SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO ZA MWAKA 2022
These by-laws are named the Kilolo District Council Fees and Charges By-laws, 2022.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO ZA MWAKA 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
These by-laws are named the Kilolo District Council Fees and Charges By-laws, 2022. This section defines key terms used in the by-laws, including fee, official, council, permit, construction minerals, director, levy, and agent. Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizoorodheshwa; malipo hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma. Anyone required to pay a fee or tax under these by-laws must pay it according to the rates set out in the by-laws. Ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO ZA MWAKA 2022
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi itajulikana kama Sheria Ndogo
AI-assisted research summary: These by-laws are named the Kilolo District Council Fees and Charges By-laws, 2022.
1. Sheria Ndogo hizi itajulikana kama Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya Mwaka 2022. - 2 Verify source ↗
Katika Sheria Ndogo hizi,
AI-assisted research summary: This section defines key terms used in the by-laws, including fee, official, council, permit, construction minerals, director, levy, and agent.
2. Katika Sheria Ndogo hizi, isipokuwa pale muktadha utahitaji vinginevyo- “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “afisa mwadhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hiz; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “madini ya ujenzi” maana yake ni kifusi, udongo, mchanga, tarazo, moramu, mawe, kokoto, mawe, chokaa na madini mengine yanayotumika katika ujenzi; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa 1 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) Utozaji wa ada na ushuru katika eneo la Halmashauri; “wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. - 3 Verify source ↗
(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya
AI-assisted research summary: Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa vibali, leseni na huduma zake zilizoorodheshwa; malipo hufanywa kabla au wakati wa kupokea huduma.
3.-(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya vibali, leseni na huduma mbalimbali zinazotolewa na Halmashauri kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hizi. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hizi utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kwa kadri Halmashauri itakavyoelekeza. (4) Malipo ya ada au ushuru yatalipwa kabla au wakati wa kupokea huduma inayotozwa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hizi. Wajibu wa kulipa ada na ushuru - 4 Verify source ↗
Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa
AI-assisted research summary: Anyone required to pay a fee or tax under these by-laws must pay it according to the rates set out in the by-laws.
4. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi atatakiwa kulipa ada au ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hizi. Muda wa kukusanya ada na ushuru - 5 Verify source ↗
(1) Muda wa kukusanya ushuru utakuwa ni
AI-assisted research summary: Ushuru hukusanywa kati ya saa 12 asubuhi na saa 12 jioni, isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
5.-(1) Muda wa kukusanya ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kila siku au kwa mwezi au kwa namna yeyote itakayokubalika kulingana na makubaliano yatakayowekwa kati ya Halmashauri na mlipa ada au ushuru. (4) Malipo ya ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo cha malipo yaliyofanyika. 2 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) Usimamizi wa Sheria Ndogo - 6 Verify source ↗
(1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kufunga biashara isiyo na leseni au kibali, na inaweza pia kukamata au kuzuilia mali au bidhaa kwa kushindwa kulipa ushuru. Wakala hawezi kukamata bila idhini ya maandishi ya Mkurugenzi.
6.-(1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru. (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata itauza mali au bidhaa na fedha amri ya nahakama, zitakazopatikana zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za mahakama na gharama za mnada. (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa na Halmashauri au wakala. Uteuzi wa wakala - 7 Verify source ↗
(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuteua wakala wa kukusanya ushuru, na wakala huyo lazima akusanye na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri.
7.-(1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua wakala kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo alilopangiwa na kwa viwango vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hizi; (b) kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo wa kielektroniki na kuwasilisha makusanyo yote kwa kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri. 3 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) Mamlaka ya afisa mwidhiniwa - 8 Verify source ↗
Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria
AI-assisted research summary: Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia eneo, jengo au chombo cha usafiri, chini ya masharti ya Sheria Ndogo hii, kwa ajili ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini, au kufanya mambo yanayohusu ada, ushuru, leseni au kibali.
8. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi. Makosa na adhabu - 9 Verify source ↗
(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akishindwa kulipa ushuru, kuwashawishi wengine kukwepa ada au ushuru, kuzuia mamlaka kutekeleza majukumu, au kutoa taarifa za uongo; ukitiwa hatiani, faini au kifungo vinaweza kutolewa.
9.-(1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: (a) atashindwa kulipa ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (b) atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; (c) atamzuia Mkurugenzi, Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; au (d) atatoa taarifa za uongo kwa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1), atatoa faini isiyopungua shilingi laki isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo mbili na kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. - 10 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyefanya kosa chini ya Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, anakubali kujaza fomu ya Jedwali la Pili, na kulipa ada au ushuru unaodaiwa.
10. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hizi kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hizi na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. - 11 Verify source ↗
Sheria Ndogo zifuatazo zimefutwa
AI-assisted research summary: This section repeals the listed Kilolo District Council bylaws.
