Sheria Ndogo ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021
This section gives definitions for key terms used in the by-law.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Regulation
- Citation
- Sheria Ndogo ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
This section gives definitions for key terms used in the by-law. Kila mtu ambaye ni mkazi au mpitaji ndani ya Halmashauri ana wajibu wa kutunza mazingira. Wamiliki wa ardhi lazima wapande idadi fulani ya miti, waliopanda miti lazima waizunze na kuilinda, na kila mtu lazima aepuke kuharibu miti iliyopandwa. Taasisi zote zinazotumia kuni kwa kupikia lazima zitumie majiko banifu yanayotumia kuni chache. No one may cut a planted or indigenous tree in an area not set aside for tree cutting unless there is a special permit and the Director or Authorized Officer has found the tree should be cut.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of Sheria Ndogo ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021
Showing 53 of 53
- 2 Verify source ↗
Section 2
AI-assisted research summary: This section gives definitions for key terms used in the by-law.
2. tu kama isipokuwa Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021. Katika Sheria Ndogo hii, imeelezwa vinginevyo:- “Afisa Mwidhiniwa” maana yake ni mtumishi yeyote wa Halmashauri aliyeteuliwa na Mkurugenzi kusimamia Sheria Ndogo hii. “eneo la Hifadhi” ni maeneo ya milima, maeneo ya vyanzo vya maji,mbuga za wanyama, hifadhi ya misitu, miteremko na maeneo mengine ambayo yatatangazwa na Halmashauri kuwa ni maeneo ya hifadhi; “Halmashauri” maana yake ni Halmashauri ya Wilaya ya Igunga; “hifadhi” maana yake ni eneo lolote lililotengwa na Halmashauri au jamii au mtu yeyote kwa lengo la kulifanya eneo hilo kubaki au kurudi katika hali yake ya asili na linajumuisha misitu, mabonde, milima, mabwawa na vyanzo vya maji; Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) “hifadhi ya mazingira” maana yake ni utunzaji endelevu wa ardhi; mimea, hewa, viumbe hai na visivyo hai na vyanzo vya maji unaozingatia masharti na maelekezo yatakayotolewa na Afisa Mwidiniwa chini ya Sheria ya Ndogo hii au Sheria nyingine yoyote; “madini ya ujenzi” maana yake ni udongo, kifusi, mchanga, kokoto, mawe na chokaa na vitu vingine vinavyoweza kuchimbwa ardhini kwa kusudi la ujenzi; “mazingira” maana yake ni kama ilivyotafsiriwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Na. 20 ya Mwaka 2004; “maji taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Na. 20 ya Mwaka 2004; “Mkurugenzi” Maana yake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga pamoja na Afisa yeyote atakayeteuliwa kutekeleza majukumu ya Mkurugenzi; “taka” maana yake ni ile iliyoanishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Na. 20 ya Mwaka 2004; “taka hatarishi au taka hatari” maana yake ni taka katika hali ya yabisi, kimiminika, gesi, au ujiuji mzito, ambazo kwa sababu za mwitikio wake kikemikali, zina madhara kwa afya, maisha au mazingira; “taka hatari” Maana yake ni kitu chochote kigumu, chenye majimaji, gesi au taka zitokazo viwandani, au mafuta machafu,ambayo za kikemia,kwa binadamu au mazingira; “taka ngumu” Maana yake ni ile iliyoainishwa katika Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Na. 20 ya Mwaka 2004; “Vyanzo vya maji” maana yake ni pamoja na chemchem, mito, mabwawa, ardhi, mabonde ya mito na maeneo ya milima; “Wakala” maana yake ni mtu, kikundi cha watu, kampuni, au taasisi iliyoteuliwa na Halmashauri ili kutekeleza majukumu ya Halmashauri kwa mujibu wa yanaleta athari 2 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) Sheria Ndogo hii. 3 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) SEHEMU YA PILI UTUNZAJI WA MAZINGIRA Wajibu wa kuhifadhi mazingira
Part
SEHEMU YA PILI
- 3 Verify source ↗
Section 3
AI-assisted research summary: Kila mtu ambaye ni mkazi au mpitaji ndani ya Halmashauri ana wajibu wa kutunza mazingira.
