SHERIA NDOGO YA USHURU WA MAZAO YA MISITU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
This section states the name of the by-law and says it applies throughout the Kilolo District Council area.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA USHURU WA MAZAO YA MISITU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section states the name of the by-law and says it applies throughout the Kilolo District Council area. Sehemu hii inafafanua maneno muhimu yanayotumika kwenye Sheria Ndogo. Wachuuzi wa mazao ya misitu ndani ya eneo la Halmashauri lazima wawe na leseni ya biashara ya mazao ya misitu. Mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri lazima alipe ushuru wa asilimia 5 ya bei ya kununulia na atoe/adai risiti ya kielektroniki baada ya kulipa. This section concerns the establishment of inspection stations for forest products during transport.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA USHURU WA MAZAO YA MISITU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
Showing 19 of 19
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section states the name of the by-law and says it applies throughout the Kilolo District Council area.
2. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Misitu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya Mwaka, 2022. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo. - 3 Verify source ↗
Katika
AI-assisted research summary: Sehemu hii inafafanua maneno muhimu yanayotumika kwenye Sheria Ndogo.
3. Katika Ndogo Sheria itakapoelekezwa vinginevyo: - “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote kusimamia na Mkurugenzi isipokuwa aliyeteuliwa utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; hizi “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo; “mazao ya misitu” maana yake ni mbao, nguzo ndogo (Milunda), nguzo kubwa, mkaa, fito na magogo mabichi na makavu; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri na ni pamoja na Afisa yeyote atakayeteuliwa ya Mkurugenzi; kutekeleza majukumu 1 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) “mnunuzi” maana yake ni mtu, kikundi cha watu au taasisi inayotambuliwa chini ya sheria za nchia mbayo inajihusisha na biashara ya mazao ya misitu ndani na nje ya Halmashauri; “muuzaji” maana yake ni mtu, kikundi cha watu au taasisi inayotambuliwa chini ya sheria za nchi inayojishughulisha na uzalishaji au uuzaji wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri’ isipokuwa muuzaji ambaye ni mkulima; “ushuru” maana yake ni ushuru wa mazao ya misitu utakaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii; “wakala” maana yake ni mtu, kikundi cha watu au taasisi inayotambuliwa chini ya sheria za nchi atakayeteuliwa na Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. Leseni ya biashara ya mazao ya misitu - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wachuuzi wa mazao ya misitu ndani ya eneo la Halmashauri lazima wawe na leseni ya biashara ya mazao ya misitu.
4. (1) Kila muuzaji wa mazao ya misitu ndani ya eneo la Halmashauri atatakiwa kuwa na leseni ya kuendesha biashara ya mazao ya misitu. (3) Mtu yeyote atakayefanya biashara ya kuuza mazao ya misitu bila ya kuwa na leseni iliyotolewa na Halmashauri atakuwa ametenda kosa. Ushuru wa mazao ya misitu - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri lazima alipe ushuru wa asilimia 5 ya bei ya kununulia na atoe/adai risiti ya kielektroniki baada ya kulipa.
5. (1) Kila mnunuzi wa mazao ya misitu ndani ya Halmashauri atatakiwa kulipa ushuru kwa kiwango cha asilimia tano ya bei ya kununulia. (2) Mnunuzi atatakiwa kulipa ushuru kwa Afisa Mwidhiniwa au Wakala na atawajibika kudai risiti ya kielektroniki. Uteuzi wa Wakala 6 (1) Halmashauri inaweza kumteua Wakala kwa madhumuni ya kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. 2 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) (2) Wakala atakayeteuliwa na Halmashauri atakuwa na jukumu la kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii. - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This section concerns the establishment of inspection stations for forest products during transport.
7. Uanzishwaji wa Vituo vya ukaguzi wa mazao ya misitu Usafirishaji wa mazao ya misitu - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuweka vituo vya ukaguzi wa mazao ya misitu. Wasafirishaji lazima wajaze fomu maalumu na wawe na vibali, stakabadhi ya ushuru, na leseni ya biashara. Ukiukaji unaweza kuleta utaifishaji wa mazao kwa kibali cha Mahakama na adhabu ya faini au kifungo.
