AI-assisted research summary: The detailed plan for the area in the table is prepared and kept by the Director of Town Planning and the Executive Director of Mpanda District Council.
3. Mpango wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda. 1 Amri ya Mpango wa Urasimishaji wa Eneo la Shanwe Tangazo La Serikali Na. 672 (Linaendelea.) ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Mpango wa Urasimishaji lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mipaka ya upimaji namba ‘C1’ karibu na daraja la Kivukoni na mpaka wa Shanwe yenye majira - nukta 286097 E, 9300555 N, unaelekea Kaskazini - Magharibi uelekeo wa N46°05'26''W kando ya barabara ya Kasokola kwa umbali wa kilomita 0.466 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C2 yenye majira - nukta 285762 E, 9300878N), baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini Magharibi uelekeo wa N21°29'27''W kando ya barabara ya Kasokola kwa umbali wa kilomita 0.387 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C3 yenye majira - nukta 285620 E, 9301238 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini Mashariki uelekeo wa N52°31'49''E kando ya barabara ya Kasokola kwa umbali wa kilomita 0.230 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C4 yenye majira - nukta 285802 E, 9301379 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S71°45'38''E kwa umbali wa kilomita 0.194 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C5 yenye majira - nukta 285987 E, 9301318 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki uelekeo wa S 81°50'51''E kwa umbali wa kilomita 0.044 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C6 yenye majira - nukta 286030 E, 9301324 N), baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki uelekeo wa S 37°01'26''E kwa umbali wa kilomita 0.415 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C7 mpaka wa Shanwe na Kivukoni yenye majira - nukta 286280 E, 9300993 N, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi uelekeo wa S 22°40'17''E kwa umbali wa kilomita 0.475 hadi ulipoanzia kwenye alama ya mipaka ya upimaji namba C1 yenye majira - nukta 286097 E, 9300555 N”. Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2