3. Utakuwa ni wajibu wa kila mtu ambaye ni mkazi, au mpitaji ndani ya Halmashauri kutunza mazingira. Upandaji na utunzaji wa miti - 4 Verify source ↗
Section 4
AI-assisted research summary: Wamiliki wa ardhi lazima wapande idadi fulani ya miti, waliopanda miti lazima waizunze na kuilinda, na kila mtu lazima aepuke kuharibu miti iliyopandwa.
4.- (1) Mtu yeyote anayemiliki ardhi atapaswa kupanda miti ya matunda au kivuli isiyopungua minne katika kila eneo la kiwanja chenye ukubwa usiozidi mita za mraba mia nne, na miti isiyopungua kumi kuzunguka shamba lisilozidi eka moja isipokuwa mashamba ya mpunga. (2) Mtu aliyepanda mti atawajibika kuutunza na kuulinda mti huo na kuhakikisha unakua. (3) Kila mtu atapaswa kujihepusha kufanya uharibifu kwa mti wowote uliopandwa. (4) Bila kuathiri masharti mengine ya Sheria Ndogo hii, kila mtu atakayeharibu mti uliopandwa, atawajibika kupanda upya mti mwingine na kuutunza, na kama sio mkazi, atagharamia upandaji mpya na utunzaji wa mti huo mpaka utakapofikia hatua uliyokuwa umefikia kabla ya kuharibiwa. Matumizi ya nishati ya kuni - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: Taasisi zote zinazotumia kuni kwa kupikia lazima zitumie majiko banifu yanayotumia kuni chache.
5. Taasisi zote zinazotumia nishati ya kuni kwa matumizi ya kupika zitapaswa kutumia majiko banifu yenye kutumia kuni chache. Ukataji wa miti - 6 Verify source ↗
Section 6
AI-assisted research summary: No one may cut a planted or indigenous tree in an area not set aside for tree cutting unless there is a special permit and the Director or Authorized Officer has found the tree should be cut.
6.- (1) Hakuna mtu atakayekata mti wowote uliopandwa au wa asili katika eneo ambalo halikutengwa kwa ajili ya kukata miti isipokuwa kwa kibali maalum na baada Mkurugenzi au Afisa Mwidhiniwa kuona kuna umuhimu wa mti husika kukatwa. (2) Halmashauri inaweza kutenga maeneo ya misitu ambayo itaruhusiwa kukatwa miti kwa ajili ya matumizi mbalimbali. (3) Maombi ya kibali cha kukata mti yatawasilishwa kwa Fomu Na. 1 na kibali kitatolewa katika Fomu Na. 2, zote zinapatikana katika Jedwali la kwanza la Sheria Ndogo hii. 4 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) Taasisi kupanda miti - 7 Verify source ↗
Section 7
AI-assisted research summary: Taasisi ndani ya mipaka ya Halmashauri lazima zipande na kutunza miti, zishiriki shughuli za mazingira zikihitajika, na zitoe taarifa mara moja kuhusu jaribio la uharibifu wa mazingira. Halmashauri pia ina wajibu wa kupanga na kusimamia shughuli za upandaji miti na maeneo ya hifadhi ya misitu. Wamiliki wa nyumba, biashara na ofisi lazima wawe na choo, na mtu haruhusiwi kujisaidia vichakani.