10. (1) Halmashauri inaweza kuanzisha vituo mbalimbali ndani ya Halmashauri kwa madhumuni ya kukagua mazao ya misitu yanayosafirishwa kutoka ndani ya mamlaka ya Halmashauri. (2) Ukaguzi wa mazao ya misitu Vituoni utahusisha uhakiki wa nyaraka za uuzaji na ununuzi wa zao husika na ushuru uliolipwa. (1) Kila msafirishaji wa mazao ya misitu ndani ya eneo la Halmashauri atatakiwa kujaza fomu maalumu zilizoambatishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii na atahakikisha kuwa ana: - (a) kibali cha kuvuna mazao ya misitu; (b) kibali cha kununua mazao ya misitu; (c) nakala ya stakabadhi ya ushuru uliolipwa na muuzaji au mnunuzi wa mazao hayo; na (d) leseni ya biashara ya mazao ya misitu. Halmashauri inaweza kutaifisha na kuuza mazao ya misitu yaliyouzwa au kununuliwa bila kufuata masharti ya Sheria Ndogo hii, baada ya kuomba na kupata kibali cha Mahakama kwa madhumuni hayo. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na endapo atatiwa hatiania faini atahukumiwa isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi adhabu kulipa ya 3 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) Kufifilisha kosa - 11 Verify source ↗
Section 11
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mkosaji shilingi laki mbili ikiwa anakiri kosa kwa hiari, anajaza fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili, na anakubali kutekeleza wajibu wake.
11. ishirini na nne au adhabu zote mbili kwa pamoja yaani faini na kifungo. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mtu huyo atakiri kosa kwa hiari yake mwenyewe kwa kujaza Fomu iliyoainishwa katika Jedwali la Pili na kukubali kutekeleza wajibu wake. 4 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) FOMU NAMBA 1 JEDWALI LA KWANZA (limetungwa chini ya kifungu cha 8 KIBALI CHA KUVUNA MAZAO YA MISITU (Chini ya kifungu cha 8)
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A blank field for entering the seller/buyer name.
1. Jina la Muuzaji/Mvunaji:___________________________________________ - 2 Verify source ↗
Anuani S.L.P___________mji/kijiji_____________kitongoji______________
AI-assisted research summary: A form field for an address and phone number.
2. Anuani S.L.P___________mji/kijiji_____________kitongoji______________ Simu____________________ - 3 Verify source ↗
Mahali anapoishi Mji/Kijiji ________________ Kitongoji:________________
AI-assisted research summary: This section asks for the person’s town or village and neighborhood of residence.
3. Mahali anapoishi Mji/Kijiji ________________ Kitongoji:________________ - 4 Verify source ↗
Aina ya zao analotaka kukata:_______________________________________
AI-assisted research summary: This section labels the type of crop to be harvested.
4. Aina ya zao analotaka kukata:_______________________________________ - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The form asks for the buyer’s name and address.
5. Jina la Mnunuzi:_________________________Anuani__________________ - 6 Verify source ↗
Kiasi cha Mazao kichovunwa/uzwa:__________________________________
AI-assisted research summary: Section heading for the quantity of produce harvested/sold, with a blank line to be filled in.
6. Kiasi cha Mazao kichovunwa/uzwa:__________________________________ - 7 Verify source ↗
Namba ya leseni ya biashara ya mazao ya misitu______________________
AI-assisted research summary: The applicant undertakes to sell forest produce only in line with the bylaw and to price it using cubic metres, not otherwise.
