Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Igunga ya Mwaka 2021
This section gives the by-law’s short title and defines key terms used in it.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Igunga ya Mwaka 2021
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the by-law’s short title and defines key terms used in it. Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa huduma na vibali vilivyoainishwa, na ada hizo zitalipwa kwa Halmashauri; ushuru unaweza kulipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kama itakavyoelekeza. Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii anapaswa kulipa ada au ushuru. Ushuru na ada hulipwa kwa wakati, mara nyingi kabla ya huduma au tukio kuanza, na ukusanyaji wa ushuru ni kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi. Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha shughuli bila leseni/kibali, kukamata na kuzuia mali au bidhaa kwa ukwepaji wa ushuru, na kwa masharti maalum kuuza mali iliyokamatwa baada ya amri ya Mahakama.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Igunga ya Mwaka 2021
Showing 76 of 76
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section gives the by-law’s short title and defines key terms used in it.
2. Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Igunga ya Mwaka 2021. Katika Sheria Ndogo hii, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo: “ada” maana yake ni malipo yanayolipwa kwa Halmashauri kwa ajili ya vibali au leseni mbalimbali zitolewazo na Halmashauri; “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi wa umma yeyote aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hii; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Igunga; “kibali” maana yake ni idhini au ruhusa ya maandishi inayotolewa na Halmashauri; “Mkurugenzi” maana yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga au afisa yeyote aliyeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; 1 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) “Mnada” maana yake ni sehemu ambayo kuna shughuli ya kuuza na kununua bidhaa mbali mbali kwa siku maalumu; “Mnada wa awali” maana yake ni mnada unaomilikiwa na Halmashauri; “Mnada wa upili” maana yake ni mnada unaomilikiwa na Serikali Kuu; “ushuru” maana yake ni inayotozwa na Halmashauri kwa shughuli au huduma mbalimbali zinazofanywa katika eneo la Halmashauri; “Wakala” maana yake ni kampuni iliyoteuliwa tozo Utozaji wa ada na ushuru - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa huduma na vibali vilivyoainishwa, na ada hizo zitalipwa kwa Halmashauri; ushuru unaweza kulipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kama itakavyoelekeza.
3.- kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii. SEHEMU YA PILI UTOZAJI ADA NA USHURU leseni (1) Halmashauri itatoza ada na ushuru kwa ajili ya huduma mbalimbali na vibali, zinazotolewa kama Halmashauri na ilivyoainishwa katika Jedwali la Kwanza la Sheria Ndogo hii. (2) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ada zinazotozwa chini ya Sheria Ndogo hii zitalipwa kwa Halmashauri. (3) Kwa kuzingatia masharti ya kifungu kidogo cha (1), ushuru unaotozwa chini ya Sheria Ndogo hii utalipwa kwa Halmashauri au Wakala wa Halmashauri kadri Halmashauri itakavyoelekeza. kwa Wajibu wa kulipa ada na ushuru
Part
SEHEMU YA PILI
- 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Mtu anayestahili kulipa ada au ushuru chini ya Sheria Ndogo hii anapaswa kulipa ada au ushuru.
4. Mtu yeyote anayestahili kulipa ada au ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii atatakiwa kulipa ada au 2 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) Muda wa kukusanya ada na ushuru - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Ushuru na ada hulipwa kwa wakati, mara nyingi kabla ya huduma au tukio kuanza, na ukusanyaji wa ushuru ni kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni isipokuwa kwa kibali maalum cha Mkurugenzi.
