Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ya mwaka 2021
The by-law sets local fees and levies, requires health checks for certain food and beverage workers and factory workers every six months, requires building permits before construction, and bans selling meat before inspection.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ya mwaka 2021
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
The by-law sets local fees and levies, requires health checks for certain food and beverage workers and factory workers every six months, requires building permits before construction, and bans selling meat before inspection. Halmashauri inatoza ushuru, kodi na ada mbalimbali kwa soko la wanyama, masoko/magulio, na mazao; wanunuzi wa mazao lazima wajisajili na wapate kibali, na kuna marufuku kadhaa za kununua au kusafirisha mazao. Halmashauri inaweka na kudhibiti maeneo ya maegesho, inatoza ushuru na vibali maalum, na baadhi ya shughuli za biashara lazima zisajiliwe na kulipiwa ada. Hii aya inaorodhesha ada na ushuru mbalimbali kwa vibali, usajili, na shughuli tofauti zenye viwango vya malipo vilivyoainishwa. Sectioni hii inaweka ada za kutumia ukumbi mkubwa, ukumbi mdogo, na vyumba vya ofisi vya Halmashauri.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ya mwaka 2021
Showing 25 of 25
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The by-law sets local fees and levies, requires health checks for certain food and beverage workers and factory workers every six months, requires building permits before construction, and bans selling meat before inspection.
2. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ya mwaka 2021. hii Ndogo Katika Sheria itakavyoelekezwa vinginevyo; “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; isipokuwa “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni Afisa yeyote wa Halmashauri kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo hizi. aliyeteuliwa “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli. “gari” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha abiria au mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine na chenye leseni ya kufanya shughuli hiyo. 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) “kibali cha ujenzi” maana yake ni kibali kinachotolewa na Halmashauri kwa ajili ya ujenzi ambao unafanyika ndani ya eneo la Mamlaka ya Halmashauri kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii au Kanuni na Sheria zinazosimamia ujenzi. “maegesho” maana yake ni sehemu au eneo lililotengwa na Halmashauri kwa ajili ya kuegesha magari au vyombo vya usafiri au vyombo vya moto. “mazao” maana yake ni mazao yote yatokanayo na shughuli za mashambani ikijumuisha mazao ya Chakula, biashara pamoja na mazao ya misitu. yake ni matangazo “matangazo” maana yanayotangazwa kwa kutumia vipaza sauti kwa ajili ya kutangaza biashara ya aina yeyote katika eneo la Halmashauri ikijumuisha matangazo katika masoko, magulio, sherehe, mikutano isipokuwa matangazo ya vifo au misiba. “mazao ya misitu” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika kifungu cha 2 cha Sheria ya Misitu. yote yake “minara” maana itakayowekwa kwa ajili ya mawasiliano ya simu, fax, redio yenye urefu unaozidi mita ishirini (20) kutoka usawa wa ardhi. ni minara “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli pamoja na Afisa yeyote atakayeteuliwa kufanya kazi za Mkurugenzi kwa wakati huo. “Chombo cha usafiri” maana yake ni chombo chochote kinachotumika kusafirisha mtu, watu, mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine na 2 Sura ya 323 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) chenye leseni ya kufanya shughuli hiyo ambavyo