The Electronic Transactions Act, 2015
Sheria hii inaitwa Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015, na kuanza kwake kutumika kutategemea tarehe itakayoteuliwa na Waziri kwa tangazo kwenye Gazeti la Serikali.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Act or statute
- Citation
- The Electronic Transactions Act, 2015
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- mul
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Sheria hii inaitwa Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015, na kuanza kwake kutumika kutategemea tarehe itakayoteuliwa na Waziri kwa tangazo kwenye Gazeti la Serikali. This provision says the Act applies in Tanzania Mainland and Tanzania Zanzibar, except for Part Three. This section defines key terms used in the Act, including computer system, electronic communication, electronic signature, electronic record, data, user, sender, minister, and related concepts. A data message cannot be denied legal effect, validity, or enforceability just because it is electronic. An electronic information or transaction can satisfy a required non-electronic or written form if it is in a similar form, can be accessed for reference, and can be retained by the other person.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of The Electronic Transactions Act, 2015
Showing 50 of 50
- 1 Verify source ↗
Short title and commencement
Sheria hii inaitwa Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015, na kuanza kwake kutumika kutategemea tarehe itakayoteuliwa na Waziri kwa tangazo kwenye Gazeti la Serikali.
1. Sheria hii itaitwa Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 na itaanza kutumika kwa tarehe ambayo Waziri, kwa Tangazo litakalo chapishwa kwenye Gazeti la Serikali, atateua. 33 Matumizi - 2 Verify source ↗
Application
This provision says the Act applies in Tanzania Mainland and Tanzania Zanzibar, except for Part Three.
2. Isipokuwa kwa Sehemu ya Tatu, Sheria hii itatumika Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar. Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 5 Tafsiri - 3 Verify source ↗
Interpretation
This section defines key terms used in the Act, including computer system, electronic communication, electronic signature, electronic record, data, user, sender, minister, and related concepts.
3. Katika Sheria hii, isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “kuingia” kuhusiana na mfumo wowote wa kompyuta maana yake ni kupata fursa ya kuingia, kutoa kuelekeza, kuwasiliana na, kuhifadhi data katika, kupokea data kutoka katika au vinginevyo kutumia rasilimali zozote za mfumo wa kompyuta au mtandao au mfumo wa kifaa cha kutunzia data ; ya kielektroniki, “mlengwa” maana yake ni mtu au mhusikaambaye amedhaminiwa na mtumaji taarifa kupokea isipokuwa mawasiliano haitajumuisha mtu anayetenda kama mtu kati kuhusiana na mawasiliano ya kielektroniki; “mfumo wa kompyuta” maana yake ni kifaa au mjumuiko wa vifaa, ikijumuisha mtandao, vifaa vya kwingiza na kutoa vinavyoweza kutumika pamoja na majalada ya nje ambayo yana programu za kompyuta, maelezo yakielektroniki, data zinazoingia na zinazotoka ambazo zinaleta mantiki, uhifadhi wa data za namba na udhibiti wa mawasiliano yanayorejea; “mtumiaji” maana yake ni mtu yeyote ambaye anayeingia au anayekusudia kuingia katika muamala wa kielektroniki na mtoa huduma akiwa kama mtumiaji wa mwisho wa bidhaa au huduma zinazotolewa na mtoa huduma; “kraiptografia” maana yake ni utaalam wa kulinda taarifa kwenye mfumo kuzibadilisha kuwa kwa usiosomeka; “data” maana yake ni taarifa yoyote iliyowasilishwa kwa njia ya kielektroniki; “ujumbe wa data” maana yake ni ujumbe uliyotengenezwa, uliyowasilishwa, uliyopokelewa au kutunzwa kwa 34 njia ya kielektroniki, kwa simaku au njia nyingine yoyote katika mfumo wa mawasiliano au kwa ajili ya kusafirishwa kutoka katika mfumo mmoja wa mawasiliano 35 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 6 kwenda kwenye mfumo mwingine; “mawasiliano ya kielektroniki” manta yake ni uhamishaji wowote wa alama, mawimbi au data zozote za kompyuta za aina yoyote zilizosafirishwa kwa mkupuo au sehemu kwa njia ya waya, redio, sumaku, picha za kielektroniki, picha za kioo au kwa njia nyingine yoyote zinazofanana na hiyo; “Gazeti la Serikali la kielektroniki” maana yake ni Gazeti la Serikali linalorejewa kwenye kifungu cha 16; “kumbukumbu ya kielektroniki” maana yake ni kumbukumbu iliyotunzwa kwa njia ya kielektroniki; “saini ya kielektroniki” maana yake ni data, ikijumuisha, kielektroniki, alama au mchakato sauti ya au kutumika katika kumtambua uliofanyika mhusika, lake kuhusiana na taarifa iliyoko katika mawasiliano ya kielektroniki na ambayo imeambatanishwa kwenye au na mawasilano ya kielektroniki; ili kuashiria ridhaa au kusudio inahusiana kimantiki “muamala wa kielektroniki” maana yake ni muamala, kitendo au fungo la miamala ama ya kibiashara au yasiyo ya kibiashara ambayo inafanyika kwa njia ya kielektroniki; “mfumo wa ujumbe unaojiendesha” maana yake ni mfumo unaojiendesha wenyewe au programu nyingine 36 7 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 awali, inayotumika iliyoandaliwa kuanzishia kitendo, kujibu mawasiliano ya kielektroniki au kuzalisha kazi nyingine kwa ukamilifu au kwa sehemu pasipo kurejea au kuingiliwa na mhusika kila wakati kitendo kinapofanywa jibu linapotolewa na mfumo; au Kutambulika kwa ujumbe wa data Uhalali wa muamala wa kielektroniki “Waziri” maana yake ni Waziri mwenye dhamana na masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano; “mtuma taarifa” maana yake ni mtu ambaye kutoka kwake mawasiliano ya kielektroniki yanadaiwa kuwa aliyatuma au kuyayazalisha; “sehemu ya biashara” maana yake ni sehemu yoyote ambayo mhusika anatunza ana mahala pa kuendesha shughuli ya kiuchumi mbali ya shughuli ya muda ya uuazaji wa bidhaa au huduma katika eneo maalum. SEHEMU YA PILI UTAMBUZI NA MATOKEO YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Recognition of data messages
A data message cannot be denied legal effect, validity, or enforceability just because it is electronic.
4. Ujumbe wa data hautakataliwa nguvu ya kisheria, sababu ya kuwa uhalali au umetengenezwa katika mfumo wa kielektroniki. ktumuika kwake kwa - 5 Verify source ↗
Validity of transaction in electronic form
An electronic information or transaction can satisfy a required non-electronic or written form if it is in a similar form, can be accessed for reference, and can be retained by the other person.
