AMRI YA KUPANGA ENEO LA MAJALILA YA MWAKA, 2022
This section gives the name of the order: Amri ya Kupanga Eneo la Majalila ya Mwaka, 2022.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Order
- Citation
- AMRI YA KUPANGA ENEO LA MAJALILA YA MWAKA, 2022
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives the name of the order: Amri ya Kupanga Eneo la Majalila ya Mwaka, 2022. The area listed in the Schedule is declared to be a planning area for the purposes of the Town Planning Act. Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika. Huu ni maelezo ya mpaka yanayoeleza mwelekeo, umbali, na alama za upimaji kati ya sehemu mbalimbali. Sehemu hii inaeleza mipaka ya eneo kwa kutumia alama za upimaji, mwelekeo, umbali, na kurudia kwa njia hadi kurudi kwenye mwanzo.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of AMRI YA KUPANGA ENEO LA MAJALILA YA MWAKA, 2022
Showing 5 of 5
- 1 Verify source ↗
Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupanga
AI-assisted research summary: This section gives the name of the order: Amri ya Kupanga Eneo la Majalila ya Mwaka, 2022.
1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupanga Eneo la Majalila ya Mwaka, 2022. Kutangazwa kwa eneo la upangaji Sura ya 355 - 2 Verify source ↗
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii
AI-assisted research summary: The area listed in the Schedule is declared to be a planning area for the purposes of the Town Planning Act.
2. Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji. Mpango wa jumla na kina wa eneo - 3 Verify source ↗
Mpango wa jumla na wa kina wa eneo
AI-assisted research summary: Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipangomiji pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.
3. Mpango wa jumla na wa kina wa eneo lililoainishwa katika Jedwali unaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika. ________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la Upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WL 497 iliyopo katika daraja la Iloba yenye majira - nukta 261837E, 9281611N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi kwa kufuata mto Katuma hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 253428.15E, 9290228.25N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N58°49'18''E kwa umbali wa kilomita 6.24 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 258765.49E, 993457.94N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S80°56'35''E kwa umbali wa kilomita 1.59 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 260336.98E, 9293207.41N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa N70°57'26''E kwa umbali wa kilomita Tangazo la Serikali na. 714 (linaendea) Amri ya Kupanga Eneo la Majalila
Part
JEDWALI
- 1 Verify source ↗
81 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta 262052.72E,
AI-assisted research summary: Huu ni maelezo ya mpaka yanayoeleza mwelekeo, umbali, na alama za upimaji kati ya sehemu mbalimbali.
1.81 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta 262052.72E, 9293799.56N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N35°05'38''E kwa umbali wa kilomita 21.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VR 87 yenye majira - nukta 274211E, 9311103N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N73°24'42''W kwa umbali wa kilomita 12.41 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 262320.41E, 9314645.09N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi kwa kufuata mto Ikaka hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 260554.73E, 9315414.63N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Mashariki katika uelekeo wa N02°23'57''E kwa umbali wa kilomita 1.75 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VR 96 yenye majira - nukta 260628E, 9317164N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa S77°58'36''E kwa umbali wa kilomita - 15 Verify source ↗
12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta
AI-assisted research summary: Sehemu hii inaeleza mipaka ya eneo kwa kutumia alama za upimaji, mwelekeo, umbali, na kurudia kwa njia hadi kurudi kwenye mwanzo.
15.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 275417.36E, 9314014.12N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N36°57'00''E kwa umbali wa kilomita 1.10 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VR 160 yenye majira - nukta 276080E, 9314895N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magaharibi katika uelekeo wa N64°54'08''W kwa umbali wa kilomita 5.93 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VR 71 yenye majira - nukta 270702E, 9317414N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magaharibi katika uelekeo wa N59°56'29''W kwa umbali wa kilomita 6.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji iitwayo Mgogoro yenye majira - nukta 265112E, 93206493N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N86°41'11''W kwa umbali wa kilomita 1.79 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WAB 171 yenye majira - nukta 263029.72E, 9320757.41N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N07°32'51''W kwa umbali wa kilomita 4.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WEJ 47 yenye majira - nukta 262356.84E, 9325696.76N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N42°31'36''W kwa umbali wa kilomita 3.34 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta 260093E, 9328165N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N06°33'37''W kwa umbali wa kilomita 4.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 259617E, 9332304N iliyopo kwenye mlima Mngojele; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N76°04'46''E kwa umbali wa kilomita 13.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WEJ 42 yenye majira - nukta 272676.16E, 9335540.79N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki kwa kufuata barabara ya Mpanda – Kigoma hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P10 yenye majira - nukta 273214.29E, 9324175.20N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S50°33'23''E kwa umbali wa kilomita 10.74 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P11 yenye majira - nukta 281381.42E, 9317209.09N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa S21°19'24''E kwa umbali wa kilomita 2.77 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P12 yenya 282392.14E, 9314619.93N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa N87°01'38''E kwa umbali wa kilomita 2.62 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P13 yenye majira - nukta 285012.87E, 9314755.96N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S15°35'21''W kwa umbali wa kilomita 2.92 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba RV 31 yenye majira - nukta 284228.87E, 9311945.96N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magaharibi katika uelekeo wa S85°50'47''W kwa umbali wa kilomita 1.68 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba RV32 yenye majira – nukta 282548.90E, 9311824.00N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi kwa kufuata mto 2 Tangazo la Serikali na. 714 (linaendea) Amri ya Kupanga Eneo la Majalila Milala hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P14 yenye majira - nukta 283920.20E, 9301755.30N; baada ya hapo mapaka unaelekea Kusini – Magaharibi katika uelekeo wa S57°31'03''W kwa umbali wa kilomita 5.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P15 yenye majira - nukta 279243.30E, 9298777.76N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N47°11'47''W kwa umbali wa kilomita 1.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P16 yenye majira - nukta 278268.66E, 9299680.45N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S01°03'33''W kwa umbali wa kilomita 0.432 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P17 yenye majira - nukta 278260.70E, 9299247.70N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S47°10'12''W kwa umbali wa kilomita 16.88 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WL 485 (DCB) yenye majira - nukta 265880E, 9287771N; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa N44°56'58''W kwa umbali wa kilomita 0.801 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba WL 484 yenye majira - nukta 265314E, 9288338N iliyopo katika barabara ya Mpanda – Karema, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa S26°21'35''W kwa umbali wa kilomita 6.78 kufuata barabara ya Mpanda – Karema hadi ulipoanzia. ANGELINE S. MABULA Dodoma, 8 Novemba, 2022 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
AMRI YA KUPANGA ENEO LA MAJALILA YA MWAKA, 2022
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in