SHERIA NDOGO ZA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO ZA MWAKA 2022
This provision gives the short title of the by-laws as the Bagamoyo District Council Environmental Sanitation By-laws, 2022.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO ZA MWAKA 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This provision gives the short title of the by-laws as the Bagamoyo District Council Environmental Sanitation By-laws, 2022. These by-laws apply throughout the jurisdiction of Bagamoyo District Council. Section 3 gives the meanings of key terms used in these by-laws, including officer, food, council, director, resident, wastewater, waste, and solid waste. Mmiliki wa nyumba, kiwanja au biashara lazima aweke eneo lake safi, asimamishe utupaji na uondoaji wa taka kama halmashauri inavyoelekeza, achimbe shimo la taka lenye ukubwa wa chini uliotajwa, ajenge na kutumia choo cha kudumu chenye maji na sabuni, na aondoe mazalia ya wadudu. Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wawe na karo la kuhifadhi maji taka, wanyonye maji taka likijaa, na wasimwage maji taka kwenye maeneo yasiyoruhusiwa.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO ZA MWAKA 2022
Showing 17 of 17
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria
AI-assisted research summary: This provision gives the short title of the by-laws as the Bagamoyo District Council Environmental Sanitation By-laws, 2022.
1. Sheria Ndogo hizi zitajulikana kama Sheria Ndogo za Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo za mwaka 2022. Matumizi - 2 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la
AI-assisted research summary: These by-laws apply throughout the jurisdiction of Bagamoyo District Council.
2. Sheria Ndogo hizi zitatumika katika eneo lote la mamlaka ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo. Tafsiri - 3 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama
AI-assisted research summary: Section 3 gives the meanings of key terms used in these by-laws, including officer, food, council, director, resident, wastewater, waste, and solid waste.
3. Katika Sheria Ndogo hizi isipokuwa kama muktadha utahitaji vinginevyo- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote atakayeteuliwa kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chakula” maana yake ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa madawa; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo au afisa yeyote aliyekasimishwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “mkazi” maana yake ni mtu yeyote ambaye kwa kawaida anaishi kwenye eneo lililoko chini ya mamlaka ya Halmashauri na ambaye ama ana kaya au anaishi 1 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri; Sura ya 191 “maji taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Sura ya 191 “taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; Usimamizi wa Mazingira; Sura ya 191 “taka ngumu” Maana yake ni ile iliyoainishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira. Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira - 4 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayemiliki
AI-assisted research summary: Mmiliki wa nyumba, kiwanja au biashara lazima aweke eneo lake safi, asimamishe utupaji na uondoaji wa taka kama halmashauri inavyoelekeza, achimbe shimo la taka lenye ukubwa wa chini uliotajwa, ajenge na kutumia choo cha kudumu chenye maji na sabuni, na aondoe mazalia ya wadudu.
4.-(1) Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayemiliki eneo la nyumba,kiwanja au biashara kuhakikisha kwamba;- (a) mazingira yanayozunguka eneo lake yanakuwa safi wakati wote; (b) taka zote zinakusanywa na kufukiwa au itakayoelekezwa na kuondolewa kwa njia Halmashauri; (d) anajenga (c) anachimba shimo la kutupia taka litakalokuwa na urefu usiopungua kimo cha futi 3 na upana usiopungua futi 2; choo kudumu imara kilichojengwa kwa matofali na kuezekwa kwa bati, tembe, majani, vigae chenye mlango unaofunga na kufunguka na kuhakikisha kwamba choo kinatumika wakati wote na kuwe na chombo cha maji tiririka na sabuni ya kunawa mikono; cha (e) eneo lake halina mazalia ya mbu, panya na wadudu wengine hatarishi. (2) Mtu yeyote atakaye kiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Uhifadhi wa maji taka - 5 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wawe na karo la kuhifadhi maji taka, wanyonye maji taka likijaa, na wasimwage maji taka kwenye maeneo yasiyoruhusiwa.
5.-(1) Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara anatakiwa- (a) kuhakikisha kuwa analo karo la kuhifadhi maji taka; (b) kunyonya maji taka pale karo linapojaa; na (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka vyooni, bafuni, karoni au viwandani kwenda barabarani, uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye 2 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) mfereji wa maji ya mvua au sehemu yoyote isiyotengwa kuhifadhia maji taka. (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Utengenezaji na uuzaji wa vyakula - 6 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma,
AI-assisted research summary: Watu wanaotengeneza, kupika, kuchemsha, kuchoma au kuuza chakula katika eneo la Halmashauri lazima watii masharti ya afya na wawe na kibali cha Afisa Afya wa Halmashauri.
