AI-assisted research summary: Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.
3. Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo. ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 293689.051E, 9278973.719N karibu na Mto Mtisi; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 04o 53’ 03” E hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 294029.948E, 9282963.097N; kwa umbali wa kilomita 4.003, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N 09o 55’ 40” E hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 646 yenye maira - nukta 294471.000E, 9285483.000N; kwa umbali wa kilomita 2.558, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi kwa uelekeo wa N 84o 26’ 55” W hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 650 yenye majira - nukta 292619.000E, 9285663.000N kwa umbali wa kilomita 1.860; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N 68o 13’ 54” W hadi alama ya upimaji namba WL 649 yenye majira - nukta 291124.000E, 9286260.000N kwa umbali wa kilomita 1.609; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa S 20o 10’ 35” W hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 648 yenye majira - nukta 290119.000E, 9283525.000N kwa Tangazo la Serikali na. 696 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Mtisi umbali wa kilomita 2.913; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki kwa uelekeo wa S 34o 58’ 55” E kwa kufuata mto Mtisi hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 647 yenye majira - nukta 290387.000E, 9283142.000N kwa umbali wa kilomita 0.467; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 29o 47’ 26” W hadi alama ya mpaka namba WL 705 yenye majira ya nukta 289226.000E, 9281114.000N kwa umbali wa kilomita 2.336; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 19o 58’ 21” W hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 692 yenye majira - nukta 290337.000E, 9278057.000N kwa umbali wa kilomita