Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2021
This bylaw is named the Nkasi District Council Livestock (Amendment) By-law, 2021, and it is to be read together with the 2014 Nkasi District Council Livestock By-laws.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2021
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This bylaw is named the Nkasi District Council Livestock (Amendment) By-law, 2021, and it is to be read together with the 2014 Nkasi District Council Livestock By-laws. Mfugaji haruhusiwi kuchunga, kusafirisha, kuuza, kununua, au kufuga mifugo kwa njia na maeneo yaliyopigwa marufuku; mnunuzi wa mifugo ana wajibu wa kununua na kutumia maeneo yaliyotengwa na kulipa gharama zinazopangwa na Halmashauri. A livestock keeper must have a permit or other livestock-related documents when transporting livestock. This section amends section 7 by adding a rule that livestock found in the council area without following the by-law’s procedure may be seized and fined, or the offender may be imprisoned, or both. This provision amends section 8 and adds text making it an offence to breach the section’s requirements, with a penalty of a fine up to 50,000 per animal, or up to 6 months’ imprisonment, or both.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2021
Showing 15 of 15
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This bylaw is named the Nkasi District Council Livestock (Amendment) By-law, 2021, and it is to be read together with the 2014 Nkasi District Council Livestock By-laws.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2021 na itasomwa kwa pamoja na Sheria Ndogo za Mifugo za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka, 2014 ambayo katika Sheria Ndogo hii itajulikana kama “Sheria Ndogo kuu”. Marekebisho ya Tangazo La Serikali Na. 391 la Mwaka 2014 - 2 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 4 cha Sheria
AI-assisted research summary: Mfugaji haruhusiwi kuchunga, kusafirisha, kuuza, kununua, au kufuga mifugo kwa njia na maeneo yaliyopigwa marufuku; mnunuzi wa mifugo ana wajibu wa kununua na kutumia maeneo yaliyotengwa na kulipa gharama zinazopangwa na Halmashauri.
2. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 4 cha Sheria Ndogo Kuu kwa kuongeza vifungu vidogo vya (3), (4), (5) na (6) ambavyo vitasomeka; 4 (3) Ni marufuku kwa mfugaji yeyote: (a) Kuchunga, kulisha, au kunywesha mifugo katika maeneo ya ambayo hayakutengwa kwa ajili hiyo; (b) Kusafirisha mifugo kwa kuiswaga barabarani; (c) Kusafirisha mifugo kutoka eneo moja kwenda lingine bila kibali cha kusafirisha mifugo; (d) Kuingiza mifugo katika eneo la Halmashauri bila kibali; (e) Kuuza au kununua mifugo katika eneo ambalo halikutengwa na Halmashauri kwa 1 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) ajili ya mnada, soko au gulio la mifugo; (f) Kufuga mifugo mingi katika eneo dogo. (4) Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya kifungu cha (3) (a) – (e) atakuwa ametenda kosa faini isiyozidi shilingi 50,000/= kwa kila mfugo au kifungo cha miezi sita au adhabu zote mbili kwa pamoja. atalazimika kulipa ikithibitika (5) Mtu yeyote atakaye kwenda kinyume na masharti yaliyo katika kifungu kidogo cha (3) kipengele (f) atakuwa ametenda kosa ikidhibitika atalazimika kulipa isiyozidi Shilingi faini 200,000/= au adhabu ya kifungo cha miezi sita au adhabu zote mbili kwa pamoja. (6) Wajibu wa mnunuzi wa mifugo: (a) kununua mifugo katika eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya kuuzia mifugo; (b) kulipia gharama zote zinazotakiwa ikiwa ni kama pamoja itakavyopangwa na Halmashauri; pasipo (c) kusafirisha mifugo kuiswaga ushuru ada na na barabarani; (d) kutumia maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya kupandisha mifugo kwenye vyombo vya usafiri; (e) mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya kifungu hiki atakuwa ametenda kosa ikithibitika atalazimika kulipa faini isiyozidi Tsh. 50,000/= kwa kila mfugo au kifungo cha miezi sita jela au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 3 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 6 cha Sheria
AI-assisted research summary: A livestock keeper must have a permit or other livestock-related documents when transporting livestock.
3. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 6 cha Sheria Ndogo Kuu kwa kuongeza vifungu vidogo vipya vya (3), (4) na (5) ambavyo vitasomeka; 6 (3) Mfugaji atalazimika kuwa na kibali au vielelezo 2 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) vingine vinavyohusu mifugo hiyo wakati wote atakapokuwa anasafirisha mifugo yake; (4) Kibali katika Sheria Ndogo hii kitakuwa na maana ya Mihtasari ya serikali za vijiji au na vibali vitakavyotolewa na Afisa Mifugo wa Halmashauri; (5) Mtu yeyote atakaye kwenda kinyume na masharti yaliyo katika kifungu hiki atalazimika kulipa faini isiyozidi Shillingi Elfu Hamsini kwa kila mfugo au kifungo cha miezi sita jela au vyote kwa pamoja. - 4 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 7 cha Sheria
AI-assisted research summary: This section amends section 7 by adding a rule that livestock found in the council area without following the by-law’s procedure may be seized and fined, or the offender may be imprisoned, or both.
4. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 7 cha Sheria Ndogo Kuu kwa kuongeza kifungu kidogo cha (3) ambacho kitasomeka: 7 (3) Mifugo itakayokutwa ndani ya eneo la Halmashauri pasipo kufuata utaratibu uliowekwa na Sheria Ndogo hii itakamatwa na kutozwa faini kiasi kisichozidi Elfu Hamsini kwa kila mfugo au kifungo cha miezi sita jela au vyote kwa pamoja. - 5 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 8 cha Sheria
AI-assisted research summary: This provision amends section 8 and adds text making it an offence to breach the section’s requirements, with a penalty of a fine up to 50,000 per animal, or up to 6 months’ imprisonment, or both.
5. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 8 cha Sheria Ndogo Kuu kwa kufuta kipengele (b) (c) na kuongezewa vipengele vidogo vipya vya 8(f) na (g) ambavyo vitasomeka: 8 (f) atashindwa kupiga chapa mifugo yake au mifugo yake itakamatwa na chapa ambayo haitambuliki na Halmashauri (g) mtu yeyote atakayekiuka masharti ya kifungu hiki atakuwa ametenda kosa ikithibitika atalipa faini isiyozidi Elfu hamsini, kwa kila mfugo au kifungo cha miezi sita jela au adhabu zote mbili kwa pamoja - 6 Verify source ↗
Kifungu cha 9 cha Sheria Ndogo Kuu kimefutwa na
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii anatenda kosa na, akipatikana na hatia, anaweza kupewa faini, kifungo, au vyote viwili.
6. Kifungu cha 9 cha Sheria Ndogo Kuu kimefutwa na kuwekwa kipengele kipya ambacho kitasomeka: 9 . Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shillingi 3 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na laki mbili(12) au adhabu zote mbili kwa pamoja yani fain na kifungo. Marekebisho ya Jedwali - 7 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika Sheria Ndogo Kuu kwa
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafanya marekebisho kwa kufuta Jedwali la Kwanza na la Pili, kuweka majedwali mapya, na kuongeza Jedwali la Tatu lenye viwango vipya vya faini na tozo za mifugo.
