SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 2022
This by-law is titled the Ikungi District Council Fees and Charges By-law, 2022.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This by-law is titled the Ikungi District Council Fees and Charges By-law, 2022. This section defines key terms used in the bylaw, including fees, charges, the council, vehicles, parking, crops, advertisements, market levies, stalls, and an agent. Halmashauri lazima itoe ada na ushuru kwa vibali, leseni, na huduma zilizo kwenye Jedwali la Kwanza; malipo yanapaswa kufanyika kabla au wakati wa huduma na kwa stakabadhi ya kielektroniki. Before starting any construction, covered persons must apply to the Council for a building permit and pay the required fee. Animals slaughtered in a slaughterhouse or permitted area within the Council must pay an inspection fee, and meat for human consumption must not be sold, distributed, or supplied before inspection.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 2022
Showing 26 of 26
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This by-law is titled the Ikungi District Council Fees and Charges By-law, 2022.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ya Mwaka 2022. - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the bylaw, including fees, charges, the council, vehicles, parking, crops, advertisements, market levies, stalls, and an agent.
2. Katika Sheria Ndogo hii isipokuwa kama muktadha utaeleza vinginevyo; “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi; “gari” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine na chenye leseni ya kufanya shughuli hiyo. “kibali cha ujenzi” maana yake ni kibali kinachotolewa na Halmashauri kwa ajili ya ujenzi ambao unafanyika ndani ya eneo la Mamlaka ya Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii au Kanuni na Sheria zinazosimamia ujenzi; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) Sura ya 323 “maegesho” maana yake ni sehemu au eneo lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha magari au vyombo vya usafiri au vyombo vya moto; “mazao” maana yake ni mazao yote yatokanayo na shughuli za mashambani ikijumuisha mazao ya chakula, biashara pamoja na mazao ya misitu; “matangazo” maana yake ni matangazo yanayotangazwa kwa kutumia vipaza sauti kwa ajili ya kutangaza biashara ya aina yeyote katika eneo la Halmashauri ikijumuisha matangazo katika masoko, magulio, sherehe, mikutano isipokuwa matangazo ya vifo au misiba; “mazao ya misitu” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika kifungu cha 2 cha Sheria ya Misitu, “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi pamoja na Afisa yeyote atakayeteuliwa kufanya kazi za Mkurugenzi kwa wakati huo; shughuli “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa huduma mbalimbali au zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “ushuru wa soko” maana yake ni ushuru ambao hutozwa kutokana na bidhaa zinazoletwa na kuuzwa katika masoko na magulio yanayomilikiwa na Halmashauri; “vizimba” maana yake ni vibanda vidogo vidogo vilivyojengwa ndani ya eneo la soko au vibanda vinavyohamishika ambavyo vimewekwa ndani ya eneo la soko kuzunguka soko mfano vibanda vya makampuni ya simu, na vingine vinavyouza bidhaa mbalimbali; “Wakala” maana yake ni mtu, Shirika, Kampuni, Taasisi au Asasi iliyoingia mkataba na Halmashauri kwa ajili ya kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri. yoyote SEHEMU YA PILI ADA NA USHURU Ada na ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 3 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoe ada na ushuru kwa vibali, leseni, na huduma zilizo kwenye Jedwali la Kwanza; malipo yanapaswa kufanyika kabla au wakati wa huduma na kwa stakabadhi ya kielektroniki.
3.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) (2) Ada na ushuru zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitatakiwa kulipwa kabla au wakati wa huduma kutolewa. (3) Ushuru kwa Halmashauri au Wakala aliyeteuliwa na Halmashauri kwa ajili ya kukusanya ushuru husika. utakaotozwa utalipwa Vibali vya ujenzi (4) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kwa stakabadhi ya kielektroniki. SEHEMU YA TATU ADA YA VIBALI VYA UJENZI
Part
SEHEMU YA TATU
- 4 Verify source ↗
(1) Kila mtu, taasisi, kikundi, Kampuni yoyote
AI-assisted research summary: Before starting any construction, covered persons must apply to the Council for a building permit and pay the required fee.
