453 hadi alama yenye majira – nukta 693659.5856E, 8968088.9022N; baada ya hapo mpaka
Verify source ↗ AI-assisted research summary: This provision describes a boundary line by listing bearings, distances, and coordinates.
0.453 hadi alama yenye majira – nukta 693659.5856E, 8968088.9022N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.381 hadi kwenye alama yenye majira - nukta 693630.8331E, 8967708.7788N; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.133 hadi kwenye alama yenye majira - nukta 693759.0621E, 8967692.2717N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.359 hadi kwenye barabara ya mtaa kwenye alama yenye majira - nukta 693967.4761E, 8967410.6432N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.168 kwenye alama yenye majira – nukta 693829.4572E, 8967314.1876N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.35 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 693830.9002E, 8967243.9148N; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.53 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 693471.5577E, 8966969.1913N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.256 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 693494.7328E, 8966713.9784N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.507 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 693821.4655E, 8966327.9848N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.322 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 693849.403E, 8966007.1967N; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kufuata kwa umbali wa kilomita 0.408 hadi kwenye barabara ya mtaa kwenye alama yenye majira – nukta 693444.2991E, 8965958.6912N; baada ya hapo mpaka unaeleka Kaskazini – Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.477 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 693025.8641E, 8966187.8634N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.347 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 692812.6516E, 8965913.9322N; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.983 hadi kwenye alama yenye majira – nukta 691984.5929E, 8966443.0388N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata mto kwa umbali wa kilomita 2.4 hadi ulipoanzia”. Dodoma, 8 Novemba, 2022 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2