AI-assisted research summary: The listed planning authorities must prepare and keep the general and detailed plan for the area described in the Table.
3. Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo. ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WL 496 yenye majira - nukta 274370.000E, 9272374.000N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa N 08o 03’ 38” E kwenda hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 445 yenye majira ya nukta 276236.000E, 9285550N; kwa umbali wa kilomita 13.307, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N 35o 41’ 08” E hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 494 yenye majira - nukta 278917.000E, 9289283.000N; kwa umbali wa kilomita 4.595, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki kwa uelekeo wa N 61o 28’ 38” E hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 446 yenye majira - nukta 281252.000E, 9290552.00N kwa umbali wa kilomita 2.656; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S 19o 34’ 05” E hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 702 yenye majira - nukta 282982.000E, 9285685.000N 1 Tangazo la Serikali na. 697 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Itenka kwa umbali wa kilomita 5.163; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S 40o 34’ 06” W hadi alama ya mpaka ya upimaji namba WL 700 yenye majira - nukta 281012.000E, 9283384.000N kwa umbali wa kilomita 3.029; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki kwa uelekeo wa S 15o 29’ 03” E hadi alama ya upimaji ya mpaka namba WL 795 yenye majira - nukta 282975.000E, 9276298.000N kwa umbali wa kilomita 7.351; baada ya hapo mpaka unaelekea katika alama ya upimaji ya mpaka namba WL 496 katika uelekeo wa S 65o 29’ 11” W yenye majira ya nukta 274370.000E, 9272374.000N kwa kufuata Eneo la Jumla la Mbuga ya Taifa ya Katavi kwa umbali wa kilomita 9.456 ulipoanzia.” ANGELINE S. MABULA Dodoma, Waziri wa Ardhi, Nyumba na 8 Novemba, 2022 Maendeleo ya Makazi 2