ni teksi, malori, mabasi, magari binafsi, pikipiki, bajaji, kirikuu na vingine vinavyofanana na hivyo isipokuwa baiskeli au guta. “ushuru” maana yake ni tozo inayotozwa na huduma Halmashauri mbalimbali la Halmashauri; “ushuru wa Soko” maana yake ni ushuru ambao hutozwa kutokanana na bidhaa zinazoletwa na kuuzwa na magulio yanayomilikiwa na Halmashauri. au zinazofanywa katika katika masoko shughuli eneo kwa Ada na Ushuru “vizimba” maana yake ni vibanda vidogo vidogo vilivyojengwa ndani ya eneo la soko au vibanda vinavyohamishika ambavyo vimewekwa ndani ya eneo la soko kwa mfano vibanda vya makampuni ya simu, na vingine vinavyouza bidhaa mbalimbali. “Wakala” maana yake ni mtu, Shirika, Kampuni, Taasisi au Asasi yoyote iliyoingia mkataba na Halmashauri kwa ajili ya kukusanya ushuru kwa niaba yake. 3(1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya huduma mbalimbali na vibali, zinazotolewa kama Halmashauri ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. leseni na (2) Ada na Ushuru utozwao chini ya Sheria Ndogo hii utatakiwa kulipwa kabla au wakati wa huduma kutolewa. (3) Ada na Ushuru utakaotozwa utalipwa kwa Halmashauri au Wakala ambaye ameteuliwa na Halmashauri kwa ajili ya kukusanya Ada na Ushuru husika kwa niaba yake. 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) (4) Malipo ya ada na ushuru yatafanyika kwa stakabadhi ya kielektroniki. Upimaji Afya 4(1) SURA YA PILI ADA YA UPIMAJI AFYA Litakuwa ni jukumu chini ya Sheria Ndogo hii kwa kila mhudumu wa baa, hoteli, mgahawa, mama lishe na baba lishe, nyumba za kulala wageni na wahudumu wote wa vyakula na vinywaji wanaohudumia jamii kibiashara pamoja na wafanyakazi wa viwandani kupima afya zao kila baada ya miezi sita na kulipa ada za Upimaji afya kama zilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. Vibali vya Ujenzi (2) Mtu yeyote atakayetoa huduma bila kupima afya yake atakuwa ametenda kosa na atatakiwa kulipa faini kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii pamoja na kusitishwa kutoa huduma husika mpaka pale atakapopima afya yake. SURA YA TATU ADA YA VIBALI VYA UJENZI 5(1) Ni wajibu wa kila mtu, taasisi, kikundi, Kampuni yoyote chini ya Sheria Ndogo hii pamoja na Sheria na Kanuni zinazosimamia ujenzi mijini kabla ya kuanza ujenzi wa aina yoyote ile kuomba kibali cha ujenzi kwa Halmashauri na kulipa ada kabla ya kuanza ujenzi husika. (2) Halmashauri itatoza ada kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa viwango vinavyoonyeshwa kwenye Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii kulingana na ukubwa wa eneo. (3) Maombi ya kibali cha ujenzi yatawasilishwa pamoja na ramani ya ujenzi. (4) Mtu, taasisi, kikundi au kampuni yoyote 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) Ada ya Ukaguzi wa Nyama itakayoanza ujenzi bila kupata kibali cha ujenzi, itakuwa imetenda kosa na atatakiwa kusimamisha ujenzi mpaka itakapopata kibali husika. SURA YA NNE ADA YA UKAGUZI WA NYAMA 6(1) Kila mnyama atakayechinjwa kwenye machinjio au eneo lililoruhusiwa ndani ya Halmashauri atapaswa kulipiwa ada ya ukaguzi wa nyama kwa kiwango kama kilivyoainishwa kwenye Jedwali la Nne la Sheria Ndogo hii. lingine (2) Ni marufuku kwa mtu yeyote kuuza, kugawa au kusambaza nyama kwa ajili ya matumizi ya watu kabla ya kukaguliwa kama inafaa kwa matumizi ya binadamu. Ushuru wa Soko la Wanyama
Part
Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii kulingana na
- 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Halmashauri inatoza ushuru, kodi na ada mbalimbali kwa soko la wanyama, masoko/magulio, na mazao; wanunuzi wa mazao lazima wajisajili na wapate kibali, na kuna marufuku kadhaa za kununua au kusafirisha mazao.