11. Sheria Ndogo zifuatazo zimefutwa: (a) Sheria Ndogo za Kituo cha Mabasi za Halmashauri ya Wilaya ya. Kilolo, 2009. Sheria Ndogo za Masoko za Halmashauri ya Wilaya Kilolo, 2009; (b) Sheria Ndogo za Matangazo ya Biashara za Halmashauri ya Wilaya Kilolo, 2009; (c) Sheria Ndogo za ushuru wa Maegesho za 4 Kufililisha kosa Kufutwa kwa TANGAZO LA SERIKALI NA. 49 la 2009 50 la2009 51 la 2009 92 la 2012 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) 166 la 2012 167 la 2012 168 la 2012 169 la 2012 91 la 2015 Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2012; (d) Sheria Ndogo za Ada za Burudani za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2012; (e) Sheria Ndogo za Kodi za Huduma ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2012; (f) Sheria Ndogo za Vibali vya Ujenzi za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2012; (g) Sheria Ndogo za Ushuru wa Mazao Mchanganyiko za Halamashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2012; na (h) Sheria Ndogo za Ushuru wa Madini za Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, 2015. 5 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA KWANZA __________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 3) SEHEMU A. USHURU WA MAZAO YA KILIMO NA BIASHARA
Part
SEHEMU A.
- 2 Verify source ↗
Mazao ya Biashara
AI-assisted research summary: This section lists local fees and taxes for livestock products, market stalls, hall rentals, services, parking, bus stands, and construction minerals.
2. Mazao ya Biashara Asilimia 3 ya bei ya kununulia Asilimia 3 ya bei ya kunulia SEHEMU B USHURU WA MAZAO YA MIFUGO NA AINA YA ZAO USHURU (TSHS) KIPIMO 1 2 3 4 5 6 7 Ngozi ya Ng’ombe Ngozi ya Mbuzi Ngozi ya Kondoo Tenga la Kuku Ushuru wa Kuwamba ngozi katika mabanda ya ngozi Ushuru wa minada Ushuru wa ukaguzi wa nyama 20,000/= Kwa ngozi 100 12,000/= Kwa ngozi 100 12,000/= Kwa ngozi 100 1,000/= Kwa kila tenga la kuku kumi (10) 200/= Kwa ngozi moja 4,000/= 1,000/= 1,000/= 2,000/= 500/= 1,000/= Ng’ombe mmoja Mbuzi/Kondoo mmoja Nguruwe mmoja Ng’ombe mmoja Mbuzi/Kondoo mmoja Nguruwe mmoja SEHEMU C. ADA YA KUKODI UKUMBI NA MALI ZA HALMASHAURI. (a) Ukumbi wa Halmashauri……………………………… 100,000/= kwa siku moja. SEHEMU D. USHURU WA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KATIKA HALMASHAURI (a) Huduma zinazotolewa na Wazabuni, Kandarasi, Kampuni/tawi la Kampuni, Duka na watu binafsi wanaofanya biashara katika eneo la Halmashauri watalipa 0.3% ya mapato kwa mwezi. (b) Wafanyabiashara wadogo ambao hawafungi hesabu watalipa Tshs 20,000 kwa mwaka kama kodi ya huduma. SEHEMU E Kodi ya pango WA VIBANDA VYA BIASHARA a) kuzunguka soko la Halmashauri……………………30,000 kwa mwezi. b) Kuzunguka vituo vya mabasi……………………………. 30,000 kwa mwezi. c) Pango la meza katika soko la Halmashauri…………………10,000 kwa mwezi. 6 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) d) Ushuru wa kizimba/meza………………………………………. 1,000 kwa kila siku ya gulio. SEHEMU F USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI KWENYE MAENEO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI a) Magari makubwa ………….………………………….………. b) Magari madogo chini ya tani 2.5 …… …….1000 Kwa siku c) Pikipiki……………………………………………….…………….…. 500 kwa siku d) Pikipiki ya magurudumu matatu na Bajaji…………… 500 kwa siku 3,000/= kwa siku SEHEMU G USHURU WA KULAZA MAGARI KWENYE MAENEO YANAYOMILIKIWA NA HALMASHAURI a) Magari makubwa………………………………………….………3,000/= kwa usiku mmoja b) Basi la abiria zaidi ya 28 …………………………….………. 3,000/= kwa usiku mmoja c) Basi la abiria chini ya 28 ………………………………………. 2,000/= Kwa usiku mmoja d) Taksi na magari mengine madogo ya watu binafsi ………. 1,000 Kwa usiku mmoja e) Pikipiki……………………………………………….……………. 500 kwa usiku mmoja f) Pikipiki ya magurudumu matatu na Bajaji…………… 500 kwa usiku mmoja SEHEMU H USHURU WA KITUO CHA MABASI a) Basi la abiria zaidi ya 40 (basi kubwa) ……………………………………. 1,000/= b) Basi la abiria ya zaidi ya 20 chini ya 40 (coaster)……………………. 1,000/= c) Basi la abiria chini ya 20 (Hiace) ……………………………………………. 500/= d) Magari madogo kama Taksi, Noah na mengine …………………………………. 500/= SEHEMUI USHURU WA MADINI YA UJENZI NA AINA YA MADINI 1 2 3 Mawe kwa ajili ya kutengenezea chokaa Kokoto Udongo (Kifusi)
Part
SEHEMU H
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision lists fees for construction-related materials, building permits, land-use change applications, and several cultural activity permits.