4.-(1) Kila mtu, taasisi, kikundi, Kampuni yoyote chini ya Sheria Ndogo hii pamoja na Sheria na Kanuni zinazosimamia ujenzi mijini kabla ya kuanza ujenzi wa aina yoyote ile itakuwa na wajibu kuomba kibali cha ujenzi kwa Halmashauri na kulipa ada kabla ya kuanza ujenzi husika. (2) Kibali cha ujenzi kitatolewa baada ya mwombaji kutimiza masuala yafuatayo: (a) awe amewasilisha michoro ya ramani ya jingo; (b) awe amelipa ada ya ukaguzi wa ramani; (c) awe na kiwanja au eneo linalotambulika linalokusudiwa kujengwa jengo husika; na (d) awe amelipa ada ya ardhi kwa kiwanja kilichopimwa. (3) Ramani zitakazowasilishwa Halmashauri zitatakiwa kuwa na vipimo vitakavyokubaliwa na Afisa Mwidhiniwa. (4) Kibali kitatolewa baada ya mwombaji kutimiza masharti yaliyotajwa katika Sheria Ndogo hizi na baada ya kukaguliwa na kupitishwa na Afisa Ardhi, Mhandisi wa Ujenzi, Afisa Afya na Afisa Mipango Miji. SEHEMU YA NNE ADA YA UKAGUZI WA NYAMA Ada ya ukaguzi wa nyama
Part
SEHEMU YA NNE
- 5 Verify source ↗
(1) Kila mnyama atakayechinjwa kwenye
AI-assisted research summary: Animals slaughtered in a slaughterhouse or permitted area within the Council must pay an inspection fee, and meat for human consumption must not be sold, distributed, or supplied before inspection.
5.-(1) Kila mnyama atakayechinjwa kwenye machinjio au eneo lililoruhusiwa ndani ya Halmashauri atapaswa kulipiwa ada ya ukaguzi wa lingine 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) nyama. (2) Mtu yeyote hataruhusiwa kuuza, kugawa au kusambaza nyama kwa ajili ya matumizi ya binadamu kabla ya kukaguliwa. SEHEMU YA TANO USHURU WA SOKO LA WANYAMA Ushuru wa soko la wanyama
Part
SEHEMU YA TANO
- 6 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ushuru wa soko kwa kila
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itozeshe ushuru wa soko kwa kila mnyama anayeuzwa au kununuliwa katika soko la wanyama, mnadani au gulioni.
6. Halmashauri itatoza ushuru wa soko kwa kila mnyama atakayeuzwa au kununuliwa katika soko la wanyama, mnadani au gulioni; SURA YA SITA USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA MISITU Halmashauri kutoza Ushuru wa Mazao. - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ushuru wa mazao kwa
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ushuru wa mazao, na wanunuzi wa mazao lazima wajisajili na wafuate masharti ya kibali kabla ya kununua au kusafirisha mazao.
7.-(1) Halmashauri itatoza ushuru wa mazao kwa na misitu mazao yatakayozalishwa ndani ya eneo la Halmashauri. biashara, chakula yote ya (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha itatoza ushuru kwa mazao yote (1), Halmashauri yatakayoingizwa ndani ya eneo la Halmashauri kutoka eneo lingine kama ikithibitika kuwa hayajatozwa ushuru wa mazao huko yalipotoka. (3) Ushuru wa mazao utatozwa kutoka kwa kila mnunuzi kwa kiwango kilichoainishwa katika Sheria Ndogo hii ya bei ya kununulia zao husika. (4) Mnunuzi yeyote atakayesafirisha mazao yake nje ya eneo la Halmashauri atawajibika kulipa ushuru. au mtu mwingine (5) Kila mnunuzi wa mazao atatakiwa kujisajili kwa ajili ya kununua mazao ndani ya Halmashauri, na baada ya usajili atapewa kibali cha maandishi cha kununua mazao hayo. (6) Kibali kitakachotolewa chini ya kifungu kidogo cha (5) kitaonyesha- (a) jina la zao husika; (b) kiasi cha mazao na aina ya mazao; (c) kiasi cha ushuru utakaotozwa kwa ajili ya mazao yanayoombewa kibali; na (d) eneo ambapo mazao hayo yatanunuliwa. (7) Halmashauri inaweza kukataa kutoa kibali kwa mnunuzi yeyote ambaye anadaiwa ushuru wa mazao 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) au ushuru mwingine wowote kwa kukiuka masharti ya Sheria Ndogo hii hataruhusiwa- (8) Mnunuzi yeyote chini ya Sheria Ndogo hii;- (a) kununua au kusafirisha mazao bila kibali cha Halmashauri; (b) kununua