6.-(1) Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa: (a) kutimiza masharti na kanuni za afya; na (b) kuwa na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri. Upimaji wa afya - 7 Verify source ↗
Itakuwa ni wajibu wa kila mhudumu wa hoteli,
AI-assisted research summary: Certain hotel, food, and beverage workers must have their health tested every six months.
7. Itakuwa ni wajibu wa kila mhudumu wa hoteli, migahawa, baa, nyumba za kulala wageni, bucha, waoka mikate, au watu wanaoshughulika na kuuza vyakula vilivyopikwa kuhakikisha kwamba wanapima afya zao kila baada ya miezi sita. Uwezo wa afisa mwidhiniwa Ada ya uzoaji taka Eneo la kutupa taka - 8 Verify source ↗
(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo kuingia
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa ana uwezo wa kuingia katika eneo lolote ndani ya Halmashauri kabla ya saa 12:30 jioni ili kukagua mazingira.
8.-(1) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo kuingia katika eneo lolote ndani ya Halmashauri kabla ya saa 12:30 jioni ili kukagua mazingira. (2) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa jengo ambalo kuzuia watu au mtu kuishi katika linahatarisha afya au maisha ya watu na viumbe hai. - 9 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kutoka
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima itoeza ada ya uzoaji taka kwa kaya, wamiliki wa nyumba za biashara, taasisi na kampuni zilizo ndani ya eneo lake, kwa viwango vya Jedwali la Kwanza.
9. Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kutoka kwa kila kaya, wamilliki wa nyumba za biashara, taasisi na kampuni zilizopo ndani ya eneo la Halmashauri kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. - 10 Verify source ↗
(1) Halmashauri itawajabika
AI-assisted research summary: The council must set aside a designated waste disposal area, place special waste containers in council areas, and provide waste collection services for a fee.
10.-(1) Halmashauri itawajabika - (a) kutenga eneo maalum kwa ajili ya kutupia taka; (b) kuweka vyombo maalum vya kutunzia taka katika maeneo ya Halmashauri; na (c) kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo kutoka kwa wazalishaji wa taka hadi kwenye dampo. 3 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) Siku ya usafi Vikundi vya usafi Marufuku Makosa - 11 Verify source ↗
(1) Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi
AI-assisted research summary: Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya usafi wa mazingira, na kila mkazi wa kijiji au kitongoji lazima ashiriki siku itakayopangwa na Halmashauri.
11.-(1) Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku maalamu ya kufanya usafi wa mazingira katika maeneo ya makazi na umma. (2) Itakuwa ni wajibu na lazima kwa kila mkazi katika kijiji na kitongoji kushiriki usafi wa mazingira kwa siku iliyopangwa na Halmashauri katika maeneo yao na maeneo ya umma. - 12 Verify source ↗
Halmashauri itahamasisha uundaji wa Vikundi
AI-assisted research summary: Halmashauri must encourage and recognize community groups so they can carry out solid waste control and environmental cleanliness activities in the streets, after entering into a contract with the council.
12. Halmashauri itahamasisha uundaji wa Vikundi Jamii na kuvitambua ili kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika mitaa baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. - 13 Verify source ↗
Itakuwa ni marufuku
AI-assisted research summary: Ni marufuku kuendesha biashara ya upulizaji dawa/kuua wadudu bila cheti kinachotambuliwa na Serikali na leseni ya Halmashauri, kuruhusu mifugo kuzurura mitaani, kutupa taka ovyo, au kuwasha muziki kwa sauti ya juu inayowakera wakazi.
13. Itakuwa ni marufuku- (a) mtu yeyote kuendesha biashara ya upulizaji dawa au biashara ya kuua wadudu au wanyama waharibifu katika nyumba yoyote au mahali popote bila cheti cha taaluma kinachotambuliwa na Serikali na leseni kutoka Halmashauri; (b) mfugaji kuruhusu mifugo kuzurura hovyo mitaani au barabarani; (c) mtu yeyote kutupa taka ovyo ndani ya eneo la Halmashauri; (d) mtu yeyote kufungulia mziki kwa sauti ya juu ambayo itasababisha kelele na kuwa kero kwa wakazi wengine. - 14 Verify source ↗
(1) Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kufanya vitendo vya usafi vinavyoharamishwa, ikiwemo kujenga choo ndani ya mita 60 kutoka chanzo cha maji ya matumizi ya binadamu, kutupa au kumwaga kinyesi, maji machafu au taka mahali pasipoidhinishwa, na kuuza chakula nje ya maeneo yaliyotengwa.