4. Mawe kwa ajili ya ujenzi 5 Mchanga KIPIMO Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 KIASI (Tshs) 12,000/= 18,000/= 30,000/= 4,000/= 6,000/= 10,000/= 2,000/= 4,000/= 7,000/= 2,000/= 4,000/= 7,000/= 2,000/= 4,000/= 7,000/= 7 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) 6 7 8 Chokaa Changarawe Tofali 12,000/= 18,000/= 30,000/= 2,000/= 4,000/= 7,000/= 3,000/= 4,500/= 7,500/= Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 1 hadi 4 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 4 hadi 8 Mita za Ujazo (Cubic Meter) 8 hadi 15 SEHEMU J ADA YA VIBALI VYA UJENZI (a) Ghorofa Moja ……………………………………………………….. 120,000/= (b) Ghorofa mbili na zaidi……………………………………………….. 150,000/= (c) Kituo cha mafuta (Sheli)…………………………………………… 250,000/= (d) Maghala na bohari……………………………………………..………… 200,000/= (e) Mnara wa simu …………………………………………..…………….. 300,000/= (f) Nyumba ya Makazi na Biashara……………………………………. 40,000/= (g) Nyumba ya Biashara (Guest House, Hotels, Shopping malls)… 50,000/= (h) Nyumba za makazi …………………………………………………. 30,000/= (i) Kibali ya kukata barabara …………………………………………… 50,000/= (j) Kujenga fensi ………………………………………………………… 30,000/= (k) Nyumba ya ibada……………………………………………………..50,000/ SEHEMU K ADA YA MAOMBI YA MABADILIKO YA MATUMIZI YA JENGO LILILOPO (a) Nyumba ya Makazi ……………………………………………………. 10,000/= (b) Nyumba ya biashara …………………………………………………… 50,000/= (c) Ghorofa zote ……………………………………………………………….100,000/= (d) Kiwanda, Bohari, ghara n.k …………………………………..…… 100,000/= (e) Kituo cha Mafuta (Sheli) ……………………………………………100,000/= SEHEMU L a) Kusajili kikundi cha sanaa, ngoma, muziki Tshs. 50,000/= Kwa Mwaka ADA YA SHUGHULI ZA UTAMADUNI b) Kibali cha kupiga disco kwa siku moja:- (i) (ii) (iii) Kikundi cha ndani ya Wilaya Tshs. 20,000/= Kikundi cha nje ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Tshs. 30,000/= Kikundi cha nje ya Mkoa Tshs. 40,000/= c) Kibali cha kupiga dansi kwa siku moja:- (i) (ii) Kikundi cha ndani ya Wilaya Tshs. 15,000/= Kikundi cha nje ya Wilaya lakini ndani ya Mkoa Tshs. 20,000/= Kikundi cha nje ya Mkoa Tshs. 30,000/= d) Kibali cha kutengeneza vifaa vya kiutamaduni kama vinyago, vikapu, machanuo, nyungo, ngoma, michoro na maandishi Tshs. 5,000/= ambacho kitatumika kwa mwezi mmoja tu. e) Kibali cha Sherehe Tshs. 30,000/= kwa siku. f) Kibali cha Matangazo ya biashara kwa kutumia vipaza Sauti Tshs. 30,000/= kwa siku 8 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) g) Kibali cha kuendesha ghughuli zote za utamaduni ambazo hazijatajwa hapo juu Tshs. 10,000/= kwa siku. h) Kibali cha kuendesha utafiti wa mambo ya kale na tafiti zingine zifananazo na hizo ni:-
Part
SEHEMU L
- 1 Verify source ↗
Raia wa Tanzania ………………….Tshs. 1,000/= kwa siku
AI-assisted research summary: The provision refers to Tanzanian citizens and states an amount of Tshs. 1,000 per day.
1. Raia wa Tanzania ………………….Tshs. 1,000/= kwa siku - 2 Verify source ↗
Asie Raia wa Tanzania ………….US $ 5 kwa siku
AI-assisted research summary: This section gives a form for a person to voluntarily confess an offence under the Kilolo District Council by-laws and state readiness to pay the owed fee or levy plus a fine.
2. Asie Raia wa Tanzania ………….US $ 5 kwa siku 9 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI (Limengenezwa chini ya kifungu cha 10) KUFIL ILISHA KOSA Mimi…………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, kwamba mnamo tarehe ………mwezi………. Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo za mwaka 2022. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halamashauri ya Wilaya ya Kilolo, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninayodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………………………. ya Mwezi…………………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………… 10 Sheria Ndogo Za Ada Na Ushuru Za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 224 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi za (Usafi wa Mazingira) kufuatia Azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 11/8/2021 mbele ya:- LAIN E. KAMENDU, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Kilolo. ANNA M. MSOLA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Kilolo. L.S NAKUBALI, Dodoma, INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), 2 Machi, 2022 Waziri wa Nchi OR-Tamisemi, 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO ZA ADA NA USHURU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO ZA MWAKA 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in