5.- ushuru huo kwa kuzingatia viwango vilivyoainishwa katika Sheria Ndogo hii. (1) Muda wa kukusanya ushuru utakuwa ni kuanzia saa kumi na mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili kamili jioni. (2) Bila kujali masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala, kwa kibali maalum kutoka kwa Mkurugenzi, anaweza kukusanya ushuru baada ya muda uliotajwa hapo juu. (3) Malipo ya ada yatalipwa kabla ya kupokea huduma inayotozwa ada chini ya Sheria Ndogo hii. (4) Ushuru utakaotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii, utalipwa kwa wakati na kuzingatia kwamba :- a) endapo unalipwa kwa tukio, ushuru huo utalipwa kabla ya tukio husika kuanza; b) endapo unalipwa kwa siku, ushuru huo utalipwa mwanzoni kabla ya shughuli ya siku hiyo kuanza; c) endapo unalipwa kila mwezi, ushuru huo utalipwa ndani ya siku saba za mwanzo wa mwezi husika; d) endapo unalipwa kwa mwaka, ushuru huo utalipwa ndani ya siku ishirini na moja za mwanzo wa mwaka husika; e) endapo unategemea huduma au hesabu za mapato kufanyika, ushuru huo utalipwa ndani ya siku thelathini baada ya huduma au hesabu za mapato kufanyika. (4) Malipo ya ushuru yanayotozwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii yatalipwa kwa Halmashauri au Wakala wake na kutolewa stakabadhi ya kielektroniki ya Halmashauri kama kielelezo 3 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) Usimamizi wa Sheria Ndogo - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha shughuli bila leseni/kibali, kukamata na kuzuia mali au bidhaa kwa ukwepaji wa ushuru, na kwa masharti maalum kuuza mali iliyokamatwa baada ya amri ya Mahakama.
6.- cha malipo yaliyofanyika. (1) Halmashauri inaweza kufunga biashara au kusimamisha uendeshaji wa shughuli yoyote ambayo itafanyika bila ya kuwa na leseni au kibali kinachotolewa na Halmashauri. (2) Bila kuathiri masharti ya kifungu kidogo cha (1), Halmashauri au Wakala wake anaweza kukamata na kuzuia mali au bidhaa za mtu yeyote ambaye ameshindwa kulipa ushuru na atapaswa fomu maalumu kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. kujaza (3) Endapo mmiliki wa mali au bidhaa iliyokamatwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) atashindwa kulipa ushuru unaodaiwa ndani ya siku saba kwa mali au bidhaa zisizoharibika haraka na ndani ya siku mbili kwa mali au bidhaa zinazoharibika haraka, Halmashauri, baada ya kupata amri ya Mahakama, itakuwa na mamlaka ya kuuza mali au zitakazopatikana fedha zitarejeshwa kwa mmiliki wa mali au bidhaa hizo baada ya kutoa ada au ushuru unaodaiwa, gharama za kuhifadhi mali au bidhaa, gharama za Mahakama na gharama za mnada. bidhaa na (4) Wakala hataruhusiwa kukamata mali au bidhaa bila kupata idhini ya maandishi ya Mkurugenzi. (5) Halmashauri haitawajibika kwa uharibifu wa bidhaa au mali iliyokamatwa chini ya kifungu hiki isipokuwa tu kama uharibifu huo utakuwa umesababishwa na Halmashauri au Wakala. Uteuzi wa Wakala - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: The Council may appoint an agent to collect taxes under this by-law, and the appointed agent must collect and receive taxes on the Council’s behalf within the approved area and follow the agency contract’s terms, including electronic collection.
7.- (1) Halmashauri itakuwa na mamlaka ya kuteua Wakala kwa mujibu wa sheria kukusanya ushuru kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. 4 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) (2) Wakala aliyeteuliwa kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (1) atakuwa na wajibu wa: (a) na kwa kukusanya na kupokea ushuru kwa niaba ya Halmashauri katika eneo viwango alilopangiwa vilivyoidhinishwa katika Sheria Ndogo hii; kukusanya ushuru kwa kutumia mfumo kuwasilisha wa makusanyo kuzingatia masharti ya mkataba wa uwakala alioingia na Halmashauri; kielektroniki yote na kwa (b) Mamlaka ya Afisa Mwidhiniwa - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kuandika barua, hati, au taarifa kwa watu kuhusu mambo chini ya Sheria Ndogo hii, na Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa ajili ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini, au kushughulikia ada, ushuru, leseni au kibali.
9.- Barua, Hati, taarifa zinazoandikw a na Halmashauri (c) Kumchukulia hatua za kisheria mtu yeyote aliyekiuka masharti ya Sheria Ndogo hii. Bila kuathiri masharti yaliyowekwa na Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa anaweza kuingia katika eneo, jengo au chombo cha usafiri kwa nia ya kukusanya ushuru, kufanya tathmini au kufanya jambo lolote linalohusu ada, ushuru, leseni au kibali kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii. (1) Halmashauri inaweza kuandika barua au hati, au taarifa kwa mtu yeyote kwa lengo kutoa taarifa, wito au maelekezo kuhusiana na jambo lolote kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; (2) Barua au hati itakayoandikwa na Halmashuri kwa mtu yeyote itaelekezwa kwa mhusika na itapokelewa na mhusika au mfanyakazi wake au mtu ambaye ameachiwa ofisi au mtu mzima anayeishi nyumbani mwa mhusika; (3) Mtu atakayepokea barua au hati kutoka sehemu atapaswa Halmashuri mtu atakayoelekezwa atakayemkabidhi barua au hati husika kwa ajili ya kuthibitisha kufikishwa kwa barua au hati iliyopelekwa. kusaini na kusaini 5 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) SEHEMU YA TATU MAKOSA NA ADHABU Makosa na adhabu - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Mazao ya chakula yanatozwa ushuru wa 2% ya bei ya shambani.