7. SURA YA TANO USHURU WA SOKO LA WANYAMA Halmashauri itatoza ushuru wa soko kwa kila mnyama atakayeuzwa au kununuliwa katika soko la wanyama kwa viwango kama ilivyoainishwa katika Jedwali la Tano la Sheria Ndogo hii. Tozo kodi, ushuru na ada SURA YA SITA KODI, USHURU NA ADA KWA MATUMIZI YA MASOKO NA MAGULIO 8(1) Halmashauri itatoza; (a) kodi ya pango kwa chumba au fremu au kibanda kwa majengo ya biashara yanamilikiwa na Halmashauri, (b) ushuru wa masoko pamoja na ada mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya masoko na magulio kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Sita la Sheria Ndogo hii. (2) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kubadilisha kodi pale ambapo itaona inafaa na mabadiliko ya 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) Halmashauri kutoza Ushuru wa Mazao. kodi husika yatakuwa halali kutozwa baada ya kurekebisha Sheria Ndogo husika. SURA YA SABA USHURU WA MAZAO YA BIASHARA NA MISITU 9 (1) Halmashauri itatoza ushuru wa mazao kwa mazao yote ya biashara, chakula na misitu yatakayozalishwa ndani ya eneo la Halmashauri pamoja na mazao yote yatakayoingizwa ndani ya eneo la Halmashauri kutoka eneo linguine kama ikithibitika kuwa hayajatozwa ushuru wa mazao huko yatokako. (2) Ushuru wa mazao utatozwa kutoka kwa kila mnunuzi kwa kiwango kilichoainishwa katika Jedwali la Saba la Sheria Ndogo hii ya bei ya kununulia zao husika. (3) Mnunuzi au yeyote atakayesafirisha mazao yake nje ya eneo la Halmashauri atawajibika kulipa ushuru. mwingine mtu (4) Kila mnunuzi wa mazao atatakiwa kujisajili kwa ajili ya kununua mazao ndani ya Halmashauri, na baada ya usajili atapewa kibali cha maandishi cha kununua mazao hayo. (5) Kibali kitakachotolewa chini ya kifungu cha 9(4) kitaonyesha: a) jina la zao husika, b) kiasi cha mazao, c) kiasi cha ushuru utakaotozwa kwa ajili ya mazao yanayoombewa kibali, d) eneo ambapo mazao hayo yatanunuliwa. (6) Halmashauri inaweza kukataa kutoa kibali kwa mnunuzi yeyote ambaye anadaiwa ushuru wa mazao au kwa kukiuka masharti ya Sheria Ndogo hii. 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) (7) Itakuwa ni marufuku kwa mnunuzi yeyote chini ya Sheria Ndogo hii;- a) kununua au kusafirisha mazao bila kibali cha Halmashauri, b) kununua mazao hajavunwa, shambani kabla c) kusafirisha mazao bila kulipa ushuru, d) kununua mazao kwa kubadilishana na chochote au nguo na kitu mali kisichokuwa pesa, e) kununua mazao nje ya eneo lililotengwa kwa ajili ya kuuza na kununulia mazao. (8) Mnunuzi yeyote atawajibika kutoa taarifa sahihi ya mazao aliyonunua na kuonyesha risiti aliyolipia ushuru pamoja na kibali cha kununulia kwa Afisa Mwidhiniwa mara mazao atakapotakiwa kufanya hivyo. (10) (9) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kukamata na kushikilia mazao yaliyonunuliwa kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii kwa muda wa siku saba (7). Endapo mmiliki hatakomboa mazao yake baada ya siku saba (7), Halmashauri itaomba kibali cha Mahakama ili kuuza mazao hayo kwa njia ya mnada Baada ya mnada, Halmashauri itakata fedha inazodai na gharama za kukamata, ulinzi na kuhifadhi mazao hayo na salio litakalobaki atapewa mmiliki wa mazao hayo. Itakuwa marufuku kwa mtu yeyote, kikundi cha watu, kampuni au taasisi kusafirisha mazao kuanzia saa 1:00 jioni hadi saa 12:00 asubuhi. (11)
Part
Jedwali la Saba la Sheria Ndogo hii ya bei ya
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweka na kudhibiti maeneo ya maegesho, inatoza ushuru na vibali maalum, na baadhi ya shughuli za biashara lazima zisajiliwe na kulipiwa ada.
