Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, mwaka 2013
This section gives the Act its title and says it is to be read together with the Constitution Amendment Act, which is called the “parent Act” in this Act.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Act or statute
- Citation
- Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, mwaka 2013
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the Act its title and says it is to be read together with the Constitution Amendment Act, which is called the “parent Act” in this Act. Kifungu hiki kinafanya marekebisho ya sheria mama na kinafafanua maneno “Rasimu ya Katiba” na “Kanuni”. Kifungu hiki kinafanya marekebisho ya kifungu cha 20 na kubadilisha kifungu kidogo cha (4). Hii inarekebisha kifungu cha 22 na kuongeza kifungu kipya cha 22A kuhusu uteuzi wa Wajumbe wa Bunge Maalum. This provision amends the law by adding a new section after Section 22, but the inserted text is incomplete in the source provided.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, mwaka 2013
Showing 12 of 12
- 1 Verify source ↗
Musvvada huu utaitwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria 83
AI-assisted research summary: This section gives the Act its title and says it is to be read together with the Constitution Amendment Act, which is called the “parent Act” in this Act.
1. Musvvada huu utaitwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria 83 ya Mabadiliko ya Katiba, mwaka 2013 utasomwa pamoja na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ambayo itajulikana katika Sheria hii kama "Sheria mama". kuingiza katika mtiririko wa kialfabetiki tafsiri mpya zifuatazo:- - 2 Verify source ↗
Sheria mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 3 kwa M areke
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafanya marekebisho ya sheria mama na kinafafanua maneno “Rasimu ya Katiba” na “Kanuni”.
2. Sheria mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 3 kwa M areke- bisho ya kifungu " R a sim u ya K a tib a" m a a n a y ak e ni R asim u ya K a tib a a m b a y o cha 3 imetayarishwa na Tume chini ya Sheria hii; "Kanuni" maana yake ni Kanuni za Bunge Maalum zilizotungwa chini ya Sheria hii". - 3 Verify source ↗
Sheria mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 20 kwa M areke*
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafanya marekebisho ya kifungu cha 20 na kubadilisha kifungu kidogo cha (4).
3. Sheria mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 20 kwa M areke* kufuta kifungu kidogo cha (4) na kuweka badala yake kifungu kifuatacho: • • • • cha 20 "(4) Bila kujali kuvunjwa kwa Tume chini ya kifungu cha 37(1), Katibu wa Bunge Maalum anaweza, kwa kushauriana na Mwenyekiti wa Bunge Maalum, kumwalika Mwenyekiti, M a k a m u M w e n y e k i ti au M j u m b e y e y o t e w a T u m e ilivyovunjwa ili kutoa ufafanuzi unaoweza kuhitajika wakati wa mjadala wa Bunge Maalum." 7 Na. 7 Maswada wa Sheria ya Mcovkebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba 2013 M arek e bisho ya kifungu cha 22 - 4 Verify source ↗
Sheria mama inafanyiw a m arekebisho katika kifungu cha 22 kwa
AI-assisted research summary: Hii inarekebisha kifungu cha 22 na kuongeza kifungu kipya cha 22A kuhusu uteuzi wa Wajumbe wa Bunge Maalum.
4. Sheria mama inafanyiw a m arekebisho katika kifungu cha 22 kwa: (a) kufuta m aneno ya utangulizi kwenye aya (c) yanayojitokeza katika kifungu kidogo cha (1) na badala yake kuweka aya ifuatayo: "(c) w ajum be mia m oja sitini na sita w atakaoteuliw a na Rais kw a k u k u b alian a na R ais w a Z an zib ar kutokana na wafuatao;" (b) kufuta aya (vi) na badala yake kuweka aya ifuatayo: "(vi) Shirikisho la Wafanyakazi"; (c) kuongeza baada ya kifungu kidogo cha (2), vifungu vifuatavyo: "(2A) Rais ataalika kila kundi lililoainishw a katika kifungu kidogo cha (1 )(c) kuw asilisha kwake orodha ya majina ya watu w asiozidi tisa kwa m adhum uni ya uteuzi wa watu w atatu kutoka kwenye orodha kuwa W ajumbe wa Bunge M aalum: Isipokuw a kwam ba, orodha hiyo itaonyesha, kwa kila jin a linalopendekezw a, umri, jinsi, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mtu huyo. (2B) K atika kuteua w ajum be wa Bunge M aalum chini ya kifungu kidogo cha (1 )(c), Rais atazingatia: (a) sifa na uzoefu wa watu w aliopendekezw a; na (b) usaw a w a kij insia." K uongeza kifungu cha 22A - 5 Verify source ↗
Sheria M am a inarekebishw a k w a
AI-assisted research summary: This provision amends the law by adding a new section after Section 22, but the inserted text is incomplete in the source provided.