5.-(1) Endapo sheria inahitaji taarifa au muamala kuwa katika namna iliyoainishwa isiyo ya kielektroniki au kimaandishi, masharti hayo yatakuwa yametimizwa na taarifa au muamala wa kielektroniki ambayo- (a) imewekwa katika namna sawa au inayokaribiana na namna maalum isiyo ya kielektroniki; (b) inaweza kufikiwa na mtu mwingine kwa ajili ya rejea; na 37 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 8 (c) ina uwezo wa kuhifadhiwa na mtu huyo mwingine. Kifungu kidogo cha (2) kitatumika iwapo (2) maelekezo ya kuwa katika maandishi ni ya lazima au iwapo sheria taarifa ambayo haiko kimaandishi. inaainisha madhara ya Saini ya kielektroniki - 6 Verify source ↗
Electronic signature
If a law requires a signature, the requirement may be met by using a secure electronic signature under the Act.
6.-(1) Endapo sheria inahitaji saini ya mtu, kuwekwa masharti hayo yatatimizwa kwa kuweka salama na saini ya kielektroniki iliyowekwa chini ya Sheria hii. (2) Masharti yanayohitaji saini ya kielektroniki chini ya kifungu kidogo cha (1) yatakuwa yametimizwa iwapo: (a) njia hiyo inatumika kumtambua huyo mtu na kuonesha nia ya mtu huyo kuhusu taarifa iliwasilishwa; (b) wakati wa matumizi ya njia hiyo, njia hiyo ilikuwa inaaminika na sahihi kwa madhumuni ambayo taarifa ilimesilishwa. (3) Wahusika katika mkataba wanaweza kukubaliana kutumia njia fulani ya kusiani ya kielektroniki kwa kadri imeelezewa watakavyoona vinginevyo na sheria. isipokuwa inafaa, kama Saini salama ya kielektroniki iwapo: - 7 Verify source ↗
Secure electronic signature
An electronic signature is treated as secure if it is unique, identifies the signer, is created and controlled by the signatory, and is linked so changes to the message can be detected.
7. Saini ya kielektroniki itachukuliwa kuwa ni salama (a) ni ya kipekee kwa madhumuni ambayo inatumika; (b) inaweza kutumika kumtambua mtu ambaye anasaini mawasiliano ya kielektroniki; (c) inatengenezwa na kuwekwa kwenye mfumo wa mawasiliano ya kielektroniki na mweka saini; na (d) ipo chini ya udhibiti wa mweka saini; na kuunganishwa (e) imetengenezwa kwenye mawasiliano ya kielektroniki ambayo inahusiana nayo kwa namna ambayo iwapo kuna mabadiliko yoyote yanafanyika kwenye mawasiliano ya kielektroniki, mabadiliko hayo yatafichuliwa. 38 9 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 Matumizi ya saini salama ya kielektroniki - 8 Verify source ↗
Application of secure electronic signature
A secure electronic signature is treated as used if it is sent by its owner or affixed by the owner to sign or authenticate the electronic communication.
8. Saini salama ya kielektroniki itachukuliwa kuwa imetumika iwapo: (a) imetumwa na mmiliki wa saini salama ya kielektroniki; (b) inawekwa na mmiliki kwa lengo la kusaini au kuthibitisha mawasiliano hayo ya kielektroniki. Kutunza kumbuku- mbu kielektroniki - 9 Verify source ↗
Electronic record keeping
If a law requires information or documents to be kept, that requirement may be satisfied using electronic information, if the listed electronic-record conditions are met.
9.-(1) Endapo sheria inahitaji taarifa fulani au nyaraka kutunzwa, masharti hayo yatakuwa yametimizwa kwa kutumia taarifa ya kielektroniki, ilimradi masharti yafuatayo yatazingatiwa: (a) taarifa iliyomo kwenye kumbukumbu hiyo ipo katika njia ya kielektroniki, (b) kumbukumbu ya kielektroniki inashikiliwa au kuwekwa katika namna ambayo imezalishwa, katika imetumwa au mpangilio ambao umewekwa wazi ili kuonyesha taarifa hiyo ni saini; na imepokelewa au ipo (c) taarifa hiyo ya kielektroniki inashikiliwa au inatunzwa katika namna ambayo inawezesha utambuzi wa chanzo na sehemu ambayo taarifa hiyo ya kielektroniki au mawasiliano ya kielektroniki yanaelekea na tarehe na muda ambao ilitengenezwa au ilizalishwa, ilitumwa, ilipokelewa au kutunzwa. Wajibu wa kushikilia au kutunza nyaraka, kumbukumbu au taarifa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) hautahusu taarifa yoyote ambayo madhumuni yake pekeeni ni kuwezesha ujumbe kutumwa au kupokelewa. (2) 39 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 10 Uthibitisho - 10 Verify source ↗
Notarisation acknowledgement and certification
If the law requires notarisation, certification, approval, or an oath, the requirement can be met by an authorised person’s electronic signature linked to the signature or data message. A required certified copy of an electronic document can be met by providing a printed and certified copy.
10. Endapo sheria inahitaji- (a) saini, maelezo au nyaraka kuthibitishwa, rasmi, kukubaliwa, kuidhinishwa au kutolewa chini ya kiapo, masharti hayo yatachukuliwa kuwa yametimizwa iwapo saini ya kielektroniki ya mtu huo kutekeleza aliyeidhinishwa imeambatanishwa, imejumuishwa au katika hali ya kawaida inahusishwa na saini ya kielektroniki au ujumbe wa data; wajibu (b) mtu kutoa nakala ya nyaraka iliyoidhinishwa rasmi ipo katika mfumo wa na nyaraka hiyo kielektroniki, yatakuwa yametimizwa iwapo mtu huyo atatoa nakala ya nyaraka iliyochapishwa na kuthibitishwa. masharti hayo Masharti mengineyo - 11 Verify source ↗
Other requirements
This section says certain legal requirements are treated as satisfied by electronic communications in specified cases.