1. Mazao ya chakula Ushuru 2% ya bei ya shambani - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: The text states a 3% tax based on the farm-gate price for construction minerals.
2. Mazao ya Biashara 3% ya bei ya shambani II. USHURU WA MADINI YA UJENZI Na Aina ya chombo kwa Uwezo wa Kubeba Mzingo - 4 Verify source ↗
Gari ya tani 12
AI-assisted research summary: For 12-ton vehicles, the section lists trip charges in Tanzanian shillings: 3,000, 7,000, 10,000, and 12,000.
4. Gari ya tani 12 Ushuru kwa Safari (Tshs) 3,000/= 7,000/= 10,000/= 12,000/= - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaorodhesha viwango vya ushuru: 10% kwa mauzo ya marudio ya madini ya dhahabu na mengine kama hayo, 0.3% kwa ushuru wa huduma juu ya mapato ghafi, na Tshs 1,000 kwa tani kwa chombo cha uzito mwingine usiotajwa.
5. Chombo cha uzito mwingine usiotajwa 1,000/= @ tani III. USHURU WA MAUZO YA MARUDIO YA MADINI Mauzo ya marudio ya madini ya dhahabu na madini mengine kama hayo, yatalipiwa ushuru wa 10% ya bei ya mauzo. IV. USHURU WA HUDUMA KWA KAMPUNI AU TAASISI ZINAZOUZA BIDHAA AU HUDUMA NA WAFANYABIASHARA BINAFSI Ushuru wa huduma utakuwa asilimia 0.3% ya mapato ghafi bila kuhusisha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) na kodi ya mlaji. V. USHURU WA UNENEPESHAJI WA MIFUGO NDANI YA SIKU TISINI KWA KILA MFUGO Na. Aina ya Mfugo Ushuru Tshs) - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: The provision lists a charge of 2,000/= for cattle.
1. Ng’ombe 2,000/= 13 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This text appears to introduce a wood tax for transporters using a vehicle that can carry at least one ton, but the full rule is not shown.
4. nguruwe 2,000/= 1,000/= 1,000/= VI. USHURU WA KUNI KWA WASAFIRISHAJI WANAOTUMIA CHOMBO CHENYE UWEZO WA KUBEBA KUANZIA TANI MOJA Na. Aina ya Chombo kwa Uwezo wa kubeba Ushuru kwa Safari (Tshs) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section concerns parking charges in local authority areas and use of bus/vehicle stands, with daily rates listed.
5. Zaidi ya tani 7 3,000/= 4,000/= 5,000/= 15,000/= 25,000/= VII. USHURU WA MAEGESHO KWENYE MAENEO YA HALMASHAURI NA MATUMIZI YA STENDI Na. Aina ya chombo kwa Uwezo wa Kubeba Mzingo Ushuru kwa Siku (Tshs) - 3 Verify source ↗
Mabasi ya abiria ya tani 3 na kuendelea
AI-assisted research summary: Section heading for passenger buses of 3 tons and above.
3. Mabasi ya abiria ya tani 3 na kuendelea - 4 Verify source ↗
Ushuru wa stendi kwa mabasi yanayopita
AI-assisted research summary: This section is titled “Ushuru wa stendi kwa mabasi yanayopita” (station fee for passing buses).
4. Ushuru wa stendi kwa mabasi yanayopita - 9 Verify source ↗
Mtu yeyote anayeingia stendi kusindikiza, au asiye
AI-assisted research summary: This provision lists people entering the station to escort someone, or entering without a ticket or special permit, and shows associated fee amounts.