mazao shambani kabla hajavunwa; (c) kusafirisha mazao bila kulipa ushuru; na (d) kununua mazao nje ya eneo lililotengwa kwa ajili ya kuuza na kununulia mazao. (9) Mnunuzi yeyote atawajibika kutoa taarifa sahihi ya mazao aliyonunua na kuonyesha risiti aliyolipia ushuru pamoja na kibali cha kununulia mazao atakapotakiwa kufanya hivyo. (10) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kukamata na kushikilia mazao yaliyonunuliwa kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii kwa muda wa siku saba (7) kwa mazao ambayo hayaharibiki kwa haraka na siku tatu kwa mazao yanayoharibika kwa haraka. (11) Endapo mmiliki hatakomboa mazao yake baada ya siku zilizotajwa katika kifungu cha 7(10), Halmashauri itaomba kibali cha Mahakama ili kuuza mazao hayo kwa njia ya mnada. (12) Endapo mazao hayo yatauzwa kwa mnada, Halmashauri itakata fedha inazodai na gharama za kukamata, ulinzi na kuhifadhi mazao hayo na salio litakalobaki atapewa mmiliki wa mazao hayo. Muda wa kusafirisha mazao - 8 Verify source ↗
Mtu yeyote, kikundi cha watu, kampuni au
AI-assisted research summary: People, groups, companies, and institutions must not transport produce from 1:00 p.m. to 12:00 a.m.
8. Mtu yeyote, kikundi cha watu, kampuni au taasisi kusafirisha mazao kuanzia saa 1:00 jioni hadi saa 12:00 asubuhi. SURA YA SABA USHURU WA MADINI YA UJENZI Ushuru wa madini ya ujenzi 9 Halmashauri itatoza ushuru wa madini ya ujenzi kwa viwango vilivyoanishwa katika Sheria Ndogo hii. 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) SEHEMU YA NANE MAKOSA NA ADHABU Halmashauri kuwajibika namapungufu yake
Part
SEHEMU YA NANE
- 10 Verify source ↗
Halmashauri
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuwajibishwa kulipa hasara inayosababishwa na Afisa Mwidhiniwa au afisa yeyote wakati wanatekeleza majukumu yao chini ya Sheria Ndogo hii.
10. Halmashauri inaweza kuwajibishwa kwa kulipa hasara itakayosabishwa na Afisa Mwidhiniwa au Afisa yeyote ama kwa uzembe wake au kwa makusudi wakati wa kutekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hii. Makosa - 11 Verify source ↗
Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote chini ya
AI-assisted research summary: Mtu yeyote chini ya Sheria Ndogo hii anatakiwa asifanye vitendo kadhaa vilivyotajwa, na anayekiuka anaweza kutozwa faini, kufungwa, au vyote viwili.
11. Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote chini ya Sheria Ndogo hii;- (a) kukataa au kukwepa kulipa ada au ushuru; (b) kushawishi mtu au kikundi cha watu kutolipa ushuru; (c) kumzuia au kumzuia Afisa Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; kujaribu (d) kujenga jengo lolote bila kibali cha ujenzi; (e) kuchinja mifugo bila kukaguliwa; (f) kufanya matangazo bila kuwa na kibali; (g) kuendesha gari kwa madhumuni ya biashara bila kuwa na lessen ya biashara kutoka Halmashauri; na (h) kuegesha gari katika maeneo yasiyoruhusiwa. Adhabu Kufifilisha kosa 12 Mtu yeyote ambaye atatenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa, na atakapotiwa hatiani atawajibika kulipa faini isiyopungua laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote viwili kwa pamoja. 13 Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. ________ 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA _________ Limetungwa chini ya kifungu cha 3(1)) _________ Na. AINA YA ZAO KIWANGO CHA USHURU NA ADA (a) ADA NA USHURU WA MAZAO YA MALIASILI. Kibali cha kuvuna mti/miti 2000/= kwa kila mti Ada na ushuru wa uanzishwaji na Uendeshaji wa Bustani za Miti 10,000/=kwa mwaka (b) USHURU WA KUEGESHA MAGARI YANAYOINGIA KATIKA MAGULIO, MASOKO NA MINADA. Na. AINA YA GARI USHURU KWA SIKU
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: This section lists fees for different vehicle types and starts a separate animal inspection fee item.