10. Muda wa kusafirisha mazao Utengaji wa maeneo ya Maegesho 11 (1) SURA YA NANE USHURU WA MAEGESHO Halmashauri itatenga maeneo kwa ajili ya maegesho ya magari madogo, magari makubwa pamoja na vyombo vingine vya usafiri. Maeneo ya maegesho yatafunguliwa kuanzia saa 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) (2) 12:00 asubuhi na kufungwa saa 2:00 usiku. (3) Halmashauri itaonyesha kwa alama au michoro ya maeneo ya maegesho kwa mistari au kwa namna yoyote la maegesho ya magari ili kuweka viwango vya kulipiwa. itakayoashiria eneo ile (4) Kila chombo kitapaswa kuegeshwa maeneo maalum yaliyoainishwa na Halmashauri. (5) Halmashauri inaweza kutoa kibali cha maegesho maalum kwa maombi maalum na malipo yake yatapangwa na Halmashauri kwa kipindi maalum. (6) Mtu, Kampuni au Shirika ambalo litataka kuanzisha au kuwa na maeneo ya maegesho atapaswa kuomba kibali cha maegesho maalum na kutakiwa kulipia maegesho hayo kwa asilimia kumi (10%) ya mapato kadiriwa kwa mwezi na kupewa kibali husika. Halmashauri itatoza ushuru wa maegesho wa magari kwa magari yafuatayo;- (7) a) kwa magari yatakayoegeshwa stendi, b) kwa magari yatakayoegeshwa nje ya stendi, c) kwa magari yatakayoegeshwa maeneo mengine yaliyotengwa kwa ajili ya maegesho katika eneo lolote ndani ya Mamlaka si ya Halmashauri vinginevyo. na (8) Ushuru wa maegesho utalipwa na muegeshaji kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Nane la Sheria Ndogo hii. (9) Mtu yeyote atakayeegesha na kulipa ushuru wa maegesho kwa siku au kwa mwezi na kwa mkupuo ataruhusiwa kuegesha katika maeneo yoyote ndani ya Halmashauri pasipo kulipia tena kutoka ilimradi Halmashauri kuthibitisha uhalali wa malipo aliyolipa. Itakuwa marufuku kwa mtu yeyote;- stakabadhi aonyeshe tu (10) a) kutengeneza au kuosha gari ndani ya 8 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) maegesho b) kuharibu miundombinu ndani ya maegesho c) kutumia lugha ya matusi katika eneo la maegesho (11) Ushuru wa maegesho utatozwa kwa magari yote kama ilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii isipokuwa;- a) magari ya Serikali, b) magari ya kibalozi, c) magari yaliyoegeshwa katika sehemu za ibada (muda wa ibada), d) magari yaliyoegeshwa kwa ajili ya shughuli maalum za kitaifa na kwa muda huo tu. (12) Halmashauri itakuwa na jukumu la kutoa vibali maalum kwa ajili ya maegesho maalum yatakayoombwa kupitia kwa Mkurugenzi. SURA YA TISA USHURU WA MINARA 12(1) Kutakuwa na tozo za minara yote iliyopo na itakayowekwa katika eneo lote lililo chini ya mamlaka ya Halmashauri. Ushuru wa minara utalipwa Halmashuri tarehe 01 Julai, mwanzoni mwa mwaka wa fedha husika kwa kiwango kama kilivyoainishwa katika Jedwali la Tisa la Sheria Ndogo hii. (2) SURA YA KUMI ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI 13(1) (2) Kila chombo cha usafiri kinachofanya shughuli za biashara kitapaswa kusajiliwa Halmashauri kila mwaka. Kila chombo chenye usajili kitalazimika kulipiwa ada kama inavyoonekana katika Jedwali la Kumi Sheria Ndogo hii. 9 Halmashauri kutoza ushuru wa Minara Usajili wa vyombo vya usafiri Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) (3) Chombo cha usafiri kitakachosajiliwa kitapatiwa cheti cha usajili pamoja na stika iliyotayarishwa na Halmashauri. Stika hiyo itabandikwa sehemu inayoonekana katika chombo husika kama ushahidi wa malipo ya ada ya usajili. (4) Ada ya usajili wa magari italipwa kabla ya tarehe 30 ya mwezi Juni ya kila mwaka. Baada ya tarehe hiyo mmiliki atalipa ada anayodaiwa pamoja na adhabu ya asilimia hamsini (50%) ya ada ya mwaka. (5) Kila chombo kitapaswa kuegeshwa maeneo maalum yaliyoainishwa na Halmashauri. SURA YA KUMI NA MOJA Usajili wa maduka ya dawa na vituo binafsi vya kutolea huduma ya afya (14)(1) Vituo vya afya, maduka ya dawa vinavyomilikiwa na watu binafsi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii zitatakiwa kusajiliwa. (2) Mmiliki wa kituo binafsi cha kutolea huduma