11.-(1) Endapo Sheria inahitaji- (a) kuwasilishwa kwa nakala zaidi ya moja ya nyaraka kwenda kwa mlengwa mmoja kwa wakati mmoja, masharti hayo yatakuwa yametimizwa kwa uwasilishaji wa wasiliano moja la kielektroniki ambalo lina uweza wa kutolewa nakala na mlengwa huyo; (b) lakiri na saini kuwekwa kwenye nyaraka na sheria hiyo haiweki utaratibu au namna ambavyo nyaraka hiyo inaweza kufungwa au kuwekewa lakiri kwa njia ya kielektroniki, masharti hayo yatakuwa yametimizwa iwapo nyaraka hiyo itafungwa na kuwekewa lakiri na kusainiwa kwa njia ya kielektroniki na mtu ambaye alitakiwa kusaini na kuweka lakiri nyaraka hiyo; (c) mtu kutuma taarifa au nyaraka kwa njia ya posta au huduma sawa na hiyo, masharti hayo yatakuwa 40 11 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 yametimizwa iwapo imetumwa kwa njia ya kielektroniki. taarifa au nyaraka hiyo (2) Maneno yaliyomo kwenye sheria, ikijumuisha maneno “nyaraka”, “kumbukumbu”, “jalada”, “wasilisha”, “peleka”, “fikisha”, “chapisha”, “andika kwenye” au maneno au matamshi yenye maana kama hayo, yatatafsiriwa kwa namna ambayo itaruhusu aina, mfumo au tendo hilo kuwiana na mawasiliano ya kielektroniki isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo chini ya Sheria hii. Mwenendo wa mtu anayetumia saini ya kielektroniki - 12 Verify source ↗
Conduct of person relying on electronic signature
A person using an electronic signature must take proper steps to verify the signature’s validity, and if the signature matches a certificate, the certificate’s validity or related conditions.
12. Mtu anayetumia saini ya kielektroniki atawajibika kisheria kwa kushindwa kuchukua hatua stahiki kuthibitisha- (a) kuhakikisha uhalali wa saini inayotumika; na (b) uhalali wa cheti au kuzingatia masharti yanayo husiana na cheti iwapo saini ya kielektroniki inawiana na cheti. SEHEMU YA TATU HUDUMA ZA SERIKALI MTANDAO Utambuzi wa huduma za Serikali mitandao
Part
SEHEMU YA TATU
- 13 Verify source ↗
Recognition of e-Government services
Public institutions may handle information, documents, and services electronically, and written or signed requirements should not block electronic use.
13.-(1) Bila ya kuathiri sheria nyingine yoyote, ambapo taasisi ya umma ina mamlaka ya kushughulikia taarifa au nyaraka au kutoa huduma, inaweza kushughulikia taarifa au nyaraka hiyo au kutoa huduma hizo kwa njia ya kielektroniki kwa mujibu wa Sheria hii. (2) Masharti kuwa taarifa au nyaraka itatolewa kimaandishi au kusainiwa haitatafsiriwa kuzuia matumizi ya njia ya kielektroniki. (3) Taasisi ya umma inaweza kuchukua au kupokea namna kielektroniki kwa kwa njia ya malipo itakavyoainishwa. (4) Kwa madhumuni ya kifungu kidogo cha (1), Waziri anaweza kwa kushauriana na Waziri mwenye dhamana na masuala ya Serikali Mtandao na kwa Tangazo litakalo chapishwa kwenye Gazeti la Serikali, kutoa miongozo itakayo ainisha- 41 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 12 (a) namna na mfumo kielektroniki unaweza kufanyika; ambao muamala wa (b) aina ya saini ya kielektroniki inayohitajika, pale ambapo muamala wa kielektroniki unatakiwa kusainiwa; (c) namna na mfumo ambao saini ya kielektroniki inaweza kuambatanishwa au kuhusishwa na muamala wa kielektroniki; (d) mchakato wa udhibiti na taratibu za kuhakikisha uadilifu usalama na usiri wa taarifa; (e) utambulisho au utaratibu utakaozingatiwa na mtoa huduma aliyeidhinishwa kwa ajili ya kuwasilisha muamala wa kielektroniki; (f) mchakato wa udhibiti na utaratibu utakao hakikisha uadilifu wa kutosha, usalama na usiri wa muamala malipo yakielektroniki; na (g) masharti mengine kielektroniki ambayo yoyote kwa wa au yanahusiana na miamala ya kielektroniki. (5) Bila kujali kifungu kidogo cha (4), taasisi yoyote za inaweza kutumia taratibu nyingine iliyoidhinishwa, uthibitishaji. Uwasilishaji wa nyaraka kwa njia ya kielektroniki - 14 Verify source ↗
Service by electronic means
If a law requires documents to be submitted, that requirement is met when the documents are submitted electronically.
14.-(1) Endapo sheria inahitaji nyaraka kuwasilishwa, masharti hayo yatakuwa yametimizwa iwapo nyaraka hiyo imewasilishwa kwa njia ya kielektroniki. (2) Kifungu kidogo cha (1) kitatumika pale ambapo kuna mfumo wa kuandaa taarifa ambao unaweza- (a) kutambua chanzo, mwelekeo, muda na tarehe ya kutowasilishwa, kutuma na kupokea kwa taarifa; (b) kuthibitisha kupokewa kwa nyaraka. 42 13 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 Malipo ya fedha na utoaji wa stakabadhi kwa njia ya kielektroniki - 15 Verify source ↗
Payment of money and issuance of receipt in electronic form
If the law requires a payment or a receipt, the requirement is satisfied when the payment is made electronically or the receipt is issued as a readable electronic message.
15. Endapo sheria inahitaji- (a) malipo kufanyika, masharti hayo yatakuwa yametekelezwa yatakuwa yamefanyika kwa njia ya kielektroniki na kukidhi masharti yoyote yaliyotolewa na sheria nyingine husika; na iwapo malipo (b) utoaji wa stakabadhi yoyote ya malipo, masharti hayo yatakuwa yametekelezwa iwapo stakabadhi hiyo itakuwa katika mfumo wa ujumbe wa kielektroniki na ujumbe kusomeka na unaeleweka kiasi kwamba unaweza kutumika katika rejea. Uchapishaji wa nyaraka Endapo sheria inahitaji nyaraka kuchapishwa - 16 Verify source ↗
Publication of document
A document counts as satisfying the required conditions if it is published in the electronic Government Gazette.
16. kwenye Gazeti la Serikali, masharti hayo yatakuwa yametimizwa iwapo nyaraka hiyo itachapishwa kwenye Gazeti la Serikali la kielektroniki. Nyaraka katika mfumo wa kielektronniki haitakuwa lazima - 17 Verify source ↗
Document in electronic form not mandatory
No one gets a right to force a public institution to process documents electronically.
17. Sheria hii haitatoa haki kwa mtu yeyote kushinikiza taasisi ya yoyote ya umma kushughulikia nyaraka yoyote kielektroniki. SEHEMU YA NNE KUKUBALIKA NA UZITO WA USHAHIDI WA UJUMBE WA DATA Kukubalika kwa ujumbe wa data
Part
SEHEMU YA NNE
- 18 Verify source ↗
Admissibility of data message
This section says a data message may not be rejected as evidence just because it is a data message, and courts should assess its admissibility and weight by looking at reliability, integrity, source identification, and other relevant factors.