8. Bajaji Pikipiki Gari dogo la mizigo (lori au pick up). Magari binafsi yasiyo ya biashara chini ya tani 7 Gari kubwa la mizigo zaidi ya tani 7 2000/= 1000/= 1000/= 500/= 200/= 2000/= 500/= 3000/= c) ADA YA UKAGUZI WA NYAMA Na. Aina ya Mnyama Ng’ombe - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Tozo ni 3000/= kwa kila ng’ombe.
1. Kiwango cha Tozo Idadi 3000/= - Kwa kila Ng’ombe - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This fragment lists fee amounts for pigs and for goats or sheep, and an amount for each slaughtered animal, followed by a heading for leather market tax.
4. Nguruwe 1000/= 2000/= 2000/= - Kwa kila Mbuzi au Kondoo - Kwa kila atakayechinjwa - Kwa kila atakayechinjwa d) USHURU WA SOKO LA NGOZI Na. - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Tozo ya kila mnyama imewekwa: ng’ombe 300/=, mbuzi 200/=, na kondoo 200/= kwa kila mmoja.
3. Aina ya Mnyama Ng’ombe Mbuzi Kondoo Kiwango cha Tozo 300/= 200/= 200/= Idadi Kwa kila moja Kwa kila moja Kwa kila moja 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) Na. - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ada mbalimbali za vibali na ada za burudani, zikiwemo ada za kukodi gari dogo na malipo ya saa nane au kwa matukio/mwaka.
4. e) ADA YA VIBALI MBALIMBALI Kiasi - Aina ya Kibali Kukodi gari dogo Tshs 1,600/= kwa kila kilomita moja. - Tshs. 250,000= kwa saa nane. - Kwa mujibu wa mkataba - Kwa mujibu wa mkataba Kukodi Lori. Kukodi viti Kibali cha kukodi ukumbi wa Halmashauri kwaajili ya semina au sherehe. f) ADA ZA BURUDANI ADA NA USHURU WA KIBALI 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 10,000/= kwa tukio 60,000/= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 40,000 /= kwa mwaka 100,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa tukio 50,000/= kwa tukio 60,000/= kwa kikundi 30,000/= kwa mwaka 100,000/=kwa mwezi 200,000/= kwa mwaka ADA (Tshs.) 250,000/= 30, 000/= 50, 000/= 300, 000/= 200, 000/= 100, 000/= 100, 000/= 100,000 50,000 100,000 30,000 - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This section lists entertainment and culture activities, including music, dramas, video/TV or cinema, beauty contests, pool table games, traditional healers, and entertainment venue owners.
4. AINA YA BURUDANI NA UTAMADUNI Muziki (disko, dansi na Taarabu) Burudani msanii binafsi Maigizo ya mazingaombwe Kuonyesha video/Runinga au sinema au Mpira Leseni ndogo kwa waganga wa kienyeji Mashindano ya urembo (Miss) Mchezo wa pull(Pool Table) Wamiliki wa kumbi za burudani - 15 Verify source ↗
Mapromota
AI-assisted research summary: This section is titled about a construction permit and the type of building.
15. Mapromota g) ADA/ KIBALI CHA UJENZI Na. AINA YA JENGO - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: The text lists building or facility types, including residential, commercial, private school, private hospital, office, storage, construction fence, and factory uses.
8. Ghorofa Jengo la Makazi Jengo la Makazi na biashara Mnara Kituo cha mafuta na huduma Shule binafsi, na Hospitali binafsi Ofisi binafsi Magahala au mabohari, makarakana Uzio wa ujenzi Kiwanda - 11 Verify source ↗
Majengo mengine ambayo hayajatajwa
AI-assisted research summary: This section appears to introduce a fee item for building changes involving other buildings not specifically listed.
11. Majengo mengine ambayo hayajatajwa 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) h) ADA YA MABADILIKO YA JENGO LILILOPO AINA YA JENGO KIASI (SHILINGI) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This provision lists several fees, including tender application fees and a bus-station passenger charge, with amounts shown in the table.
5. Majengo mengine ambayo hayajatajwa i) ADA YA KUOMBA ZABUNI AINA YA ZABUNI Uwakala Zabuni zingine 10,000/= 15,000/= 100,000/= 100,000/= 20,000/= KIASI CHA ADA 50,000/= 100,000/= j) USHURU WA KITUO CHA MABASI YA ABIRIA IDADI YA ABIRIA - 36
AI-assisted research summary: This provision sets daily tax/fee amounts for parking cargo trucks and for livestock at markets, with different rates based on vehicle weight or animal type.