ya afya au duka la dawa atatakiwa kulipa ada ya usajili kama ilivyo ainishwa katika Jedwalila kwanza la Sheria Ndogo hii na ada ya usajili italipwa kabla ya huduma kutolewa. Halmashauri kuwajibika na mapungufu yake (15) Makosa 16(1) SURA YA KUMI NA TATU MAKOSA NA ADHABU Halmashauri inaweza kuwajibishwa kwa kulipa hasara itakayosabishwa na Afisa Mwidhiniwa au Afisa yeyote ama kwa uzembe wake au kwa makusudi wakati wa kutekeleza majukumu yake yaliyokusudiwa na Sheria Ndogo hii kinyume au nje ya namna ilivyotakiwa. Itakuwa ni kosa kwa mtu yeyote chini ya Sheria Ndogo hii;- a) kukataa au kukwepa kulipa ada na ushuru, b) kushawishi mtu au kikundi cha watu kutolipa ushuru, c) kumzuia au kujaribu kumzuia Afisa 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) Mwidhiniwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, d) kujenga ujenzi, jengo lolote bila kibali cha e) kuchinja mifugo bila kukaguliwa, f) kufanya matangazo bila kuwa na kibali, g) kuendesha gari kwa madhumuni ya biashara bila usajili, h) kuegesha gari katika maeneo yasiyoruhusiwa Adhabu Kufifilisha kosa au 17 Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua isiyozidi shilingi laki mbili (200,000/=) na milioni moja kifungo (1,000,000/=) kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne au vyote viwili kwa pamoja faini na kifungo. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufifilisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Kumi na moja la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 18 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Limetungwa chini ya kifungu cha 3(1)) ADA YA VIBALI MBALIMBALI Na. Aina ya Kibali Kiasi
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Hii aya inaorodhesha ada na ushuru mbalimbali kwa vibali, usajili, na shughuli tofauti zenye viwango vya malipo vilivyoainishwa.
6. 7 8 9 10 11 Kibali cha kuweka uzio au fensi ya muda kwa ajili ya kufanya ujenzi ili kulinda usalama wa watu na mali. Tshs 200/= kwa mita moja Kibali cha mabadiliko ya matumizi ya ardhi. Tshs. 100,000/= kwa ekari moja Kibali cha kufanya matangazo ya biashara maeneo mengine nje na minada, masoko na magulio. Kwa siku shilingi 50,000/= Ada ya maombi ya usajili wa Vyombo vya usafiri. Kibali cha mazishi (maeneo ya kuzikia yanayomilikiwa na Serikali) Kibali kwa ajili ya shughuli za kiutamaduni Shilingi 2000/= kwa kila fomu ya maombi Shilingi 10,000/= kwa kimoja Ngoma na shughuli nyingine za kiutamaduni- Tsh. 20,000/=kwa siku. Matamasha na sherehe nyingine –Tsh 50,000/= kwa siku Ada ya usajili waganga wa jadi au tiba mbadala – Tsh 50,000/= kwa mwaka. Ada ya usajili wa vikundi vya kijamii (CBOs) Tsh 30,000/= Vikundi vingine ambavyo havijatajwa Meta 1 ya ujazo Tsh 30,000/= Tshs 5,000/= kwa kwa kila meta I ya ujazo kwa tripu moja Kuonyesha Mpira Tshs. 2,000/= kwa siku Pall table Tshs 2,000/= kwa siku 12 Michezo ya kubahatisha Tsh 50,000/= kwa mwezi 13 Fundi seremala Tshs 30,000/= kwa mwaka 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) 14 Usajili wa duka la dawa Tshs 100,000/= kwa mwaka 15 Usajili wa zahanati Tshs 100,000/= kwa mwaka 16 Usajili wa kituo cha afya Tshs 150,000/= kwa mwaka 17 Usajili wa Hospitali Tshs 500,000/= kwa mwaka 18 Usajili wa duka la dawa muhimu Tshs 50,000/= kwa mwaka ADA YA KUKODI MALI AU VIFAA VYA HALMASHAURI Na. Aina ya Kifaa Kiasi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Sectioni hii inaweka ada za kutumia ukumbi mkubwa, ukumbi mdogo, na vyumba vya ofisi vya Halmashauri.
3. Ukumbi Halmashauri mkubwa wa kuanzi shilingi 200,000/= kwa siku Ukumbi mdogo wa Halmashauri. Kuanzia shilingi 100,000/= kwa siku Vyumba vya ofisi Tsh 6,000/= kwa meta moja za mraba kiwango hiki kitabadilika kutokana na mkataba na baada ya kuridhiwa na baraza na madiwani. - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The Rest House rent is Tsh 150,000 per month, and it may change under the contract after councilors approve it.