9. Mtu yeyote anayeingia stendi kusindikiza, au asiye na tiketi au asiye na kibali maalum cha kutumia stendi. 14 4,000/= 3,000/= 3,000/= 2,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= 1,000/= 200/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) VIII. USHURU WA TAKA KWA MWEZI Na Aina ya Chanzo cha Ushuru Ushuru (Tshs) - 1 Verify source ↗
Nyumba ya kuishi kwa kila kaya yenye mtu 1 hadi 3
AI-assisted research summary: A house is to be provided for each household with 1 to 3 people.
1. Nyumba ya kuishi kwa kila kaya yenye mtu 1 hadi 3 - 2 Verify source ↗
Nyumba ya kuishi kwa kila kaya yenye watu 4 hadi
AI-assisted research summary: This provision refers to a dwelling for a household of 4 to 6 people.
2. Nyumba ya kuishi kwa kila kaya yenye watu 4 hadi 6 - 3 Verify source ↗
Nyumba ya kuishi kwa kila kaya yenye watu 7 na
AI-assisted research summary: A dwelling is provided for each household with 7 or more people.
3. Nyumba ya kuishi kwa kila kaya yenye watu 7 na kuendelea - 8 Verify source ↗
Duka lolote la rejareja, la bidhaa au huduma, lenye
AI-assisted research summary: This provision refers to any retail shop for goods or services that has, or should have, a business licence.
8. Duka lolote la rejareja, la bidhaa au huduma, lenye au linalostahili kuwa na leseni ya Biashara - 13 Verify source ↗
Duka la Dawa za binadamu au wanyama au mimea
AI-assisted research summary: Section title: “Duka la Dawa za binadamu au wanyama au mimea.”
13. Duka la Dawa za binadamu au wanyama au mimea - 21 Verify source ↗
Zahanati (taka salama)
AI-assisted research summary: This section appears to list charges/fees for “Zahanati (taka salama)” with multiple shilling amounts.
21. Zahanati (taka salama) 15 2,000/= 3,000/= 4,000/= 5,000/= 5,000/= 1,000/= 2,000/= 5,000/= 3,000/= 3,000/= 3,000/= 10,000/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 5,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) - 25 Verify source ↗
Kiwanda cha kuzalisha au kuuza mbao kwa taka
AI-assisted research summary: Section 25 refers to a factory that produces or sells boards made from waste that is not wood residue.
25. Kiwanda cha kuzalisha au kuuza mbao kwa taka ambazo sio mabaki ya mbao - 33 Verify source ↗
Kiwanda cha kukoboa mpunga, taka ambazo sio
AI-assisted research summary: Section title about a rice mill and waste that is not bran.
33. Kiwanda cha kukoboa mpunga, taka ambazo sio pumba - 39 Verify source ↗
Maeneo ya taasisi na asasi za kiraia
AI-assisted research summary: Section heading: institutions and civil society organizations.
39. Maeneo ya taasisi na asasi za kiraia - 40 Verify source ↗
Wavundika ndizi na wenye vifungashio vya majani
AI-assisted research summary: Section title about bananas and those using leaf packaging.
40. Wavundika ndizi na wenye vifungashio vya majani - 44 Verify source ↗
Fundi viatu
AI-assisted research summary: The section lists “Fundi viatu” and a set of monetary amounts.
44. Fundi viatu 16 10,000/= 15,000/= 20,000/= 10,000/= 2,000/= 2,000/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= 10,000/= 20,000/= 10,000/= 5,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 1,000/= 3,000/= 5,000/= 5,000/= 10,000/= 5,000/= 1,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) - 47 Verify source ↗
Kituo cha kulelea watoto na wenye mahitaji maalum
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinataja kituo cha kulelea watoto na wenye mahitaji maalum.
47. Kituo cha kulelea watoto na wenye mahitaji maalum - 48 Verify source ↗
Chanzo kingine ambacho hakikutajwa
AI-assisted research summary: This excerpt lists a fee schedule for a single dump-use trip, but the visible text is incomplete.
48. Chanzo kingine ambacho hakikutajwa 8,000/= 5,000/= 0 3,000/= IX. USHURU WA KUTUMIA DAMPO KWA SAFARI MOJA Aina ya chombo kwa Uwezo Wake wa Kubeba Mzigo Ushuru (Tshs) Na. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision refers to a vehicle with a carrying capacity of 0 to 3.5 tons.
1. Gari lenye uwezo wa kubeba tani 0 -3.5 - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision refers to a vehicle with a carrying capacity of 3.6 to 5 tons.