7. Marekebisho yanafanyika katika Sheria Ndogo Kuu kwa kufuta Jedwali la kwanza na Jedwali la pili na kuweka Majedwali mapya na kuongeza Jedwali la Tatu kama yalivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. JEDWALI LA KWANZA FAINI YA KUKOMBOLEA MIFUGO INAPOKAMATWA JINA LA MFUGO Ng’ombe Punda Mbuzi Nguruwe Kondoo KIASI KITAKACHOTOZWA 10,000/= kwa kila mmoja 5,000/= kwa kila mmoja 5,000/= kwa kila mmoja 5,000/= kwa kila mmoja 5,000/= kwa kila mmoja JEDWALI LA PILI TOZO YA MATUNZO YA MFUGO BAADA YA KUKAMATWA. JINA LA MFUGO Ng’ombe Punda Mbuzi Nguruwe Kondoo JINA LA MFUGO Ng’ombe Punda Mbuzi Kondoo Nguruwe Mbwa Paka KIASI CHA TOZO 5,000/= kwa kila siku mmoja 4,000/= kwa kila siku mmoja 4,000/= kwa kila siku mmoja 4,000/= kwa kila siku mmoja 4,000/= kwa kila siku mmoja JEDWALI LA TATU TOZO YA KUOGESHA MFUGO BEI YA KILA MFUGO (TSHS) 500/= 300/= 300/= 300/= 300/= 300/= 300/= 4 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) SHERIA YA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) (SURA YA 287) _______ SHERIA NDOGO _______ (Imetungwa chini ya Kifungu cha 153) SHERIA NDOGO YA HIFADHI YA MAZINGIRA (MAREKEBISHO) YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI YA MWAKA 2021 Jina
Part
JEDWALI LA TATU
- 1 Verify source ↗
Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya
AI-assisted research summary: This provision gives the bylaw’s short title, says it should be read together with the 2014 environmental bylaw, and notes that it is an amendment to Gazette Notice No. 393 of 2014.
1. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Hifadhi ya Mazingira (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2021 na itasomwa kwa pamoja na Sheria Ndogo za Hifadhi ya Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2014 ambayo katika Sheria Ndogo hii itajulikana kama “Sheria Ndogo kuu”. Marekebisho ya Tangazo la Serikali Na.393 la Mwaka 2014 - 2 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 4 kifungu
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti yaliyotajwa hapa anafanya kosa na anaweza kutozwa faini, kifungo cha miezi 6, au vyote viwili.
2. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 4 kifungu kidogo cha (1) cha Sheria Ndogo Kuu kwa kuongeza vipengele vidogo vya (h) ambavyo (f), vitasomeka; (g) na 4(1) (f) Atatakiwa kuwa na mifugo iliyopigwa inayotambulika na halmashauri chapa kulingana na eneo mifugo ilipo; (g) Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti yaliyo katika kifungu kidogo (1) (b) na (c) cha kifungu hiki atakuwa ametenda kosa ikithibitika atalazimika kulipa faini isiyozidi Shilingi 50,000/= kwa kila mfugo au kwenda jela miezi 6 au adhabu zote mbili kwa pamoja; (h) Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti yaliyo katika kifungu kidogo (1) (a), (d) na (e) cha kifungu hiki atakuwa 5 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) ikithibitika atalazimika ametenda kosa kulipa faini isiyozidi Shilingi 200,000/= au kwenda jela miezi 6 au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 3 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 5 kifungu
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaongeza kosa na adhabu kwa mtu yeyote anayekiuka masharti ya kifungu hiki.
3. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 5 kifungu kidogo cha (1) cha Sheria Ndogo Kuu kwa kuongeza kipengele (f) ambacho kitasomeka; 5(1) (f) Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti yaliyo katika kifungu hiki atakuwa ametenda kosa ikithibitika atalazimika kulipa faini isiyozidi Shilingi 50,000/= kwa kila mfugo, isipokuwa akivunja kipengele (e) atalazimika kulipa faini isiyozidi Shilingi 200,000/= au kwenda jela miezi 6 au adhabu zote mbili kwa pamoja. - 4 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 6 kwa
AI-assisted research summary: If livestock is seized, a fine of up to Shilingi 50,000 per animal applies, and seizure/redemption costs are set by Schedule II.
4. Marekebisho yanafanyika katika kifungu cha 6 kwa kufuta kifungu kidogo cha (2) cha Sheria Ndogo Kuu na kuweka kifungu kidogo kipya kama kifuatacho; 6 (2) Mfugo wowote utakaokamatwa utalipiwa faini isiyozidi Shilingi 50,000/= kila mfugo, na gharama za kukamatwa na kukombolewa mifugo itakuwa kama inavyooneshwa katika Jedwali la II la Sheria Ndogo hii.
Part
Jedwali la II la Sheria Ndogo hii.
- 5 Verify source ↗
Kifungu cha 14 cha Sheria Ndogo Kuu kinafanyiwa
AI-assisted research summary: Kila kaya lazima iwe na choo bora kinachokubalika na itumie, na ikusanye taka kwa namna iliyoainishwa na Halmashauri katika Jedwali la IV.