4. Nyumba ya Utalii (Rest House) Tsh.150,000/= kwa mwezi,kodi hii itabadilika kutokana na mkataba na baada ya kuridhiwa na baraza la madiwani. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ada zinaonesha vibanda vya biashara katika kata za Soni na Kwehengala na kukodi viti vya Halmashauri kulipiwa kwa viwango vilivyoorodheshwa.
5. Vibanda vya Biashara vilivyo jengwa katika maeneo ya Halmashauri katika kata ya Soni na Kwehengala. Tshs. 50,000/= kwa mwezi 6 Kukodi viti vya Halmashauri Tsh 500/= kwa kila kiti kwa siku JEDWALI LA PILI Limetungwa chini ya kifungu cha 4 (1) ADA YA UPIMAJI AFYA NA UKAGUZI WA AFYA. Kiasi Na. Aina ya Ada
Part
JEDWALI LA PILI
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision lists inspection and related fees, with amounts and payment cycles for different business activities.
1. Upimaji afya Shilingi 6,000/= Kila baada ya miezi sita 2 Ada ya ukaguzi, nyumba za starehe, Baa na Vilabu vya pombe Tsh 10,000/= Kila baada ya miezi sita 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) za kienyeji 3 Nyumba za kulala wageni Tsh 10,000/= kila baada ya miezi sita 4 Maduka ya bidhaa Tsh 10,000/= Kila baada ya miezi sita 5 6 Nyumba za kutengeneza na kuuzia vyakula na nyama choma Tsh 10,000/= Kila baada ya miezi sita Ukaguzi wa maombi ya kufungua biashara Tsh 10,000/ = Kila mwaka 7 Ukaguzi wa viwanda vikubwa Tsh 100,000/= Kila baada ya miezi sita 8 Ukaguzi wa viwanda vya kati na karakana Tsh 50,000/= Kila baada ya miezi sita 9 Ukaguzi wa viwanda vidogo Tsh 20,000/= Kila baad ya miezi sita 10 Mama ntilie, Baba lishe na magenge ya aina zote Tsh 5,000/= Kila baada ya miezi sita 11 Masuala ambayo hayajatajwa na Tsh 5,000/= kila baada ya miezi sita yanahitaji ukaguzi Na. Aina ya Ada JEDWALI LA TATU Limetungwa chini ya kifungu cha 5(2) A: VIBALI VYA UJENZI Kiasi
Part
JEDWALI LA TATU
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text lists fees: Tsh 500 per square meter and a construction permit application fee of Tshs. 20,000 per form.
2. Meta moja ya ujazo Tsh 500 kwa kila meta moja ya Mraba Ada ya maombi ya kibali cha ujenzi (Fomu) Tshs. 20,000 kwa kila fomu B: KIBALI CHA KUJENGA UZIO WA KUDUMU Na. Ukubwa wa eneo Kiwango cha Tozo - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: A fee of Tsh 500 is stated for every 14 square meters in the installation-charges section.
1. Meta moja ya ujazo Tsh.500 kwa kila meta moja ya Mraba 14 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) C: KIBALI CHA KUJENGA MINARA (INSTALLATION CHARGES) Na. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision shows a fee schedule for animal inspection and states a charge of Ths. 1,000,000.
1. Idadi Kila mnara mmoja Kiwango cha Tozo Ths. 1,000,000/= Na. Aina ya Mnyama JEDWALI LA NNE Limetungwa Chini ya kifungu Cha 6(1) ADA YA UKAGUZI WA NYAMA Kiwango cha Tozo Idadi
Part
JEDWALI LA NNE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The table lists market charges for animals and hides, including amounts for goats, sheep, other slaughtered animals, and different types of hides.
4. 5 6 Mbuzi au Kondoo 2000/= Kwa kila Mbuzi au Kondoo Mnyama mwingine yeyote 2000/= Kwa kila atakayechinjwa Nguruwe 2000/= Kwa kila atakayechinjwa Ushuru wa ngozi ya ng’ombe 200/= Kwa kila kipande cha ngozi Ushuru wa ngozi ya Mbuzi au Kondoo 100 Kwa kila kipande cha ngozi JEDWALI LA TANO Limetungwa chini ya kifungu cha 7 USHURU WA SOKO LA WANYAMA NA NDEGE Idadi Kiwango cha Tozo Na. Aina ya Mnyama
Part
JEDWALI LA TANO
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The text lists cattle, camels, donkeys, and horses, followed by an amount of 4000/=.