18.-(1) Katika mwenendo wa shauri lolote la kisheria, kanuni za ushahidi kitakacho tumika ili kukataa kukubalika kwa ushahidi wa ujumbe data kwa kigezo kwamba ni ujumbe data. (2) Katika kuamua kukubalika na uzito wa ushahidi wa ujumbe data, yafuatayo yatazingatiwa- (a) kuaminika kwa namna ambayo ujumbe data umetengenezwa, umehifadhiwa au umewasilishwa; (b) kuaminika kwa namna ambayo uadilifu wa ujumbe data ulivyohifadhiwa; 43 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 14 (c) namna ambayo chanzo cha ujumbe data kimetambuliwa; (d) vigezo vingine vyovyote vinavyofaa katika kutathmini uzito wa ushahidi huo. (3) Uhalali wa kumbukumbu za mfumo wa ambamo kumbukumbu ya kielektroniki kielektroniki inanukuliwa au kutunzwa, iwapo hakuna ushahidi kinyume na, utachukuliwa kuwa- (a) iwapo kuna ushahidi unaothibitisha ukweli kuwa katika muda wote, mfumo wa kompyuta au kifaa kama hicho kilikuwa kinafanya kazi vizuri au iwapo hakikuwa kinafanya kazi vizuri, kitendo cha kutokufanya kazi kwake vizuri hakukuathiri uadilifu wa kumbukumbu ya kielelektroniki na hakuna sababu nyingine za msingi kushuku uhalali wa kumbukumbu za mfumo wa kielektroniki; (b) iwapo ilirekodiwa au inabainika kwamba kumbukumbu ya kielektroniki kuhifadhiwa na mhusika katika shauri ambaye ana maslahi tofauti na mhusika wa upande unaotaka kuutumia ushahidi huo; au (c) imebainika kuwa kumbukumbu ya kielektroniki ilirekodiwa au kuhifadhiwa katika utendaji kazi wa kawaida na mtu ambaye si mhusika katika shauri na ambaye hakurekodi au kuhifadhi kumbukumbu chini ya uangalizi wa mhusika wa upande unaotaka kuutumia ushahidi huo. (4) Kwa madhumuni ya kuamua iwapo kumbukumbu ya kielektroniki inakubalika chini ya kifungu hiki, ushahidi unaweza kutolewa kuhusiana na chochote kilichowekwa, taratibu, mila au uzoefu kuhusiana na namna ambavyo kiwango 44 15 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 kumbukumbu za kielektroniki zinatakiwa kuchukuliwa au kunakiliwa au kutunzwa kwa kuzingatia aina ya biashara au mfumo ya kielekektroniki na chanzo na madhumuni ya kumbukumbu ya kielektroniki. kumbukumbu unaotumika, kutunza au Chanzo cha mawasiliano ya kielektroniki - 19 Verify source ↗
Attribution of electronic communication
Electronic communications are treated as coming from the source if sent by the source, by an authorized person, or by a self-executing software system installed by or on behalf of the source.
19. Mawasiliano ya kielektroniki yatachukuliwa kuwa yametoka kwenye chanzo iwapo yametumwa na- (a) chanzo chenyewe; (b) mtu ambaye ameidhinishwa kwa namna hiyo na chanzo ili kufanya mawasiliano kwa njia ya kielektroniki kuhusiana na ujumbe data; au (c) mfumo wa programu unaojiendesha yenyewe uliyowekwa na au kwa niaba ya chanzo. kompyuta katika Kuwasilisha nyaraka halisi katika mfumo wa kielektroniki - 20 Verify source ↗
Production of original document in electronic form
If a law requires a person to submit a document or information, that requirement is met by sending the form or document electronically in an electronic system, provided the system reliably preserves the document’s integrity and it is reasonable to expect the information can be easily accessed and referred to.
20.-(1) Endapo sheria inamtaka mtu kwasilisha nyaraka au taarifa, matakwa hayo yatakuwa yametimizwa iwapo- (a) mtu huyo anawasilisha, kwa njia ya mawasiliano ya kielektroniki katika mfumo wa kielektroniki, fomu au nyaraka hiyo; (b) kwa kuzingatia mazingira yote husika, wakati mawasilano hayo ya kielektroniki yanatumwa, mfumo wa kutoa taarifa ya kielektroniki ya nyaraka hiyo ulitoa njia ya uhakika ya kuhakikisha utunzaji wa uadilifu wa taarifa iliyoko kwenye nyaraka; (c) wakati mawasiliano ya kielektroniki yanatumwa, ilikuwa ni sahihi kutarajia kuwa taarifa iliyoko taarifa ingeweza ndani ya nyaraka hiyo au kupatika na kwa urahisi ili kuiwezesha kutumika katika rejea ya taarifa hiyo. 45 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 16 Utambuzi wa mikataba ya kielektroniki Muda wa kutuma na kupokea mawasiliano ya kielektroniki (2) Kwa madhumuni ya kifungu kidogo cha (1), iliyoko kwenye nyaraka utakuwa uadilifu wa umezingatiwa itabaki kuwa kamili na taarifa haijabadilishwa, isipokuwa kwa: taarifa iwapo (a) kuweka nyongeza ya uthibitisho wowote; au (b) mabadiliko yoyote ya msingi, ambayo yanatokea wakati wa kufanya mawasiliano ya kawaida, utunzaji au uwekaji wazi. SEHEMU YA TANO UTAMBUZI WA MIKATABA YA KIELEKTRONIKI
Part
SEHEMU YA TANO
- 21 Verify source ↗
Recognition of electronic contracts
A contract may be prepared electronically unless the parties agree otherwise, and using electronic records does not by itself reduce the contract’s legal force or enforceability.
21.-(1) Kwa madhumuni ya kuondoa shaka, mkataba unaweza kuandaliwa kwa njia ya kieleketroniki isipokuwa kama imekubaliwa vinginevyo na wahusika. (2) Endapo kumbukumbu za kielektroniki zinatumika katika kuandaa mkataba, mkataba huo hautapoteza nguvu ya kisheria au uwezo wa kutekelezwa kutokana na sababu kuwa kumbukumbu za kielektroniki zilitumika kwa madhumuni hayo. - 22 Verify source ↗
Time of dispatch and receipt of electronic communication
This section sets when an electronic communication counts as sent or received/deemed delivered, depending on the sender’s and recipient’s communication systems.