2. Gari lenye uwezo wa kubeba tani 3.6 - 5 - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Hii inaonekana kuonyesha gari lenye uwezo wa kubeba tani 5.1 hadi 7.
3. Gari lenye uwezo wa kubeba tani 5.1 - 7 - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This provision refers to a vehicle with a carrying capacity of 7.1 to 10 tonnes.
4. Gari lenye uwezo wa kubeba tani 7.1 - 10 - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Vehicles with a carrying capacity of 10.1 tons or more.
5. Gari lenye uwezo wa kubeba tani 10.1 na zaidi - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: The text lists Tanzanian shilling amounts for “other vessel not mentioned” in connection with a market unloading tax for vessels.
6. Chombo kingine ambacho hakikutajwa 5,000/= 7,000/= 10,000/= 15,000/= 20,000/= 10,000/= X. USHURU WA KUSHUSHA MIZIGO SOKONI KWA CHOMBO Na. - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This provision lists ushuru amounts in Tshs for different tonnage bands.
9. Tani 1.5 Tani 2 Tani 3 Tani 4 Tani 5 Tani 7 Tani 8 – 10 Zaidi ya Tani 10 17 Ushuru (Tshs) 2,000/= 2,500/= 3,000/= 5,000/= 6,000/= 10,000/= 12,000/= - 15 Verify source ↗
000/=
AI-assisted research summary: The text shows a schedule for market-goods tax/fees with amounts listed and a weight category of 50 to 100 kg.
15.000/= 20,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) XI. USHURU WA BIDHAA ZILETWAZO SOKONI Na. A. Uzito Kuanzia kilo 50 hadi 100 - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: 5. Mazao mengine B. Ushuru wa matenga/boksi
5. Mazao mengine B. Ushuru wa matenga/boksi - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Section heading for “Other crops C” and “Bottle tax (50 kg)”.
8. Mazao mengine C. Ushuru wa viroba (kg 50) - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: This text appears to list local charges or fees, including “ushuru” amounts, for the Igunga District Council bylaw.
7. Pensheni 18 Ushuru 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= 500/= 500/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) - 17 Verify source ↗
Mazao mengine
AI-assisted research summary: Hii ni kichwa cha kifungu kinachotaja mazao mengine na ushuru wa mazao ya nyuki.
17. Mazao mengine D. Ushuru wa mazao ya nyuki - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This fragment lists livestock tax/fees for animals sold at the market, with amounts shown such as 500/= and 200/=, but the table is incomplete.
2. Nta kilo 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 200/= 200/= XII. USHURU WA MIFUGO INAYOUZWA MNADANI Na. Aina ya Mifugo - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This provision mentions chickens and other birds in a large basket or cage.
1. Kuku na jamii nyingine ya ndege kwa tenga kubwa - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section refers to chickens and other birds in a medium pen or enclosure.
2. Kuku na jamii nyingine ya ndege kwa tenga la kati - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section 3 mentions chickens and other birds in a small enclosure.
3. Kuku na jamii nyingine ya ndege kwa tenga dogo - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: The text lists cows, donkeys, camels, and horses.
4. Kila ng’ombe, Punda, ngamia, au farasi - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: This section lists charges for certain livestock at auction and daily market fees for traders without special small-entrepreneur identification cards.
6. Kila mfugo mwingine usiotajwa Ushuru Katika Mnada wa Awali 5,000/= 3,000/= 1,000/= 4,000/= 1,000/= 2,000/= Ushuru Katika Mnada wa Upili 5,000/= 3,000/= 1,000/= 1,000/= 500/= 1,000/= 19 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) XIII. USHURU WA KILA SIKU WA SOKO, GULIO NA MNADA KWA WASIOKUWA NA VITAMBULISHO MAALUM VYA WAJASIRIAMALI WADOGO Aina ya Biashara Matunda na mbogamboga Nafaka Mitumba Mavazi mapya Fundi cherehani Vyombo vya ndani Dawa za asili Kuku, bata n.k Samaki na nyama Na. - 13 Verify source ↗
Kuuza mazao, bidhaa na huduma nyingine
AI-assisted research summary: This section heading concerns selling produce, goods, and other services, and shows an ushuru amount of Tshs 500/= repeated in the text.