5. Sheria M am a inarekebishw a k w a - (a) kuongeza baada ya K ifungu cha 22 K ifungu kipya kam a ifuatavyo: "Mwenyekiti w a m uda - 22A Verify source ↗
( 1) Bila kuathiri m asharti ya kifungu cha 23, baada
AI-assisted research summary: Baada ya kuitishwa kwa Bunge Maalum, makatibu husimamia uchaguzi wa Mwenyekiti wa muda, ambaye ataongoza Bunge Maalum; aliyechaguliwa kama Mwenyekiti wa muda haruhusiwi kugombea uenyekiti wa Bunge Maalum.
22A.-( 1) Bila kuathiri m asharti ya kifungu cha 23, baada ya kuitishwa kwa Bunge M aalum, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Baraza la Wawakilishi w atasim am ia m chakato wa kum chagua M w enyekiti wa muda w a B unge M aalum atakayesim am ia na kuongoza Bunge M aalum kwa m adhum uni y a - (a) kusim am ia uandaaji na upitishw aji w a K anuni za Bunge M aalum ; na (b ) k u e n d e s h a u c h a g u z i w a M w e n y e k iti n a M ak am u M w enyekiti w a Bunge M aalum, 8 2013 Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba No. 7 (2) M w enyek iti w a m uda aliy ech ag u liw a na Bunge M aalum chini ya kifungu kidogo cha (1) hatakuw a na sifa ya kugom bea nafasi ya uenyekiti wa Bunge M aalum." M areke bisho ya kifungu cha 23 - 6 Verify source ↗
Sheria M am a inarekebishw a katika kifungu cha 23 kwa
AI-assisted research summary: A member of the Special Constituent Assembly may not be appointed or run for Chairperson or Deputy Chairperson unless the stated qualifications are met.
6. Sheria M am a inarekebishw a katika kifungu cha 23 kwa- (a) kuongeza baada ya kifungu kidogo cha (3) kifungu kifuatacho: "(4) M jum be wa Bunge M aalum hatastahili kuteuliw a au kugom bea nafasi ya kuw a M w enyekiti au M akam u M wenyekiti isipokuwa kama M jum be huyo- (a) am eh itim u sh a h a d a k u to k a k a tik a C huo^K ikuu kinachotambulika; (b) am ethibitika kuw a na uzoefu na ujuzi w a kuongoza m ihadhara au m abaraza; (5) Utaratibu wa maombi, uteuzi na uchaguzi wa M wenyekiti n a M a k a m u w a M w e n y e k iti u ta k u w a k a m a utakavyoainishw a kwenye Kanuni." (b) kubadilisha kifungu kidogo cha (4),(5) na (6) kuw a kifungu kidogo cha (6), (7) na (8) ipasavyo. (c) hajaw ahi kutiw a hatiani na M ahakam a yoyote katika Jam huri ya M uungano na kuhukum iw a kifungo kisichozidi miezi sita kwa kosa lolote linalohusu kukosa uaminifu na maadili. - 7 Verify source ↗
Sheria Mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 24 k w a
AI-assisted research summary: Katibu wa Bunge Maalum lazima achague watumishi fulani baada ya kushauriana, na watumishi hao watakuwa katika masharti ya kuazimwa wakati wote wa Bunge Maalum.
7. Sheria Mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 24 k w a - (a) kufuta kifungu kidogo cha (4) na kuweka badala yake kifungu kifiiatacho:- M arek e bisho ya kifungu cha 24 "(4) K atibu w a Bunge M aalum baada ya kushauriana na Naibu Katibu na taasisi za umma, atachagua idadi ya watumishi kutoka m iongoni m w a watum ishi w a Bunge la Jam huri ya M uungano, B araza la W awakilishi, Ofisi za W anasheria wa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar na taasisi nyingine za umma kwa kadri itakavyohitajika kwa madhumuni ya utekelezaji bora w a shughuli za Bunge M aalum. (5) W atumishi w aliochaguliw a chini ya K ifungu kidogo cha (4), watakuwa katika masharti ya kuazimwa katika kipindi chote cha Bunge M aalum ." (b) cha (6). kubadilisha kifungu kidogo cha (5) kuwa kifungu kidogo 9 Na. 7 Mustoach wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katihu 2013 M areke- bisho ya kifungu cha 26 M areke- bisho ya kifungu cha 27 M areke bisho y a kifungu c ha 28 - 8 Verify source ↗
( l ) Sheria Mama inarekebishwa katika kifungu cha 26 kw;i
AI-assisted research summary: This section sets the voting steps for disputed issues in the Special Assembly, including a second vote, a third vote if needed, and when the proposed Constitution is treated as passed.
