SHERIA NDOGO YA USAFI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
Section 3 names the bylaw and says it applies throughout Kilolo District Council area, subject to any other stated exception.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- SHERIA NDOGO YA USAFI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
Section 3 names the bylaw and says it applies throughout Kilolo District Council area, subject to any other stated exception. Wamiliki wa maeneo ya nyumba, viwanja, au biashara lazima waweke eneo lao safi, washughulikie taka kwa njia ya Halmashauri, wachimbe shimo la taka, wajenge na watumie choo cha kudumu chenye vifaa vya kunawa mikono, na waondoe mazalia ya mbu na wadudu hatarishi. Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wawe na karo la kuhifadhi maji taka na wasimwage maji taka barabarani au kwenye maeneo yasiyoruhusiwa. Watu wanaotengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula katika eneo la Halmashauri lazima wazingatie masharti ya afya na wawe na kibali cha Afisa Afya wa Halmashauri. Watu wanaoendesha hoteli, migahawa, baa, nyumba za kulala wageni, bucha, mikate, au uuzaji wa vyakula vilivyopikwa lazima wapime afya kila baada ya miezi sita.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of SHERIA NDOGO YA USAFI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
Showing 18 of 18
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section 3 names the bylaw and says it applies throughout Kilolo District Council area, subject to any other stated exception.
3. Sura ya 191 Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya mwaka 2022. Sheria Ndogo hii itatumika katika eneo lote la Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo. isipokuwa atakayeteuliwa Katika Sheria Ndogo hii itakapoelezwa vinginevyo; - “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hii; “chakula” maana yake ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na binadamu isipokuwa dawa; “Halmashauri” Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo au afisa yeyote wa umma atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 1 maana yake ni Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) taka” maana “mkazi” maana yake ni mtu yeyote ambaye kwa kawaida anaishi kwenye eneo lililoko chini ya mamlaka ya Halmashauri na ambaye ama ana kaya au anaishi katika kaya au taasisi iliyopo katika eneo la Halmashauri; ile “maji iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira; “taka” maana yake ni ile iliyoanishwa ya Usimamizi wa katika Mazingira; “taka ngumu” Maana yake ni ile iliyoainishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira. Sheria yake ni Wajibu wa kufanya usafi wa mazingira - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wamiliki wa maeneo ya nyumba, viwanja, au biashara lazima waweke eneo lao safi, washughulikie taka kwa njia ya Halmashauri, wachimbe shimo la taka, wajenge na watumie choo cha kudumu chenye vifaa vya kunawa mikono, na waondoe mazalia ya mbu na wadudu hatarishi.
4. (1) Itakuwa ni wajibu wa kila mkazi anayemiliki eneo la nyumba,kiwanja au biashara kuhakikisha kwamba;- (a) mazingira yanayozunguka eneo lake yanakuwa safi wakati wote; zote (b) taka zinakusanywa na kufukiwa au kuondolewa kwa njia itakayoelekezwa na Halmashauri; (c) anachimba shimo la kutupia taka litakalokuwa na urefu usiopungua tatu na upana kimo cha futi usiopungua futi mbili; kwa bati, (d) anajenga choo imara cha kudumu kilichojengwa kwa matofali na tembe, kuezekwa majani, vigae chenye mlango unaofunga na kufunguka na choo kuhakikisha kinatumika wakati wote na kuwe na chombo cha maji tiririka na sabuni ya kunawa mikono; kwamba 2 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) (e) eneo lake halina mazalia ya mbu, na wadudu wengine panya hatarishi. Uhifadhi wa maji taka - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Wamiliki wa nyumba, viwanda au maeneo ya biashara lazima wawe na karo la kuhifadhi maji taka na wasimwage maji taka barabarani au kwenye maeneo yasiyoruhusiwa.
5. (1) (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Kila mmiliki wa nyumba, kiwanda au eneo la biashara anatakiwa: - (a) kuhakikisha kuwa analo karo la kuhifadhi maji taka; (b) linapojaa; na (c) kutotiririsha au kutoelekeza maji kutoka vyooni, bafuni, karoni au viwandani barabarani, kwenda uchochoroni, mtoni, kwenye vyanzo vya maji, maeneo ya wazi, kwenye mfereji wa maji ya mvua au sehemu yoyote isiyotengwa kuhifadhia maji taka. kunyonya maji taka pale karo Utengenezaji na uuzaji wa vyakula
Part
sehemu yoyote
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Watu wanaotengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula katika eneo la Halmashauri lazima wazingatie masharti ya afya na wawe na kibali cha Afisa Afya wa Halmashauri.
6. (1) (2) Mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu kidogo cha (1) atakuwa ametenda kosa. Mtu yeyote anayetengeneza, kuchoma, kupika, kuchemsha au kuuza chakula cha aina yoyote katika eneo la Halmashauri atatakiwa: (a) kutimiza masharti na kanuni za afya; na (b)kuwa na kibali kutoka kwa Afisa Afya wa Halmashauri. Upimaji wa Afya - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Watu wanaoendesha hoteli, migahawa, baa, nyumba za kulala wageni, bucha, mikate, au uuzaji wa vyakula vilivyopikwa lazima wapime afya kila baada ya miezi sita.