22.-(1) Taarifa kwenye mfumo wa iliyoko kielektroniki itachukuliwa kuwa imetumwa pale inapoingia kwenye mfumo wa mawasiliano ulio nje ya uwezo wa chanzo cha taarifa hiyo ya kielektroniki kwa niaba ya chanzo. taarifa au mtu ambaye aliituma (2) Endapo au mlengwa wa taarifa wapo kwenye mfumo mmoja wa mawasiliano ya kielektroniki, taarifa ya kielektroniki itachukuliwa kuwaimewasilishwa pale ambapo mlengwa anaweza kupata taarifa hiyo. (3) Endapo mlengwa ametenga mfumo wa kompyuta kwa madhumuni ya kupokea mawasiliano ya kielektroniki, taarifa hiyo imepokelewa wakati mawasiliano ya kielektroniki yanaingia kwenye mfumo wa mawasiliano uliotengwa. itachukuliwa kuwa 46 17 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 (4) Endapo mawasiliano ya kielektroniki yanatumwa kwenye mfumo wa mawasiliano wa mlengwa ambao ni tofauti na mfumo wa kompyutauliotengwa, taarifa hiyo itachukuliwa kuwa imewasilishwa- (a) wakati ambapo mawasiliano ya kielektroniki yanaweza kupokelewa na mlengwa katika anwani hiyo; na (b) mlengwa kuwa mawasiliano anajua ya kielektroniki yametumwa kwenye anwani hiyo. (5) Endapo mlengwa hajatenga mfumo wa mawasiliano, upokeaji wa taarifa unatimia pale ambapo mawasiliano ya kielektroniki yanapokelewa na mlengwa, au yalitakiwa katika kikawaida yakupokelewa na mlengwa. Uthibitishaji wa upokeaji mawasiliano - 23 Verify source ↗
Acknowledgement of receipt
A recipient may acknowledge receipt of an electronic communication electronically or by another act showing receipt. If no acknowledgment is received, the sender must give notice within the agreed, stated, or reasonable time, and may then treat the communication as not sent.
23.-(1) Uthibitisho wa kupokea mawasiliano ya iwapo chanzo na mlengwa hawajakubaliana kielektroniki, kuhusu namna au njia ya mawasiliano, unaweza kutolewa kwa- (a) njia ya kielektroniki na mlengwa, ama kwa njia ya ujumbe kujiendesha wenyewe au vinginevyo; au (b) kwa kupitia kitendo chochote kilichofanywa na mlengwa, ambacho kinatosha kuashiria kwa chanzo cha mawasiliano kuwa mawasiliano ya kielektroniki yamepokelewa. (2) Endapo chanzo cha mawasiliano ameainishakuwa mawasiliano ya kielektroniki yatawabana wahusika pale tu anapopokea uthibitisho wa kupokea au unapokelewa, na uthibitisho haujapokelewa, mwanzilishi atatakiwa- (a) ndani ya muda uliotajwa au kukubalika au, iwapo muda haujatajwa au kukubalika, ndani ya muda wa 47 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 18 kawaida, basi chanzo cha mawasiliano kinaweza kutoa taarifa kwenda kwa mlengwa ikielezea kuwa hakuna uthibitisho aliyopokea na ikiainisha muda wa kawaida ambao kwayo uthibitisho wa taarifa unatakiwa kuwa umepokelewa naye; au (b) ndani ya ukomo wa muda uliotajwa, anaweza, baada ya kutoa taarifa kwa mlengwa, kuyachukulia mawasiliano hayo ya kielektroniki kama vile hayakuwahi kutumwa kabisa. Mahali pa kutuma na kupokea mawasiliano ya kielektroniki - 24 Verify source ↗
Place of dispatch and receipt of electronic communication
Electronic communications are treated as sent from the sender’s place of business and received at the recipient’s place of business, unless the sender and recipient agree otherwise.
24.-(1) Isipokuwa kama imekubalika vinginevyo kati ya chanzo cha mawasiliano na mlengwa, mawasiliano ya kielektroniki yatachukuliwa kuwa yametumwa kwenye sehemu ambapo chanzo cha mawasiliano kinaendesha biashara yake na yatachukuliwa yamepokelewa katika sehemu ambayo mlengwa anaendesha biashara yake. (2) Kifungu kidogo cha (1) kitatumika- (a) hata kama chanzo cha taarifa au mlengwa hakuwepo katika sehemu yake ya kawaida ya biashara; na (b) kuamua sehemu ambapo mkataba uliingiwa kwa madhumuni ya kulipa kodi. (3) Kwa madhumuni ya kifungu kidogo cha (1), iwapo chanzo cha mawasliano au mlengwa - (a) ana sehemu ya biashara zaidi ya moja, sehemu ya biashara itakuwa ni: (i) ile ambayo inahusiana kwa karibu zaidi na muamala husika kwa kuzingatia mazingira yanayojulikana ya kufikiriwa na wahusika katika muda wowote kabla au wakati wa kufikia makubaliano ya mkataba; au au 48 19 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 (ii) pale ambapo hakuna muamala, sehemu yake aliyoizoea kwa ajili ya biashara. (4) Iwapo kampuni hodhi haina sehemu ya biashara, sehemu ya biashara itakuwa ni anwani ya kibiashara ya kampuni hiyo au sehemu ilisajiliwa au kuanzishwa kisheria. (5) Kifungu hiki kitatumika bila kujali kwamba sehemu ambapo mfumo wa kompyuta unaowiana na unawezesha kupatikana kwa anwani ya kielektroniki upo katika sehemu iliyotofauti na sehemu ambapo mawasiliano yakielektroniki yatachukuliwa kuwa yamepelekwa au kupokelewa.
Part
sehemu ambapo mfumo wa kompyuta unaowiana na
- 25 Verify source ↗
Time and place of contract formation
When parties make a contract electronically, the contract is formed when and where the acceptance communication is received.
25.-(1) Endapo wahusika wanaingia kwenye mkataba kwa njia ya kielektroniki, mkataba huo utakuwa umefungwa kwa muda huo na sehemu ambayo mawasiliano ya makubaliano yalipokelewa. (2) Mapendekezo ya mkataba yaliyo katika mfumo wa kielektroniki yatakuwa na nguvu katika muda ambao yatapokelewa na mpokea mapendekezo. - 26 Verify source ↗
Contracts with interactive systems
An automated system must let a person correct input errors in electronic communications, and a person may withdraw the communication if the system does not allow correction and certain conditions are met.
