AI-assisted research summary: Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unatakiwa kuandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.
3. Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika. ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji Sibwesa lipo ndani ya Mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya Upimaji namba P1 yenye majira - nukta 259037.07E, 9284884.40N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki kufuata mto Katuma hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 251695.14E, 9293020.82N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S47°34'49'' kwa umbali wa kilomita 4.14 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 248711.03E, 9295980.59N iliyopo Kamilala; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S45°13'25''W kwa umbali wa kilomita 3.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta 246128.28E, 9293417.92N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi Tangazo la Serikali na. 713 (linaendea) Amri ya Kupanga Eneo la Sibwesa katika uelekeo wa S12°28'26''W kwa umbali wa kilomita 10.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 246000.51E, 9278742.75N;. baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S25°59'25''W kwa umbali wa kilomita 5.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WDG 228 yenye majira - nukta 245891E, 9278834N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S64°36'21''W kwa umbali wa kilomita 0.568 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WDG 229 yenye majira - nukta 245377E, 9278590N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N85°06'54''W kwa umbali wa kilomita 3.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WDG 230 yenye majira - nukta 241820E, 9278894N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S71°45'31''W kwa umbali wa kilomita 1.87 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WDG 231 yenye majira - nukta 240042E, 9278308N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N76°41'50''W kwa umbali wa kilomita 2.89 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WDG 232 yenye majira - nukta 237221E, 9259278975N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S20°15'24''E kwa umbali wa kilomita 1.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 237621.45E, 9277889.92N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S60°38'30''E kwa umbali wa kilomita 3.66 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 240819.06E, 9276091.22N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S21°45'03''W kwa umbali wa kilomita 1.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta 240176.98E, 9274481.91N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi kwa kufuata bonde hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 240445E, 9272125N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S41°43'24''E kwa umbali wa kilomita