutafanyika bila taarifa yoyote. Baada ya kupitia kumbukumBuXXshauri hili, mahakama imeona kuwa hakuna ubishi kwamba^mkataba wa ajira wa wadaawa ni wa miezi sita. Na XX pia katikaC ushahidi wake mleta maombi hakutoa mkataba huo ili kuwezavkuoha makubaliano hayo ya kutopeana taarifa wakati wa kuachishXkazi. Kama ambavyo imeamriwa na tume stahiki ya mjibu maombi ni mishahara ya miezi mitatu iliyobakia katika mkataba wao Pamoja na malipo ya mshahara wa mwezi mmoja mbadala wa notisi. 5 Kwa mazingira hayo, maombi haya yanatupiliwa mbali kwa kukosa mashiko. Uamuzi wa tume umethibitishwa. Imeamriwa hivyo. 16/04/2021 ‘A Uamuzi umetolewa wadaawa wote wakiwa hawapo huku wakijua.
Case-aware research
Ask AI about this case
The judgment and available research above are public. New questions open in a separate private conversation grounded in this case.