7. Itakuwa ni wajibu wa kila: (a) mhudumu wa hoteli, mgahawa, baa, nyumba ya kulala wageni au bucha; 3 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) (b) muoka mikate; au (c) mtu anayeshughulika na kuuza vyakula vilivyopikwa, kuhakikisha kuwa anapima afya kila baada ya miezi sita. Uwezo wa Afisa Mwidhiniwa - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: A licensed officer may enter any area within the Council before 12:30 p.m. to inspect the environment, and may prevent a person from living in a building that endangers human or living creature health or life.
8. (1) (2) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuingia katika eneo lolote ndani ya Halmashauri kabla ya saa 12:30 jioni ili kukagua mazingira. Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo wa kuzuia mtu kuishi katika jengo ambalo linahatarisha afya au maisha ya watu na viumbe hai. Ada ya uzoaji taka - 9 Verify source ↗
Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kutoka
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima ichuje ada ya uzoaji taka kutoka kwa kaya, wamiliki wa nyumba za biashara, taasisi na kampuni zilizo ndani ya eneo hilo, kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza.
9. Halmashauri itatoza ada ya uzoaji taka kutoka kwa kila kaya, wamilliki wa nyumba za biashara, taasisi na kampuni zilizopo ndani ya eneo viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. la Halmashauri kwa Eneo la kutupa taka - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Halmashauri na wakazi wana wajibu wa kufanya usafi wa mazingira, na kuna marufuku na makosa kadhaa kuhusu taka, mifugo, kelele, choo, na maji machafu.
10. (1) Siku ya usafi 11 (1) Halmashauri itakuwa na wajibu wa: - (a) kutenga eneo maalum kwa ajili ya kutupia taka; (b) kuweka vyombo maalum vya kutunzia taka katika maeneo ya Halmashauri; na (c) kutoa huduma ya uzoaji taka kwa malipo kutoka kwa wazalishaji wa taka hadi kwenye dampo. Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku maalamu ya kufanya usafi wa mazingira katika maeneo ya makazi na umma. 4 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) (2) Kila mkazi katika katika eneo la Halmashauri atakuwa na wajibu wa kushiriki usafi wa mazingira kwa siku iliyopangwa na Halmashauri katika maeneo ya makazi na maeneo ya umma. Vikundi vya usafi 12 Jamii kuvitambua itahamasisha uundaji wa Halmashauri Vikundi ili na kuviwezesha kufanya shughuli za udhibiti wa taka ngumu pamoja na usafi wa mazingira katika mitaa baada ya kuingia mkataba na Halmashauri. Marufuku 13 Ni marufuku; - (a) mtu yeyote kuendesha biashara ya upulizaji dawa au biashara ya kuua wadudu au wanyama waharibifu katika nyumba yoyote au mahali popote bila cheti cha taaluma kinachotambuliwa na Serikali na leseni kutoka Halmashauri; (b) mfugaji kuruhusu mifugo kuzurura hovyo mitaani au barabarani; (c) mtu yeyote kutupa taka ovyo ndani ya eneo la Halmashauri; (d) mtu yeyote kufungulia mziki kwa sauti ya juu ambayo itasababisha kelele na kuwa kero kwa wakazi wengine. Makosa 14 (1) Itakuwa ni kosa chini ya Sheria Ndogo hii kwa mtu yeyote; - (a) kujenga choo chini ya umbali wa mita 60 kutoka kisimani, bwawani, mtoni, au chanzo kingine cha maji yanayotumika, kwa matumizi ya binadamu; 5 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) (b) kutoa kinyesi au kusababisha kinyesi, mkojo, maji machafu, yenye kinyesi kutoka kwenye choo chake au bafu lake au karo la kuoshea vyombo au nguo au kutoka kwenye bomba lolote linalochukua maji machafu, na kuyatitirisha kwenye barabara, mitaa, au kwenye mifereji ya maji ya mvua, au mfereji wowote uliowazi; (c) kutupa taka au kusababisha mtu mwingine atupe taka mahali popote palipokataliwa na Halmsahauri; (d) kutiririsha machafu maji yanayoweza kusababisha kero kwa wakazi wa maeneo husika; (e) kuuza chakula nje ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili hiyo. Adhabu - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Anyone who acts contrary to these by-laws commits an offence and may be fined 300,000 shillings, imprisoned for up to 12 months, or both.
15. Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hizi atakuwa ametenda kosa na endapo atatiwa hatiani atatozwa faini ya kiasi cha shilingi laki tatu au kutumikia kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili au adhabu zote mbili kwa pamoja faini na kifungo. Kufifilisha kosa - 16 Verify source ↗
Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyekosa chini ya Sheria Ndogo hii shilingi 50,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa kwa hiari na yuko tayari kujaza fomu maalum ya Jedwali la Pili.
16. Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi elfu hamsini iwapo mkosaji atakiri kosa kwa hiari na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoambatishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. 6 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) - 17 Verify source ↗
Sheria Ndogo hizi zinafuta sheria Ndogo za
AI-assisted research summary: This section repeals the 2009 Kilolo District Council sanitation by-laws and sets waste-collection fees for listed institutions.
17. Sheria Ndogo hizi zinafuta sheria Ndogo za Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo za mwaka 2009. Kufutwa kwa Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya Mwaka 2009 Tangazo la Serikali Na.170 la tarehe12/06/2009. 7 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA KWANZA _________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 9) ADA YA KUZOA UCHAFU NA TAASISI ADA KWA MWAKA ADA KWA MWEZI 1 Taasisi zote na mashirika isipokuwa ya 60,000/= 5,000/= Serikali Hospitali isipokuwa za Serikali Viwanda vikubwa Viwanda vya kuoka mikate [bakery] Mashine za kukoboa mpunga Hoteli za kitalii Useremala Wauza mbao/nguzo/fito Mashine ndogo za kusaga na kukoboa 2 3 4 5 6 7 8 9
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: The text lists “Ghala/godown” followed by several monetary amounts, but it does not state a rule or obligation.
12. Ghala/godown. 240,000/= 600,000/= 60,000/= 60,000/= 20,000/= 50,000/= 5,000/= 5,000/ 240,000/= 20,000/= 54,000/= 48,000/= 60,000/= 60,000/= 60,000/= 60,000/= 4,500/= 4,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= - 13 Verify source ↗
Section 13
AI-assisted research summary: The provision mentions small oil-pressing industries and an amount of 60,000/=.
13. Viwanda vidogo vya kukamua mafuta ya 60,000/= kula - 16 Verify source ↗
Mini super market
AI-assisted research summary: This section is headed “Mini super market” and lists the amounts 60,000/=, 5,000/=, and 8.
16. Mini super market. 60,000/= 5,000/= 8 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) - 23 Verify source ↗
Section 23
AI-assisted research summary: Section 23 lists “Vituo vya mafuta” and several monetary amounts.
23. Vituo vya mafuta 24,000/= 12,000/= 60,000/= 60,000/= 60,000/= 240,000/= 120,000/= - 24 Verify source ↗
Maduka ya vifaa vya ujenzi na vipuli vya
AI-assisted research summary: The provision mentions shops for construction materials and motor-vehicle spare parts, together with an amount of 60,000/=.
24. Maduka ya vifaa vya ujenzi na vipuli vya 60,000/= vyombo vya moto - 26 Verify source ↗
Section 26
AI-assisted research summary: This section lists pharmacy-related terms, including “Maduka ya dawa” and “Maduka ya dawa muhimu.”
26. Maduka ya dawa [pharmacy] 27 Maduka ya dawa muhimu - 28 Verify source ↗
Maduka ya vyombo
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha aina za maduka na shughuli mbalimbali pamoja na kiasi cha ada/gharama zinazohusiana nazo.
28. Maduka ya vyombo 29 30 Maduka ya kuuza magodoro na samani Maduka ya kuuza shajala na kurudufisha [photocopy] 31 Maduka ya kuuza vipodozi 3 32 Maduka ya kuuza simu/saa. 33 Mama na baba lishe 34 35 36 37 38 39 Fundi cherehani Dobi Wauza mkaa Gereji Wachoma mahindi Studio za picha 9 48,000/= 60,000/= 48,000/= 48,000/= 48,000/= 60,000/= 60,000/= 24,000/= 24,000/= 24,000/= 24,000/= 24,000/= 60,000/= 12,000/= 24,000/= 2,000/= 1,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 20,000/= 10,000/= 5,000/= 4,000/= 5,000/= 4,000/= 4,000/= 4,000/= 5,000/= 5,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 2,000/= 5,000/= 1,000/= 2,000/= Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) _________ JEDWALI LA PILI __________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 16) KUFIFILISHA KOSA Mimi……………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kwamba Tarehe ………Mwezi………...Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ya mwaka 2022. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi cha shilingi elfu hamsini na kutekeleza wajibu niliopewa na Sheria Ndogo hii badala ya kushtakiwa Mahakamanni. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………. ya Mwezi………………..………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………… 10 Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Tangazo la Serikali Na. 225 (Linaendelea.) Lakiri ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo imebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi za (Usafi wa Mazingira) kufuatia Azimio lililopitishwa kwenye Mkutano wa Halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 11/8/2021 mbele ya:- LAIN E. KAMENDU, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, Kilolo. ANNA M. MSOLA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, Kilolo. L.S NAKUBALI, Dodoma, INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), 2 Machi, 2022 Waziri wa Nchi OR-Tamisemi, 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
SHERIA NDOGO YA USAFI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YA MWAKA 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in