7. Namba ya leseni ya biashara ya mazao ya misitu______________________ / NATHIBITISHA kwamba MIMI________________________________________NAAPA nitauza mazao yangu ya misitu Kwa kuzingatia matakwa ya Sheria Ndogo ya (Ushuru wa Mazao ya Misitu) ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo za Mwaka, 2022 kwa kuzingatia kipimo cha mita za ujazo katika kutoza bei na sio Vinginevyo. Pia natambua kuwa kuuza mazao hayo kinyume na matakwa ya Sheria Ndogo hizi ni kosa na nastahili adhabu. Saini ya Mwombaji:___________________________________________________Alama ya dole gumba__________________________________ Tarehe ya kusaini kibali:_______________________________________________ Jina la Afisa Mtendaji wa Kijiji:_________________________________________ Saini ya Afisa Mtendaji:_______________________________________________ Mhuri wa Mtendaji wa Kijiji:___________________________________________ 5 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) FOMU NAMBA 2 KIBALI CHA KUNUNUA MAZAO YA MISITU - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section is a form field for entering the buyer’s name.
1. Jina la Mnunuzi:__________________________________________________ - 2 Verify source ↗
AnuaniS.L.P___________Mji/kijji______________kitongoji______________
AI-assisted research summary: 2. AnuaniS.L.P___________Mji/kijji______________kitongoji______________
2. AnuaniS.L.P___________Mji/kijji______________kitongoji______________ - 4 Verify source ↗
Aina ya zao analotaka kununua:_____________________________________
AI-assisted research summary: This section is a prompt asking for the type of crop the buyer wants to purchase.
4. Aina ya zao analotaka kununua:_____________________________________ - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This line is a form field for the seller’s name and address.
5. Jina la Muuzaji:____________________anuwani _________________ - 6 Verify source ↗
Kiasi cha Mazao kitachonunuliwa:_____________________________________
AI-assisted research summary: Mtu anayenunua mazao ya misitu lazima ayanunue kwa kufuata Sheria Ndogo na kutumia kipimo cha mita za ujazo katika kulipa bei; kununua kinyume na masharti hayo ni kosa.
6. Kiasi cha Mazao kitachonunuliwa:_____________________________________ MIMI_____________________________________________NAAPA kwamba nitanunua mazao ya misitu kwa kuzingatia matakwa ya Sheria Ndogo ya ( Ushuru wa Mazao ya Misitu) ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2022 kwa kuzingatia kipimo cha mita za ujazo katika kulipa bei na sio Vinginevyo. Pia natambua kuwa kununua mazao hayo kinyume na matakwa ya Sheria Ndogo hizi ni kosa na nastahili adhabu. NATHIBITISHA; / Saini ya Mwombaji:______________________________________________________ Alama ya dole gumba la Mwombaji_________________________________________ Tarehe ya kusaini kibali:___________________________________________________ Jina la Afisa Mtendaji wa Kijiji:_____________________________________________ Saini ya Afisa Mtendaji:___________________________________________________ Mhuri wa Mtendaji wa Kijiji:_______________________________________________ 6 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA PILI ____________ (Limetungwa chini ya kifungu cha 11) HATI YA KUFIFILISHA KOSA Mimi:_________________________________________nakiri ya Bw/Bi:______________Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri yaWilaya ya Kilolo kwamba tarehe:_______________ya mwezi_________mwaka___________nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu chaa__________________cha Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Misitu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya Mwaka 2022. mbele Nipo tayari kulipa kiasi Shilingi laki mbili badala ya kushtakiwa Mahakamani. Nathibitisha kwamba maelezo ya hapo juu ni ya kweli na nimeyatoa kwa hiari yangu kadri ya ufahamu wangu huku nikifahamu kuwa nilichofanya ni kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo ya Ushuru wa Mazao ya Misitu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya mwaka 2022. Jina:_________________________________saini_____________alama dole ____________________________________tarehe_______________________________ gumba ya Mbele ya: Jina:____________________________________Saini___________________ tarehe:_________________________________ 7 Sheria Ndogo ya Ushuru Wa Mazao ya Misitu Ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi za (Ushuru wa Mazao ya Misitu) kufuatia Azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 11/8/2021 mbele ya:- LAIN E. KAMENDU, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Kilolo. ANNA M. MSOLA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Kilolo. L.S NAKUBALI, Dodoma, INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), 2 Machi, 2022 Waziri wa Nchi OR-Tamisemi, 8
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA USHURU WA MAZAO YA MISITU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in