26.-(1) Mkataba ulioingiwa kwa njia ya mwingiliano kati ya mfumo unayojiendesha wenyewe na mtu binafsi au mifumo yenyewe, haitapoteza nguvu ya kisheria kutokana na sababu kuwa hakuna mtu aliyefanya mapitio ya matendo ya kila mmoja wao yaliyotendwa kwa mifumo kuingiliana. (2) Mfumo unaojiendesha wenyewe utatoa nafasi kwa mtu kurekebisha kosa lolote la kiuingizaji wa taarifa lililofanywa katika mawasiliano ya kielektroniki baina ya mifumo inayoingiliana na mhusika wa upande wa pili. (3) Endapo mtu anafanya kosa la kiuingizaji kwenye mawasiliano ya kielektroniki baina ya mifumo unaojiendesha wenyewe na mhusika wa upande wa pili na mfumo huo Muda na mahali ambapo mkataba umefungwa Mikataba kupitia mifumo inayojiendesha 49 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 20 unaoingiliana hautoi nafasi kwa mtu kurekebisha kosa hilo , mtu huyo atakuwa na haki ya kuondoa mawasiliano hayo ya kielektroniki ambamo ndani yake amefanya kosa la kiuingizaji, wapo- (a) anamtaarifu mhusika wa upande wa pili kuhusiana na kosa hilo haraka iwezekanavyo baada ya kugundua kosa hilo na anakusudia kusitisha mkataba au kurekebisha kosa la kiuingizaji ; (b) anachukua hatua madhubuti kutekeleza maelekezo yaliyotolewa na upande wa pili kurudisha bidhaa au huduma alizopokea kutokana na kutendeka kwa kosa hilo au kuharibu bidhaa au huduma au kurekebisha kosa hilo; na (c) hajatumia au kupokea faida yoyote au thamani ya bidhaa au huduma hiyo au kosa la kiuingizaji kutoka kwa mhusika wa upande wa pili. (4) Mtu ambaye ameshalipia bidhaa au huduma kabla ya kutekeleza haki iliyotolewa chini ya kifungu kidogo cha (1), atastahili kurudishiwa malipo yake yote ndani ya siku thelathini baada ya kufutwa kwa muamala. (5) Hakuna kitu chochote katika kifungu hiki kitakachoathiri matumizi ya sheria yoyote inayosimamia masuala yatokanayo na makosa yaliyofanywa wakati wa ufugwaji au utekelezaji wa aina ya mkataba huo mbali na kosa linalo husiana na uingizaji linatokea katika mazingira ya kifungu kidogo cha (3). Mnada kupitia mtandao - 27 Verify source ↗
Online auction
Mtoa huduma wa mauzo/ukodishaji/ubadilishanaji wa kielektroniki lazima awape watumiaji taarifa muhimu kabla ya muamala, na lazima awape nafasi ya kukagua, kurekebisha makosa, au kujitoa kabla ya kuwasilisha ombi.
27. yatakuwa Endapo sheria inahitaji mkataba wa mauzo, utekelezwe kwa njia ya mnada, masharti ya “nyundo kugongwa” katika mnada utakaofanyika kupitia mtandao kwa kutumia muda ambao mawasiliano ya kielektroniki yalipokelewa kama kigezo cha ukomo wa muda kama njia ya kumchagua mzabuni wa mwisho. yamezingatiwa 50 21 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 SEHEMU YA SITA ULINZI KWA MTUMIAJI Wajibu wa watoa huduma kwa watumiaji wa mtandao 28-(1) Mtoa huduma anayeuza bidhaa au huduma kwa ajili ya mauzo, kukodisha au kwa ajili ya kubadilishana kwa njia ya kielektroniki, atatoa taarifa zifuatazo kwa watumiaji- (a) jina kamili, hadi ya kisheria na eneo la biashara; (b) maelezo yanayohusu anuwani yake kupatikana kwake zikijumuisha anuani ya makazi, nambari za simu na anuani ya barua pepe; kamili (c) maelezo huduma bidhaa ya au zinazotolewa; (d) bei ya bidhaa au huduma hiyo; (e) taarifa inayohusu malipo yatakayofanywa kwa mujibu wa sheria nyingine; na (f) taarifa nyingine yoyote muhimu. (2) Kabla ya mtumiaji hajatoa maombi yake ya bidhaa au huduma, mtoa huduma atatoa nafasi kwa mtumiaji ya - (a) kufanya mapitio ya muamala mzima wa kielektroniki; (b) kurekebisha makosa yoyote; na (c) kujitoa kwenye muamala huo. (3) Endapo mtoa huduma anakiuka masharti ya kifungu hiki, mtumiaji anaweza, ndani ya siku kumi na nne baada ya kupokea bidhaa au huduma, kufuta muamala. Muda kwa ajili ya kutekeleza agizo
Part
SEHEMU YA SITA
- 29 Verify source ↗
Time for execution of order
The service provider must carry out the order within 30 days after receiving the request, unless the parties agree otherwise.
29.-(1) Isipokuwa kama wahusika wamekubaliana vinginevyo, mtoa huduma atatekeleza agizo ndani ya siku thelathini kutokea siku ambayo mtoa huduma amepokea maombi ya bidhaa au huduma. 51 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 22 Haki ya usitishaji (2) Endapo mtoa huduma anashindwa kutekeleza agizo ndani ya muda uliotajwa chini ya kifungu kidogo cha (1), mtumiaji anaweza kufuta makubaliano kwa kutoa taarifa ya siku saba. (3) Endapo mtoa huduma anashindwa kutekeleza mkataba kutokana na sababu kuwa bidhaa au huduma zilizoagizwa hazipatikani, mtoa huduma, ndani ya siku thelathini, atamtaarifu mtumiaji na mtoa huduma atarudisha malipo yoyote ambayo yatakuwa yamefanyika. - 30 Verify source ↗
Cancellation right
A user may cancel certain electronic transaction agreements within 7 days (or a longer period agreed in the contract) after receiving the goods or completing the agreement, if no benefit was received from the transaction.