8 . - ( l ) Sheria Mama inarekebishwa katika kifungu cha 26 kw;i kuongeza baada ya kifungu kidogo cha (2) vifungu vifuatavyo:- (3) Pale ambapo theluthi mbili ya idadi ya ju m la ya Wajumbc haijafikiwa kama inavyotakivva chini ya kifungu kidogo cha (2), Mwenyekiti wa Bunge Maalum atabainisha suala au masuala yaliyobishaniwa kwa madhumuni ya kupigivva kura kwa mara ya pili. (4) Suala au masuala yaliyobainishvva chini ya kifungu kidogo cha (3) yatapitishwa na Bunge Maalum kwa kuzingatia kuungvva mkono kwa theluthi mbili ya wajumbe wote kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili ya wajumbe wote kutoka Tanzania Zanzibar. (5) Pale ambapo kuungwa mkono kwa theluthi mbili hakujafikiwa kama inavyotakiwa chini ya kifungu kidogo cha (4), Bunge Maalum litapiga kura kwa mara ya tatu, na suala au masuala yataanuiliwa kwa wingi wa kura za ju m la za wajumbe kutoka Tanzania Bara na kwa wingi wa kura za jum la za wajumbe kutoka Tanzania Zanzibar. (6) Baada ya kupiga kura chini ya kifungu kidogo cha (5), Katiba inayopendekezwa itachukuliwa kuwa imepitishwa na Bunge Maalum na masharti ya Sheria ya Kura ya Maoni yatatumika. (7) Utaratibu wa kupiga kura chini ya kifungu hiki utakuvva kama utakavyoelczw a katika Kanuni za Bunge Maalum. - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinarekebisha kifungu cha 27 kwa kuanzisha uhuru wa maoni katika mijadala ya Bunge Maalum, na maoni ya wajumbe hayawezi kuhojiwa mahakamani au nje ya Bunge Maalum.
9. Sheria mama inafanyivva marekebisho katika kifungu cha 27 kwa kufuta kifungu kidogo cha (2) na kuweka badala yake vifungu vidogo vifuatavyo:- "(2) Kutakuwa na uhuru wa maoni katika mijadala ya Bunge Maalum na maoni ya wajumbe hayatahojiwa mahakamani au sehemu yoyote nje ya Bunge Maalum. (3) Utaratibu wa kuendesha mijadala katika Bunge Maalum utaainishwa katika Kanuni."
Part
sehemu yoyote nje ya Bunge Maalum.
- 10 Verify source ↗
Sheria mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 28 kwa
AI-assisted research summary: Bunge Maalum lazima lijadili Rasimu ya Katiba ndani ya siku 70 tangu lilipoitishwa, na Mwenyekiti anaweza kuongeza muda kwa masharti yaliyotajwa.
10. Sheria mama inafanyiwa marekebisho katika kifungu cha 28 kwa kuongeza baada ya kifungu kidogo cha (2) kifungu kidogo kifuatacho: "(3) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1) na cha (2), m uda ambao Bunge Maalum litajadili Rasimu ya Katiba hautazidi siku sabini kuanzia tarehe ambayo Bunge Maalum lilipoitishwa. . (4) Mwenyekiti wa Bunge Maalum, baada ya kushauriana na Makamu Mwenyekiti, anaweza, kwa ridhaa ya Rais baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar, kuongeza muda uliotolewa chini ya kifungu kidogo cha (3) kwa kipindi kitakachofaa kukamilisha shughuli za Bunge Maalum." 10 2013 Muswada wci Sheria ya Marekebisho ya Sharia ya Mabadiliko ya Katiba No. 7 - 11 Verify source ↗
Sheria mama inarekebishwa katika kifungu cha 37 kwa kufuta kifungu
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinarekebisha kifungu cha 37 kwa kufuta kifungu kidogo cha (1) na kukibadilisha na maandishi mapya; maandishi mapya yanaelekeza Rais kulivunja Tume kwa amri iliyochapishwa kwenye Gazeti la Serikali baada ya kuwasilishwa kwa Rasimu ya Katiba chini ya kifungu cha 20(3).
11. Sheria mama inarekebishwa katika kifungu cha 37 kwa kufuta kifungu kidogo cha (1) na kuweka badala yake kifungu kifuatacho:- 3 7 . - (1) Baada ya kuwasilishwa kwa Rasimu ya Katiba "Kuvunjwa kw a T um e kwenye Bunge Maalum chini ya kifungu cha 20(3), Rais, kwa amri i I iyochapishwa kwenye Gazeti laSerikali,ataivunjaTume." M a r e k e b ish o ya k i f u n g u cha 37 Umepitishwa na Bunge tarehe 06 Septemba, 2013. Dkt. T h o m a s D. K a s h i l i l a h , Katibu \va Bunge 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, mwaka 2013
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in