7. taasisi ndani ya mipaka ya Halmashauri Kila itahakikisha kwamba:- a) inapanda na kutunza miti katika maeneo yaliyo chini ya uangalizi wake; b) inashiriki vema katika shughuli za kupanda miti na kuhifadhi mazingira pale watakapotakiwa kufanya hivyo; na c) inatoa taarifa mara moja kwa Halmashauri au katika ofisi ya kata iliyo karibu, pale inapobainika kuna jaribio lolote la uharibifu wa mazingira ndani ya maeneo yaliyo chini ya uangalizi wa taasisi hiyo au jirani yake. Halmashauri kwa kushirikiana na wadau wengine wa mazingira itakuwa na wajibu wa:- a) kuanzisha vitalu vya miti na kuhamasisha wadau na wananchi kuotesha miche ya miti ambayo itapandwa katika maeneo mbalimbali ndani ya halmashauri kwa utaratibu utakaopangwa; b) kutenga eneo kwa ajili ya kupanda miti au kutunza miti iliyokwisha pandwa kama hifadhi ya misitu ambayo hakuna shughuli zozote zitakazoruhusiwa kufanyika katika eneo au maeneo hayo isipokuwa kwa idhini ya Halmashauri; c) kusimamia utunzaji wa rasilimali za misitu iliyopo katika eneo la mamlaka ya Halmashauri; d) kusimamia kampeni za kitaifa, kimkoa na kiwilaya za kupanda miti na kuhifadhi mazingira; e) kupanga siku moja au zaidi kila mwaka kwa ajili ya kupanda miti ambapo watu wote watakaotakiwa kushiriki katika zoezi hilo watalazimika kushiriki. (1) Kila mmiliki wa nyumba ya makazi, au jengo la biashara, ofisi au shughuli nyingine yoyote atapaswa kuwa na choo na kuhakikisha kinatumika ipasavyo. (2) Hakuna mtu atakayeruhusiwa kujisaidia vichakani, 5 - 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinahusu wajibu wa halmashauri kuhusu upandaji na utunzaji wa miti, pamoja na matumizi ya choo.
8. Wajibu wa Halmashaur i katika upandaji na utunzaji wa miti Matumizi ya choo - 9 Verify source ↗
Section 9
AI-assisted research summary: This section is titled “Uthibiti wa maji taka” (wastewater control).
9.- Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) Uthibiti wa maji taka - 10 Verify source ↗
Section 10
AI-assisted research summary: Wamiliki lazima wadhibiti maji taka na maji machafu yasitiririke mazingira; maji taka yahifadhiwe kwenye mashimo maalum ya saruji yaliyofunikwa; na mtu yeyote haruhusiwi kumwaga maji taka barabarani. Madereva wa magari ya abiria pia wana wajibu kuwahamasisha abiria kutumia vyoo vya umma inapowezekana.
10.- maporini, vichochoroni au katika mazingira mengine yoyote isipokuwa chooni. (3) Kila dereva wa gari la abiria atakuwa na wajibu kuwahamasisha abiria wake kujisaidia katika vyoo vya umma katika maeneo ya stendi au sehemu nyingine zenye huduma ya choo. (1) Maji yote yanayotoka chooni, bafuni, yenye mabaki ya chakula yatathibitiwa kikamilifu na mmiliki kiasi cha kutoruhusu kutiririka katika mazingira na kuhatarisha usalama wa mazingira na afya za watu. (2) Maji taka yote yatahifadhiwa katika mashimo maalum yaliyojengwa kwa saruji na kufunikwa. (3) Ni marufuku mtu yeyote kumwaga maji taka barabarani. Uchimbaji wa madini ya ujenzi - 11 Verify source ↗
(1) Bila kuathiri masharti ya Sheria nyingine, hakuna
AI-assisted research summary: Uchimbaji wa madini ya ujenzi ndani ya eneo la Halmashauri unaruhusiwa tu katika eneo lililotengwa au kuidhinishwa, na baadhi ya waombaji wa vibali wanaweza kuanza/kuendelea tu baada ya ukaguzi wa Halmashauri. Mmiliki wa eneo nje ya Halmashauri hulipa ada ya ukaguzi wa mazingira, na shughuli fulani lazima ziwe na miundombinu ya kudhibiti uchafuzi.