13. Kuuza mazao, bidhaa na huduma nyingine Ushuru (Tshs) 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= 500/= zisizotajwa XIV. USHURU WA ZANA ZA KILIMO ZINAZOTUMIKA KIBIASHARA Na. - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section lists fees for commercial use of certain machinery and sets amounts in Tanzanian shillings.
2. Aina ya Zana na Matumizi Power tiller na Trekta zinazofanyabiashara ya kusomba mazao na mizigo mingine Mitambo ya kuvuna mazao (Combine harvestor) inayofanya kazi kibiashara Ushuru(Tshs) 3,000/= kwa safari 500,000/= kwa msimu wa mavuno 20 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI (Limetungwa chini ya kifungu cha 11) KUFILILISHA KOSA Mimi…………………………………….…………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, kwamba mnamo tarehe ………mwezi………. Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Niko tayari kulipa kiasi cha Ada au Ushuru ninayodaiwa pamoja na faini. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………………………. ya Mwezi…………………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………… 21 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) Nembo na Muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga vimebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio lililopitishwa na Mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 3//4/2020 na ubandikaji huo kushuhudiwa na:- REVOCATUS L. K. KUULI, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Igunga PETER ONESMO MALODA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya, Igunga L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI SAID JAFO (MB.), 22 Februari, 2021 Waziri wa Nchi -OR- Tamisemi 22
Part
SEHEMU YA TATU
- 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa akikiuka masharti ya kifungu hiki, na akitiwa hatiani anaweza kutozwa faini au kufungwa.
10.- (1) Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa endapo: a) b) c) d) e) f) g) h) za taarifa kwa Mkurugenzi, atashindwa kulipa ushuru mujibu wa Sheria Ndogo hii; atamshawishi mtu au kundi la watu kukwepa au kukataa kulipa ada au ushuru; kwa uongo atatoa Halmashauri au Wakala kuhusu huduma zinazohitaji kibali au leseni ya Halmashauri shughuli zinazohitaji kulipiwa ushuru; atamzuia Afisa Mwidhiniwa au Wakala kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; atakataa amri halali ya Mkurugenzi au afisa mwidhiniwa au wakala anayetekeleza majukumu yake chini ya Sheria Ndogo hii; akishindwa kuweka kumbukumbu za vitabu, hesabu au maelezo yoyote yatakayohitajika Halmashauri; atakataa kusaini uthibitisho wa kupokea hati, taarifa au notisi kwa ajili yake au mtu mwingine ambaye anafanya kazi ofisini kwake au anaishi nyumbani kwake; atakwenda kinyume na masharti ya kupokea au 6 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) Sheria Ndogo hii. (2) Mtu atakayetiwa hatiani kwa kukiuka masharti ya kifungu kidogo cha kwanza atahukumiwa adhabu ya faini isiyopungua shilingi laki mbili na isiyozidi shilingi milioni moja au kifungo kisichopungua miezi kumi na mbili na kisichozidi miezi ishirini na nne. Kufililisha kosa - 11 Verify source ↗
Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa
AI-assisted research summary: Mkurugenzi ana uwezo wa kumtoza mtu aliyetenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii shilingi 200,000 ikiwa mkosaji anakiri kosa, yuko tayari kujaza fomu maalum, na analipa ada au ushuru unaodaiwa.
11. Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi cha shilingi laki mbili endapo mkosaji atakiri kosa na kuwa tayari kujaza fomu maalum iliyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii na kulipa ada au ushuru anaodaiwa. 7 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA (Chini ya Kifungu cha 3(1)) SEHEMU YA KWANZA ADA I. ADA ZA VIBALI VYA UJENZI KATIKA MAENEO YA MIJINI AU SENTA ZA KWENYE KATA Na Aina ya Ujenzi Ada (Tshs)
Part
SEHEMU YA KWANZA
- 11 Verify source ↗
Ujenzi mwingine ambao haukutajwa
AI-assisted research summary: This section lists several monetary amounts for “other construction not mentioned.”
11. Ujenzi mwingine ambao haukutajwa 20,000/= 30,000/= 50,000/= 20,000/= 100,000/= 200,000/= 200,000/= 150,000/= 200,000/= 1,000,000/= 100,000/= Na. - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section lists fees for permits to build permanent rural buildings, with different amounts for different building types.