36 – 65 66 au zaidi KIWANGO CHA USHURU KWA SIKU 1,000/= 1,500/= 2,000/= 3,000/= 5,000/= k) USHURU WA KUEGESHA MAGARI YA MIZIGO Uzito wa gari Chini ya tani3 Tani 3-6 Tani 7-10 Zaidi ya tani10 Kiwango cha ushuru kwa siku 1,000/= 2,000/= 3,000/= 5,000/= l) USHURU WA MIFUGO MINADANI AINA YA MIFUGO Ng’ombe Mbuzi Kondoo Kuku/Bata Punda KIWANGO CHA USHURU 4,000/= 1,000/= 1,000/= 200/= 3000/= 1 2 1 2 3 4 5 1 2 3 4 1 2 3 4 5 m) USHURU WA MADINI YA UJENZI (MAWE, MCHANGA, KOKOTO NA MATOFALI) Na Aina ya madini - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The schedule sets a fee of Tsh. 500 for 1 ton of clay soil/changarawe for making “Slavy,” cement work, or similar activity, measured per trip.
2. Changarawe tani 1 Udongo( Claysoil) ya kutengeneza “Slavy” ya kutengeneza saruji au shughuli yoyote tani 1 kwa ajili ujazo Tripu moja Tripu moja Kiwango Tsh. 500/- Tsh. 500/- 9 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The text appears to list charges or rates for certain goods and begins a section on forest produce tax.
5. Kokoto tani 1 Mawe tani 1 Tripu moja Tripu moja Udongo kwaajili ya kutengeneza tofari Tripu moja tani 1 Tsh 500/- Tsh1,000/- Tsh. 500/- n) USHURU WA MAZAO YA MISITU Na Aina ya za - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists several wood and tree-seedling categories with their volume unit as cubic metres (m3).
9. Mbao za aina zote na saizi zote ujazo wa m3 Nguzo miti laini ujazo wa m3 Nguzo miti migumu /asili ujazo wa m3 Nguzo mzigo ujazo wa m3 Kuni kwa mzigo ujazo wa m3 Kuni kwa ujazo wa m3 Mkaa ujazo wa m3 Miche ya miti ya kawaida ujazo wa m3 Miche ya miti ya matunda na mapambo ujazo wa m3 - 19 Verify source ↗
Ushuru wa pumba za kuchomea tofali ujazo wa m3
AI-assisted research summary: The provision lists a tax rate of 5% of the purchase price and another amount of TShs. 20,000 per year.
19. Ushuru wa pumba za kuchomea tofali ujazo wa m3 Ushuru (TShs.) 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 20,000/=kwa mwaka 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia 5% ya bei ya kununulia Na. Aina ya mazao - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The section sets a 3% food-crop levy based on farm-gate purchase price and lists annual fees for fishing vessel registration, vessel licensing, and fishing licences. It also includes a form for admitting an offence and paying TZS 200,000 instead of going to court, under the Executive Director’s authority.
2. Mazao ya chakula o) USHURU WA MAZAO Kiwango cha ushuru 3% ya bei ya kununulia shambani 3% ya bei ya kununulia shambani p) ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA UVUVI AINA YA ADA 1 2 3 Kusajiliwa kwa chombo cha uvuvi Leseni ya chombo cha uvuvi Leseni ya uvuvi KIASI KATIKA SHILINGI 10,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa mwaka 15,000/= kwa mwaka 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI ________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 13) _________ HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi.......................................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ............................................................. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi kwamba tarehe ..................... ya mwezi ....................... mwaka ........................... nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha .............................. cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ya mwaka 2022. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, nipo tayari kulipa kiasi cha shilingi laki mbili na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe.....................ya mwezi.........................mwaka...................................... Jina.................................................... Saini........................................................... Mbele ya: Jina:................................................Cheo:............................................ Saini....................................................................................................... 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Tangazo la Serikali Na. 217 (Linaendelea.) Nembo na muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya IKUNGI umebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kwa Azimio lililopitishwa na mkutano wa Baraza la madiwani ulioitishwa Tarehe 22/1/2021 na ubandikwaji huo kushuhudiwa na:- JUSTICE L. KIJAZI, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya , Wilaya ya Ikungi ALLY J. MWANGA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya IKUNGI L.S NAKUBALI, Dodoma, 9 Machi, 2022 UMMY A MWALIMU Waziri wa Nchi-OR-TAMISEMI 12
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in