30.-(1) Bila ya kuathiri sheria nyingine yoyote, mtumiaji, anaweza ndani ya siku saba au muda mwingine zaidi uliokubalika ndani ya mkataba, baada ya kupokea bidhaa au kukamilika kwa makubaliano na mtumiaji hajapokea faida yoyote kutokana na miamala, huo kufuta makubaliano hayo kwa ajili ya usambazaji wa bidhaa au utolewaji wa huduma. (2) Endapo mtumiaji anafuta mkataba chini ya kifungu kidogo cha (1), atalipa gharama zote za moja kwa moja za kurudisha bidhaa. (3) Endapo mtumiaji amelipia bidhaa au huduma kabla ya kutekeleza haki iliyotolewa chini ya kifungu kidogo cha (1), atastahili kurudishiwa fedha. (4) Fedha itakayotolewa chini ya kifungu kidogo cha (3) italipwa ndani ya siku thelathini baada ya tarehe ya kufutwa kwa muamala. (5) Kifungu hiki hakitatumika kwa miamala ya kielektroniki- (a) kwa ajili ya huduma za kifedha; (b) kwa njia ya mnada; (c) kwa usambazaji wa vyakula, vinywaji au bidhaa nyingine zilizokusudiwea kwa ajili ya matumizi ya kila siku; 52 23 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 (d) kwa huduma zilizotokana na idhini ya mtumiaji kabla ya kupita kwa muda wa siku saba; (e) iwapo bei ya kusambaza bidhaa au huduma inategemea mfumuko wa bei katika masoko ya fedha na ambayo hayawezi kudhibitiwa na mtumiaji; (f) iwapo bidhaa: (i) zimetengenezwa ili kukidhi matakwa ya mtumiaji; zimetengenezwa maalum kwa ajili maalum; kutokana na hali yake, haziwezi kurudishwa; au zina uwezekano wa kuharibika au kupitwa na muda wa matumizi haraka; (ii) (iii) (iv) (g) iwapo rekodi za kusikiliza au za video au au kompyuta zilipakuliwa za programu kuondolewa lakiri na mtumiaji; (h) kwa ajili ya uuzaji wa magazeti, makala, majarida na vitabu; (i) kwa ajili ya kutolewa kwa huduma za michezo ya kubahatisha au bahati nasibu; (j) kwa ajili ya michezo ya kubahatisha inayofanyika kwa kupitia mtandao; (k) kwa ajili ya kutolea huduma za malazi, usafiri na chakula; na (l) kwa kadri ambavyo Waziri anaweza kwa tangazo la Serikali, litakalochapishwa kwenye Gazeti kuanzisha miamala mingine yoyote. (6) Kwa madhumuni ya kifungu hiki, “gharama za moja kwa moja” maana yake ni gharama zilizoingiwa na zinajumuisha gharama za usafiri au kutumia wakati wa kurudisha bidhaa au huduma, isipokuwa haitajumuisha gharama zozote za upakiaji au usambazaji. 53 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 24 Taarifa zitakazo tolewa katika mawasiliano ya kielektroniki - 31 Verify source ↗
Particulars to be provided in electronic communication
A seller of electronic communication goods or services must give the recipient the source’s identity and address details, an opt-out method for future communications, and information about where the source got the recipient’s personal information.
31.-(1) Mtu anayeuza bidhaa au huduma za mawasiliano ya kielektroniki atampatia mlengwa – (a) utambulisho wa chanzo cha mawasiliano na maelezo kuhusiana na anuwani yake; (b) chombo halali cha utekelezaji ambacho kitatoa nafasi ya mtu kuamua kutokuendelea kupokea mawasiliano katika siku za mbele; na (c) maelezo kuhusiana na chanzo ambacho kutoka kweke chanzo cha mawasiliano kilipata taarifa binafsi za mlengwa. Bidhaa, huduma au mawasiliano ambayo hayajaombwa - 32 Verify source ↗
Unsolicited goods, services or communications
A person must not send unsolicited commercial communications about goods or services unless the recipient consents, the sender identifies itself and the purpose at the start, or the message includes an opt-out method.
32.-(1) Mtu hatatuma mawasiliano ya kibiashara yanayphusu bidhaa au huduma ambazo hazijaombwa na mlengwa, isipokuwa kama- (a) mtumiaji anaridhia mawasiliano hayo; (b) mwanzoni mwa mawasiliano, mawasiliano hayo yanaweka wazi utambulisho wa mtumaji na madhumuni ya mawasiliano; au (c) mawasiliano hayo yanaweka utaratibu wa kukataa mawasiliano hayo siku zijazo. (2) Masharti ya mtu kuridhia ama kutokuridhia yatachukuliwa kuwa yametimizwa iwapo- (a) anuwani ya mlengwa wa mawasiliano na taarifa nyingine binafsi ambayo ilikusanywa na mtuma taarifa wakati wa mauzo au majadiliano kwa ajili ya mauzo; (b) mtuma taarifa anatuma matangazo ya biashara yanayohusiana bidhaa au huduma zinazofanana kwa mlengwa; (c) mtoa taarifa ametoa nafasi kwa mlengwa fursa ya kujitoa na kufanya hivyo; na 54 25 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 (d) fursa ya kujitoa imetolewa na mtoa taarifa kwenda kwa mlengwa kwa kila ujumbe utakaotumwa. (3) Mtuma taarifa atayayekiuka masharti ya kifungu hiki atakuwa ametenda kosa na atawajibika, pale atakapotiwa hatiani, kulipa faini isiyopungua shilingi milioni kumi au kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja au vyote kwa pamoja. SEHEMU YA SABA WATOA HUDUMA ZA KRAIPTOGRAFIA NA UIDHINISHAJI Huduma za kraiptografia na uidhinishaji Majukumu ya mdhibiti
Part
SEHEMU YA SABA
- 33 Verify source ↗
Cryptographic and certification services
The Minister may, by notice published in the Government Gazette, appoint a government institution under the ministry responsible for ICT to be the regulator of cryptographic and certification services.
33. Waziri anaweza, kwa taarifa itakayochapishwa kwenye Gazeti la Serikali, kuteua taasisi ya kiserikali chini ya Wizara yenye dhamana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kuwa mdhibiti wa Huduma za Kraiptografia na Uidhinishaji. - 34 Verify source ↗
Functions of regulator
The regulator must license and supervise cryptography and certification services, set security standards, decide standards for certification authorities, keep a register of service providers, and do other things needed to implement this section.
34. Majukumu ya mdhibiti huyo yatakuwa ni- na (a) kutoa kusimamia leseni huduma za kraiptografia na uidhinishaji; (b) kuainisha viwango vya kiusalama vya kraiptografia na saini za za kielektroniki; (c) kuamua viwango vitakavyozingatiwa na mamlaka za uidhinishaji; (d) kuweka na kutunza rejesta ya watoa huduma wa huduma za kraiptografia na uidhinishaji; na (e) kufanya vitu vingine vyovyote ambavyo ni muhimu kwa utekelezaji wa masharti ya Sehemu hii. Maombi ya usajili - 35 Verify source ↗
Application for registration
A person intending to provide cryptographic or certification services must apply to the regulator.