1. Ng’ombe, Ngamia, Punda na Farasi 4000/= - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: A rate of 1500/= is stated for an animal, with wording indicating a per-day basis.
3. Mnyama mwingine yeyote 1500/= Kwa kila Ng’ombe au Punda kwa siku Kwa kila Mbuzi au Kondoo kwa siku Kwa kila mnyama kwa siku - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Kuku, bata na ndege wanaofanana nao wanatozwa 200/= kwa kila ndege kwa siku.
4. Kuku, bata na wengine wanaofanana na hao 200/= Kwa kila ndege kwa siku JEDWALI LA SITA Limetungwa chini ya kifungu cha 8 (1) KODI, USHURU NA ADA KWA MATUMIZI YA MASOKO NA MAGULIO NA MAENEO MENGINE Kiwango cha Tozo Na. Aina ya biashara Idadi 15 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.)
Part
JEDWALI LA SITA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Kodi ya pango ya chumba au fremu ni 20,000/= kwa chumba kimoja kwa mwezi, na inaweza kubadilika kulingana na bei ya soko baada ya kuridhiwa na Baraza la Madiwani.
1. Kodi ya pango ya chumba au fremu 20,000/= Kwa chumba kimoja kwa mwezi kodi hii itakuwa inabadilika kutokana na bei ya soko na baada ya kuridhiwa na Baraza la Madiwani. Kwa siku Kwa siku Kwa kila tenga - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ushuru na ada za soko, magulio, minada, na baadhi ya huduma za soko.
9. Ushuru wa soko, magulio na minada 500/= 2000/= 500/= Ushuru wa kuuza chakula mama lishe na baba lishe Ushuru wa tenga la nyanya, hoho, pilipili, bilinganya, bamia, nyanya chungu, karoti, matunda na vingine vinavyofanana na hivyo. Ushuru wa mkungu wa ndizi 300/= Kwa kila mkungu Ushuru wa magunia ya nafaka yanayoshushwa ndani ya soko kama mahindi, mchele, kunde, choroko, maharage, mbaazi na mazao mengine nje ya nafaka. Ushuru wa kufanya matangazo ya biashara kwa kutumia vipaza sauti katika masoko, magulio na minada Asilimia tatu (3%) ya bei ya mazao husika kwa bei ya shamba Kwa kila gunia lenye ujazo wa kilo mia moja. 10,000/= Kwa siku Ushuru wa vizimba 15,000/= Kwa mwezi Ushuru wa choo Haja ndogo na kubwa - 300 Kwa kila inapohitajika huduma Huduma ya kuoga - 500 - 10 Verify source ↗
Ushuru wa meza ndani ya
AI-assisted research summary: The provision states a table tax amount of 1000/= for each market day.
10. Ushuru wa meza ndani ya 1000/= Kwa kila siku ya soko soko - 11 Verify source ↗
Ushuru wa vyombo vya
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaorodhesha ushuru wa kila siku kwa aina mbalimbali za vyombo vya usafiri vinavyoingia magulio, masoko na minada ya Halmashauri.
11. Ushuru wa vyombo vya Gari la zaidi ya Abiria 39 Tshs 2000/= kwa siku usafiri vitakavyoingia katika Magulio, Masoko na Minada ya Halmashauri Gari la Abiria 20 – 39 Tshs. 1500/= kwa siku Gari dogo la abiria chini ya Tshs. 1000/= kwa siku abiria 20 Teksi Magari binafsi 16 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) Gari dogo la mizigo chini Tshs. 2000/= kwa siku ya tani 7 Gari kubwa zaidi ya tani 7 Pikipiki (Bodaboda) Mikokoteni ya aina zote - 12 Verify source ↗
Ada ya kupata kibali cha
AI-assisted research summary: This provision lists fees for forest-related permits and council land rentals, with charges shown by item and time period.