5. Kifungu cha 14 cha Sheria Ndogo Kuu kinafanyiwa marekebisho kwa kuongeza kifungu kidogo cha (3), na (4) ambavyo vitasomeka; 14 (3) Kila kaya inatakiwa kuwa na choo bora chenye sifa inayokubalika na kuhakikisha kinatumika; (4) Kila kaya itakusanya taka katika chombo na maalum Halmashauri kama inavyooneshwa katika Jedwali la IV la Sheria Ndogo hii; zitakusanywa gharama ambazo kwa 6 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) - 6 Verify source ↗
Kifungu cha 20 cha Sheria Ndogo Kuu kinafanyiwa
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anayekiuka masharti ya kifungu hiki anatenda kosa na anaweza kutozwa faini isiyozidi Shilingi 50,000 kwa kila mfugo, kifungo cha miezi 6, au vyote.
6. Kifungu cha 20 cha Sheria Ndogo Kuu kinafanyiwa marekebisho kwa kuongezewa kifungu kidogo cha (2) ambacho kitasomeka; 20 (2) Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti yaliyo katika kifungu hiki atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa isiyozidi Shilingi elfu hamsini kwa kila mfugo au kwenda jela miezi 6 au adhabu zote mbili kwa pamoja. faini - 7 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika kwa kufuta kifungu cha 27
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinafuta kifungu cha 27 na kinaweka kosa pamoja na adhabu kwa mtu yeyote anayevunja masharti ya Sheria Ndogo hii.
7. Marekebisho yanafanyika kwa kufuta kifungu cha 27 cha Sheria Ndogo Kuu na kuweka Kifungu kipya kitasomeka; 27 (1) Mtu yeyote atakayekwenda kinyume na masharti ya Sheria Ndogo hii atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atatozwa faini isiyozidi shillingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na mbili au adhabu zote mbili yani faini na kifungo. - 8 Verify source ↗
Marekebisho yanafanyika katika Sheria Ndogo Kuu
AI-assisted research summary: Hii inarekebisha Sheria Ndogo Kuu kwa kufuta Jedwali la II na III na kuongeza majedwali mapya yenye faini, ada ya mifugo, na ushuru wa taka.
8. Marekebisho yanafanyika katika Sheria Ndogo Kuu kwa kufuta Jedwali la II na III na kuengeza majedwali mapya kama yalivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. 7 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) JEDWALI LA II (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 6(2)) FAINI ITAKAYOTOLEWA KWA KILA MFUGO UTAKAOKAMATWA NA. 1 2 3 4 5 JINA LA MFUGO NG’OMBE PUNDA MBUZI KONDOO NGURUWE KIASI CHA FEDHA TSH 10,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= JEDWALI III ADA YA MIFUGO KWA WAHAMIAJI KUTOKA NJE Limetengenezwa chini ya kifungu cha 5 (2) NA. 1 2 3 4 5 JINA LA MFUGO NG’OMBE PUNDA MBUZI KONDOO NGURUWE KIASI KWA MWAKA 10,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= JEDWALI IV (Limetengenezwa chini ya kifungu cha 14 (4)) USHURU WA TAKA NA. 1 2 3 4 5 ENEO KAYA DUKA REJA REJA DUKA LA JUMLA NYUMBA YA KULALA WAGENI TAASISI NYINGINE KIASI TSH 1,500/= 2,000/= 2,500/= 3,000/= 3,500/= 8 Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi GN. NO. 279 (Contd.) Mabadiriko haya yanasomeka pamoja na Nembo ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi iliyobandikwa kwenye Marekebisho ya Sheria Ndogo za Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi ya mwaka 2019 kufuatia azimio lililopitishwa na mkutano wa halmashauri uliofanyika mnamo tarehe 28/2/2020. Na Nembo hii inabandikwa:- MISSANA K KWANGURA, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, NKASI SUMUNI ZENO MWANAKULYA, Mwenyekiti, Halmashauri ya Wilaya, NKASI L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI SAID JAFO (MB.), 3 Machi, 2021 Waziri wa Nchi -OR- Tamisemi 9
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Mifugo (Marekebisho) ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi za Mwaka 2021
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in