35. (1) Mtu anayekusudia kutoa huduma za kraiptografia au uidhinishaji atawasilisha maombi yake kwa mdhibiti . (2) Maombi yaliyofanywa chini ya kifungu kidogo cha (1) yatakuwa na maelezo yafuatayo: 55 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 26 (a) jina na mawasiliano yake, ikijumuisha anuwani ya makazi, simu na barua pepe; (b) maelezo yanayohusu aina ya huduma itakayotolewa; (c) maelezo ya madhumuni ya huduma itakayotolewa; itakayotumika (d) maelezo yanayohusu teknolojia katika utowaji wa huduma hiyo; na yoyote mengine itakavyoelekezwa na msimamizi. (e) maelezo kadri kwa Katazo la kutoa huduma za kraiptografia au uidhinishaji - 36 Verify source ↗
Prohibition to provide cryptographic or certification services
A person must not provide cryptographic or certification services without a licence.
36.-(1) Mtu hatatoa huduma za kraiptografia au uidhinishaji bila ya kuwa na leseni. (2) Mtu atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa na iwapo atatiwa hatiani, atawajibika kulipa faini isiyopungua shilingi milioni kumi au kutumikia kifungo kwa kipindi kisichopungua miaka mitano au vyote kwa pamoja. SEHEMU YA NANE MASHARTI YA JUMLA Mamlaka ya kutunga kanuni
Part
SEHEMU YA NANE
- 37 Verify source ↗
Powers to make regulations
The Minister may make general regulations on matters that this Act requires to be specified, or that are needed for better implementation of the Act.
37. Waziri anaweza kutunga kanuni kwa jumla zinazohusu jambo lolote ambalo linatakiwa kuainishwa na Sheria hii au ambalo ni la umuhimu kwa ajili ya utekelezaji bora wa masharti ya Sheria hii. SEHEMU YA TISA MASHARTI YATONANAYO PART IX CONSEQUENTIAL AMENDMENTS (a) Amendment of the Law of Contract Act, Cap. 345 Construction Cap.345
Part
PART IX
- 38 Verify source ↗
Construction
This provision says this Part must be read together with the Law of Contract Act, called the principal Act.
38. This Part shall be read as one with the Law of Contract Act, hereinafter referred to as the “principal Act”. Amendment of section 10 - 39 Verify source ↗
Amendment of section 10
This provision amends section 10 so that the words “or in electronic form” are added after “in writing” in the proviso.
39. The principal Act is amended in section 10 by inserting the words “or in electronic form” immediately after the words “in writing” appearing in the proviso of that section. 56 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 27 Amendment of section 25 - 40 Verify source ↗
Amendment of section 25
This section amends section 25 by adding references to electronic form after “writing” in two places.
40. The principal Act is amended in section 25, by – the following: “Agreement without consideration is void” Construction Cap. 6 Amendment of section 3 (c) inserting the words “in electronic form” immediately after the word “writing” appearing in paragraph (a); (d) inserting the words “or electronic form” immediately after the word “writing” appearing in paragraph (c); (b) Amendment of the Law of Evidence Act, Cap.6 - 41 Verify source ↗
Construction
This Part is to be read together with the Law of Evidence Act, which is referred to as the principal Act.
41. This Part shall be read as one with the Law of Evidence Act, hereinafter referred to as the “principal Act”. the definition of - 42 Verify source ↗
Amendment of section 3
This section changes the definition of “document” to include many forms of recorded information, including electronic form, if the recording is reasonably permanent and readable.
42. The principal Act is amended in section 3 by term “document” and the deleting substituting for it with the following: “document” means any writing, handwriting, typewriting, printing, Photostat, photography, computer data and every form of tangible recording upon any communication or representation including in electronic form, by letters, figures, marks or symbols or more than one of these means, which may be used for the purpose of recording any matter provided that recording is reasonably permanent and readable;. thing, any Amendment of section 19 Amendment of section 34 Amendment of section 34B - 43 Verify source ↗
Amendment of section 19
Section 19 is amended to add the word “electronic” after “oral”.
43. Section 19 of the principal Act is amended by inserting the word “ electronic” immediately after the word “oral”; - 44 Verify source ↗
Amendment of section 34
This section amends section 34 of the principal Act by adding the word “electronic” after “written”.
44. Section 34 of the principal Act is amended by inserting the word “ electronic” immediately after the word “written”; - 45 Verify source ↗
Amendment of section 34B
This section amends section 34B so it also refers to “electronic” statements.
45. Section 34B of the principal Act is amended by inserting the words “or electronic” between the words “written” and “statements” wherever” they appear in that section. 57 Na.13 Sheria ya Miamala ya Kielektroniki 2015 27 Addition of section 64A - 46 Verify source ↗
Amendment of section 64
This section amends the principal Act by adding a new section 64A on admissibility of electronic evidence.
46. The principal Act is amended by adding a new section 64A as follows: “Admisibi lity of electronic evidence - 64A Verify source ↗
(1) In any proceedings,
Electronic evidence is admissible in any proceedings, and its admissibility and weight are determined under section 18 of the Electronic Transaction Act, 2015.
64A.-(1) In any proceedings, be evidence shall electronic admissible. (2) The admissibility and weight of electronic evidence shall be determined the manner prescribed under section 18 of the Electronic Transaction Act, 2015. in (3) For the purpose of this section, “electronic evidence” means any data or information stored in electronic form or electronic media or from a computer system, which can be presented as evidence.” retrieved (c) Amendment of the Records and Archives Management Act, Cap.309 Construction Cap.309 Amendment of section 2 - 47 Verify source ↗
Construction
This section says this Part must be read together with the Records and Archives Management Act.
47. This Part shall be read as one with the Records and Archives Management Act, hereinafter referred to as the “principal Act”. - 48 Verify source ↗
Amendment of section 2
Section 2 is amended so the definition of “record” includes the words “or electronic” after “recorded”.
48. The principal Act is amended in section 2 by inserting the words “or electronic” immediately after the word “recorded” appearing in the definition of the term “record”. (d) Amendment of the Banking and Financial Institutions Act, Cap.342 Construction Cap.342 - 49 Verify source ↗
Construction
This section says this Part must be read together with the Banking and Financial Institutions Act, called the principal Act.
49. This Part shall be read as one with the Banking and Financial Institutions Act, hereinafter referred to as the “principal Act”. Amendment of section 8 - 50 Verify source ↗
Amendment of section 8
This section amends section 8 so that the relevant wording includes “or in electronic form.”
50. The principal Act is amended in section 8 by inserting the words “or in electronic form” between the words “writing” and “and”, appearing in subsection (1). 58 Imepitishwa na Bunge tarehe 1 Aprili, 2015. THOMAS D. KASHILILAH Katibu wa Bunge 59
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
The Electronic Transactions Act, 2015
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign inLexChat organizes source-backed legal information for research. Verify amendments, commencement, and current legal force with the official publisher before relying on it.