5. II. ADA ZA VIBALI VYA UJENZI WA MAJENGO YA KUDUMU VIJIJINI Aina ya Ujenzi Ada (Tshs) Nyumba ya makazi Nyumba ya makazi na Biashara Nyumba ya Biashara Uzio Jengo la ghorofa 1 hadi 2 na kuendelea 8 20,000/= 20,000/= 40,000/= 10,000/= 100,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: The provision lists buildings with 3 or more floors, private schools, warehouses, and petrol stations.
9. Jengo la ghorofa 3 na kuendelea Shule binafsi Ghala Kituo cha mafuta - 11 Verify source ↗
Ujenzi mwingine ambao haukutajwa
AI-assisted research summary: This excerpt lists amounts under a heading about other construction and permit fees, but it does not state a clear rule on its own.
11. Ujenzi mwingine ambao haukutajwa 200,000/= 200,000/= 100,000/= 150,000/= 1,000,000/= 80,000/= III. ADA ZA VIBALI VYA UZIO WA UJENZI NA MAENEO YA BURUDANI Na - 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This provision lists permit fees in Tanzanian shillings for fencing a construction area and for a temporary fence permit.
2. Aina ya Kibali Ada (Tshs) Kibali cha kuzingira eneo la ujenzi kwa mwezi Kibali cha Uzio wa muda, kila mita nne kwa siku 10,000/= 2,000/= IV. ADA ZA VIBALI VYA KUFANYA UKARABATI Na Aina ya Jengo Ada (Tshs) - 10 Verify source ↗
Mnara wa mawasiliano
AI-assisted research summary: This section lists a communication tower item and several monetary amounts.
10. Mnara wa mawasiliano 9 10,000/= 20,000/= 30,000/= 10,000/= 70,000/= 120,000/= 120,000/= 100,000/= 130,000/= 500,000/= Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) - 11 Verify source ↗
Jengo jingine ambalo halikutajwa
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha ada ya Tshs 70,000 kwa jengo jingine ambalo halikutajwa chini ya vibali vya kubomoa majengo ya kudumu.
11. Jengo jingine ambalo halikutajwa 70,000/= V. ADA ZA VIBALI VYA KUBOMOA MAJENGO YA KUDUMU Na. Aina ya Jengo Ada (Tshs) - 11 Verify source ↗
Jengo jingine ambalo halikutajwa
AI-assisted research summary: This excerpt appears to list fee amounts in Tanzanian shillings and begins a schedule for renting a council hall per day.
11. Jengo jingine ambalo halikutajwa 10,000/= 20,000/= 30,000/= 10,000/= 80,000/= 130,000/= 130,000/= 130,000/= 130,000/= 600,000/= 80,000/= VI. ADA YA KUKODI UKUMBI WA HALMASHAURI KWA SIKU Na Aina ya Matumizi Ada (Tshs) - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section refers to seminars for organizations and projects.
1. Kwa ajili ya Semina za Mashirika na Miradi - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Section 3 is titled “Use for civil society organizations.”
3. Matumizi kwa ajili ya Asasi za kiraia - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: The text lists a charge of 100,000/= for “other unspecified uses.”
5. Matumizi mengine yasiyotajwa 100,000/= 00 100,000/= 100,000/= 100,000/= 10 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) VII. ADA YA KUKODI KIZIMBA SOKONI Na. Matumizi - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: Inaweka ada ya kutumia eneo la soko kwa muda na ada ya kila mwezi kwa mauzo ya bidhaa au huduma zisizotajwa.
6. Kuuza mazao, bidhaa na huduma nyngine zisizotajwa Ada (Tshs) Kwa Mwezi 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= VIII. ADA YA KUTUMIA ENEO LA SOKO KWA MUDA Ushuru wa kukodi sehemu katika eneo la soko kwa muda wa siku zisizozidi saba kwa mfanyabiashara ambaye hakujisajili katika rejista ya wadau wa soko au ambaye eneo analotaka kutumia sio lile alilosajiriwa kulitumia itakuwa shilingi 30,000/= IX. ADA ZA VIBALI VYA MATANGAZO YA BIASHARA MIKUTANO NA SHEREHE Na Aina ya Kibali Ada (Tshs) - 1 Verify source ↗
Kibali cha kutangaza biashara ya bidhaa au huduma za
AI-assisted research summary: Kibali cha kutangaza biashara ya bidhaa au huduma ni 10,000/= kwa siku ndani ya nchi.