14.-(1) Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote- (a) kujenga choo chini ya umbali wa mita 60 kutoka kisimani, bwawani, mtoni, au chanzo kingine cha maji yanayotumika, kwa matumizi ya binadamu; (b) kutoa kinyesi au kusababisha kinyesi, mkojo, maji machafu, yenye kinyesi kutoka kwenye choo chake au bafu lake au karo la kuoshea vyombo au nguo au kutoka kwenye bomba na lolote kuyatitirisha kwenye barabara, mitaa, au kwenye mifereji ya maji ya mvua, au mfereji wowote uliowazi; linalochukua maji machafu, 4 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) (c) kutupa taka au kusababisha mtu mwingine atupe na popote palipokataliwa taka mahali Halmsahauri; (d) kutiririsha maji machafu yanayoweza kusababisha kero kwa wakazi wa maeneo husika; (e) kuuza chakula nje ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili hiyo. Adhabu Kufililisha kosa - 15 Verify source ↗
Mtu yeyote anayekiuka masharti ya Sheria
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi anatenda kosa la jinai na anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote kwa pamoja.
15. Mtu yeyote anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa la jinai na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shilingi laki tatu au kutumikia kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili jela au vyote kwa pamoja. - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hii shilingi 30,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalum.
16. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu thelathini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi. 5 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) __________ JEDWALI LA KWANZA ___________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 9) ADA YA KUZOA UCHAFU SEHEMU A ADA YA TAKATAKA KWA MWEZI. Na.
Part
SEHEMU A
- 35 Verify source ↗
Section 35
AI-assisted research summary: Section 35 lists monthly and yearly waste-disposal fees for different business types, and includes a form allowing a person to admit an offence and pay TSh 30,000 instead of being prosecuted.
35. Aina ya Biashara Pombe za kienyeji Maduka ya rejareja Mama, baba lishe Ghala za mbao Restaurant (mgahawa) Maduka ya jumla Nyumba za kulala wageni Mashine za kusaga Viwanda vya mikate Mashine za kuranda mbao Ofisi za Sekta binafsi Baa zote za pombe za kigeni /grocery Viwanda vya useremala Saloon/vinyozi Gereji ya magari/pikipiki Kuchoma mahindi` Wauza barafu Maduka ya nyama Workshop welding Watengenezaji wakubwa wa barafu Wauza mkaa jumla Wauza mkaa reja reja Filing station Zahanati binafsi Hospitali/vituo vya afya binafsi Biashara ndogo ndogo zisizotajwa Ghala Viwanda Shule/vyuo binafsi Mafundi cherehani Vizimba sokoni (kila kimoja) Kumbi za starehe Vibanda vya simu Wauzaji wa ngozi Kila Kaya 6 Kiwango kwa Mwezi 2,000 5,000 1,000 10,000 3,000 5,000 5,000 4,000 3,000 5,000 2,000 5,000 2,000 10,000 20,000 1,000/= 1,000/= 5,000 5,000 3,000 3,000 1,000 10,000 10,000 300,000 1000 10,000 20,000 5,000 1,000 1,000 10,000 2,000 10,000 1,000 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) SEHEMU B ADA YA KUTUPA TAKA KWENYE DAMPO NA. Jina la Kampuni/Viwanda 1 2 3 Makampuni ya simu Taasisi za kifedha Kampuni nyingine yoyote yenye shughuli zinazozalisha taka. kwa Ada mwezi 30,000 30,000 100,000 Ada kwa mwaka 300,000 300,000 1,200,000 7 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 16) KUFIFILISHA KOSA Mimi…………………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya ................................ kwamba Tarehe ………Mwezi………...Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo za Usafi wa Mazingira Halmashauri za Wilaya ya Bagamoyo za mwaka 2022. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi elfu thelathini na kutekeleza wajibu niliopewa na Sheria Ndogo hizi badala ya kushtakiwa mahakamanni. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………. ya Mwezi………………..………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………… 8 Sheria Ndogo Za Usafi wa Mazingira Za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Tangazo la Serikali Na. 222 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia azimio lililopitishwa katika kikao cha Baraza la Madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kilichofanyika tarehe 17/11/2021. SHAURI SELENDA, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Bagamoyo. MOHAMED ABDALLAH USINGA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Bagamoyo. L.S NAKUBALI, Dodoma, INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), 1 Machi, 2022 Waziri wa Nchi OR-Tamisemi, 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA USAFI WA MAZINGIRA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO ZA MWAKA 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in