12. Ada ya kupata kibali cha Mkaa kufanya biashara ya mazao ya misitu Mbao Kuni Nguzo Fito Kibali cha kukata au kuvuna mti wa kupandwa Kibali cha kukata au kuvuna mti wa asili 13 Kukodi vitivo au shamba vinavyo milikiwa na Halmashauri Kitivo Shamba ambalo sio kitivo Tshs. 200/= kwa siku Tshs. 2000/= kwa siku Tshs. 2500/= kwa siku Tshs. 500/= kwa siku Tshs. 500/= kwa siku Tshs. 200,000/= kwa mwaka Tshs. 200,000/= kwa mwaka Tshs 100,000/= kwa mwaka Tshs 100,000/= kwa mwaka Tshs 100,000/= kwa mwaka Tshs 20,000/= kwa mwaka Tshs 2,000/= kwa mti mmoja Tshs 10,000/= kwa mti mmoja Tshs. 260,000/= kwa ekari 1 kwa mwaka Tshs. 50,000/= kwa msimu 1 wa kilimo. Kodi hizi zitakuwa zikibadilika kutokana na gharama halisi kwa wakati huo na baada ya kuridhiwa na Baraza la Madiwani. JEDWALI LA SABA Limetungwa chini ya kifungu cha 9(2) USHURU WA MAZAO 17 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) Na. Aina ya mazao Kiwango cha ada
Part
JEDWALI LA SABA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: It states 3% of the farm purchase price for business produce.
1. Mazao ya biashara 3% ya bei ya kununulia shambani - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: This table sets rates of 3% for food crops and 5% for forest crops, based on the farm purchase price.
3. Mazao ya chakula Mazao ya misitu 3% ya bei ya kununulia shambani 5% ya bei ya kununulia shambani JEDWALI LA NANE Limetungwa chini ya kifungu cha 11(7) USHURU WA MAEGESHO Na. Muda wa uegeshaji Kiwango cha ushuru
Part
JEDWALI LA NANE
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision shows fee/tax amounts in shillings, including a charge of Shilingi 5,000 for parking a vehicle in council-owned areas for one night.
4. Shilingi 300/= Shilingi 600/= Shilingi 1,000/= Kulaza gari kwenye maeneo yanayomilikiwa na halmashauri Shilingi 5,000/= kwa usiku mmoja JEDWALI LA TISA Limetungwa chini ya kifungu cha 12(2) USHURU WA MINARA Na. Idadi ya minara Kiwango cha ushuru
Part
JEDWALI LA TISA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya kila mnara mmoja ni angalau shilingi 1,000,000 kwa mwaka.
1. Kila mnara mmoja Usiopungua shilingi 1,000,000/= kwa mwaka JEDWALI LA KUMI Limetungwa chini ya kifungu cha 13(1) ADA YA USAJILI WA VYOMBO VYA USAFIRI Na. Aina ya chombo Kiwango cha ada
Part
JEDWALI LA KUMI
- 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists annual fees for different vehicle types and includes a confession form for admitting an offence and paying money instead of going to court.
5. Gari chini ya tani 7 Gari zaidi ya tani 7 40,000/= kwa mwaka 50,000/= kwa mwaka Bajaji/ toyo ( pikipiki matairi mitatu ) 30,000/= kwa mwaka Pikipiki ( tairi mbili ) 20,000/= kwa mwaka 18 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) ___________ JEDWALI LA KUMI NA MOJA ________ (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 18) _________ HATI YA KUFILILISHA KOSA Mimi...............................................................................nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya ............................................................. ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli kwamba ....................... mwaka ........................... nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha .............................. cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ya mwaka 2021. ..................... ya mwezi tarehe Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, nipo tayari kulipa kiasi cha shilingi laki mbili na kutimiza wajibu wangu chini ya Sheria Ndogo hiyo badala ya kushtakiwa Mahakamani. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI YA KWELI NA NIMEYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU. Leo tarehe.....................ya mwezi.........................mwaka...................................... Jina.................................................... Saini........................................................... Mbele ya: Jina:................................................Cheo:............................................ Saini..................................................................................................... 19 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Tangazo la Serikali Na. 275 (Linaendelea.) Nembo ya Halmashauri imegongwa katika Sheria Ndogo hizo kufuatia azimio lililopitishwa katika Mkutano wa baraza la Madiwani la Halmashari ya Wilaya ya Bumbuli uliyofanyika mnamo tarehe 19/2/2020 na Nembo iliyogongwa mbele ya:- GEORGE D. HAULE, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, BUMBULI Amiri A. Sheiza, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, BUMBULI L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI SAID JAFO (MB.), 2 Novemba, 2021 Waziri wa Nchi -OR- Tamisemi 20
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ya mwaka 2021
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in