1. Kibali cha kutangaza biashara ya bidhaa au huduma za 10,000/= ndani ya nchi kwa siku - 2 Verify source ↗
Kibali cha kutangaza biashara ya bidhaa au huduma kutoka
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaonyesha kibali kinachohusiana na kutangaza biashara ya bidhaa au huduma, kwa kiasi cha 15,000/= kwa siku nje ya nchi.
2. Kibali cha kutangaza biashara ya bidhaa au huduma kutoka 15,000/= nje ya nchi kwa siku - 3 Verify source ↗
Matangazo ya biashara ya muda kama yale ya kutumia
AI-assisted research summary: Temporary business advertisements, such as cloth-based ones, are limited to seven days.
3. Matangazo ya biashara ya muda kama yale ya kutumia vitambaa, kwa muda usiozidi siku saba - 5 Verify source ↗
Kibali cha sherehe za harusi, send off, n.k kwa kipindi cha
AI-assisted research summary: Hii inahusu kibali cha sherehe za harusi, send off na shughuli zinazofanana kwa kipindi cha hadi siku saba.
5. Kibali cha sherehe za harusi, send off, n.k kwa kipindi cha hadi siku saba - 6 Verify source ↗
Kibali cha mkutano wa hadhara hadi siku saba
AI-assisted research summary: Kibali cha mkutano wa hadhara ni cha hadi siku saba.
6. Kibali cha mkutano wa hadhara hadi siku saba - 7 Verify source ↗
Kibali cha Mkutano wa hadhara wa kidini
AI-assisted research summary: This provision lists fees for a religious public meeting permit and other permits/licenses, including car wash establishment permits and a mining-area crasher license.
7. Kibali cha Mkutano wa hadhara wa kidini 15,000/= 10,000/= 10,000/= 15,000/= 00 Ada za ukaguzi wa nyama zitakuwa kama zilivyobainishwa katika Sheria ya Magonjwa ya Wanyama No. 17 ya mwaka 2003 X. ADA YA UKAGUZI WA NYAMA 11 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) Ada za Leseni za biashara zitalipwa kwa viwango vilivyoainishwa katika Sheria ya Leseni za Biashara Sura ya 208 XI. ADA ZA LESENI ZA BIASHARA Leseni ya Crasher kwenye maeneo ya migodini kwa mwaka italipiwa shilingi 70,000/= XII. ADA YA LESENI YA CRASHER XIII. ADA YA KIBALI CHA KUANZISHA KITUO CHA KUOSHA MAGARI Kibali cha kuanzisha kituo cha kuosha magari kitalipiwa Shilingi 50,000/= kwa maeneo ya mijini au senta za kwenye kata na shilingi 30,000/= kwa maeneo ya vijijini. Na. - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya ukaguzi wa mazingira ni Tshs 150,000 kwa mwaka.
1. Kiwanda XIV. Aina ya Mazingira ADA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA Ada (Tshs) 150,000/= kwa mwaka - 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: The text refers to buildings with floors and an amount of 150,000/= for two years.
3. Majengo yenye ghorofa zisizopungua 150,000/= kwa mwaka mbili - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Section heading about a construction-mining area not established by the Council.
4. Eneo la kuchimba madini ya ujenzi lisiloanzishwa na Halmashauri - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: A private livestock fattening center is charged 150,000/=, with payment tied to starting and continuing operations and to the permit to establish the center.
5. Kituo binafsi cha kunenepesha mifugo 150,000/= kabla ya kuanza uchimbaji na kila mwaka wa fedha kabla ya kuendelea na uchimbaji 150,000/= kabla ya kutoa kibali cha kuanzisha kituo na kila mwaka XV. ADA ZA VIBALI VYA KUKUSANYA NA KURUNDIKA MABAKI YA BIDHAA KWA AJILI YA KUCHAKATWA UPYA Na. Aina ya Mabaki - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Ada ya Tshs 20,000 kwa mwaka inatajwa kwa chupa za plastiki na mabaki mengine ya plastiki.
1. Chupa za Plastiki na mabaki mengine plastiki Ada (Tshs) 20,000/= kwa mwaka - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: This fragment shows an amount of 20,000/= per year and introduces a section on agricultural produce levy.
4. Mabaki mengine 20,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa mwaka 20,000/= kwa mwaka 12 Sheria Ndogo ya Ada Na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 283 (Linaendelea.) SEHEMU YA PILI USHURU I. USHURU WA MAZAO YA KILIMO Na. Aina ya Mazao
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya Igunga ya Mwaka 2021
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in