11.- (1) Bila kuathiri masharti ya Sheria nyingine, hakuna uchimbaji wa madini ya ujenzi utakaofanyika ndani ya eneo la Halmashauri isipokuwa katika eneo lililotengwa au kuridhiwa na Halmashauri kwa kusudi hilo kwa kuzingati mipango miji, tathimini ya adhari za mazingira na mpango wa matumizi bora ya ardhi. (2) Mtu mwenye kibali cha kuchimba madini ya ujenzi ndani ya eneo la Halmashauri kilichotolewa na Wizara ya madini au kwa mujibu wa sheria nyingine, ataruhusiwa kuanza au kuendelea na uchimbaji endapo eneo analotaka kuchimba litakuwa limekaguliwa na Halmashauri na linakidhi masharti ya kifungu kidogo cha (1). (3) Endapo eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi sio eneo la Halmashauri, mmiliki wa eneo hilo atapaswa kulipa ada ya ukaguzi wa mazingira kwa Halmashauri kwa viwango vilivyobainishwa katika Sheria Ndogo ya ada na ushuru. (4) Maombi ya kufanyiwa ukaguzi wa mazingira katika eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi yatawasilishwa kwa kutumia Fomu Na. 3 6 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) inayopatikana katika Jedwali la kwanza. (5) Ithibati kuhusu hali ya eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi, ikieleza kama eneo hilo linafaa au halifai kwa shughuli hiyo, itatolewa katika Fomu Na. 4 inayopatikana katika Jedwali la kwanza la Sheria Ndogo hii. (6) Bila kujali masharti ya kifungu hiki Halmashauri inaweza kuelekeza ukaguzi wa eneo lolote ili kujiridhisha kama kanuni za utunzaji wa mazingira au masharti ya kibali chochote yanayohusu utunzaji wa mazingira yanazingatiwa. (1) Shughuli zote za viwanda, karakana, gereji na uoshaji wa magari na vyombo vingine vya usafiri zitafanywa katika maeneo yaliyotengwa na Halmashauri kwa shughuli hizo. (2) Kila mtu atakayetaka kufanya shughuli mojawapo kati ya zile zilizotajwa katika kifungu kidogo cha (1), na endapo shughuli hizo zinazalisha maji taka au taka nyingine, mtu huyo atawajibika kuweka miundombinu ya kudhibiti uchafuzi wa mazingira unaoweza kusababishwa na shughuli zake. - 12 Verify source ↗
Section 12
AI-assisted research summary: Section heading naming industries, workshops, garages, and vehicle washing.
12.- Viwanda, karakana, gereji na uoshaji wa magari Uwashaji wa moto - 13 Verify source ↗
Ni marufuku kwa mtu yeyote kuwasha moto au
AI-assisted research summary: Mtu yeyote haruhusiwi kuwasha moto au kufanya kitendo kinachoweza kusababisha moto kuwaka katika eneo la kiwanja, shamba, msitu au pori, isipokuwa akiwa na kibali cha maandishi kutoka Halmashauri.
13. Ni marufuku kwa mtu yeyote kuwasha moto au kufanya jambo ambalo litasababisha moto kuwaka katika sehemu ya kiwanja au shamba au eneo lolote la msitu au pori isipokuwa kwa kibali cha maandishi kutoka Halmashauri. Utunzaji wa maeneo ya Hifadhi - 14 Verify source ↗
(1) Maeneo yalioainishwa katika Jedwali La Pili la
AI-assisted research summary: Maeneo yaliyoorodheshwa kwenye Jedwali la Pili yanaitwa maeneo ya Hifadhi, na mtu yeyote, taasisi au shirika haruhusiwi kufanya shughuli katika maeneo hayo bila kibali cha Halmashauri.
14.- (1) Maeneo yalioainishwa katika Jedwali La Pili la Sheria Ndogo hii yatajulikana kama maeneo ya Hifadhi. (2) Ni marufuku kwa mtu yeyote, kwanda, taasisi au shirika kufanya shughuli yeyote katika maeneo ya Hifadhi bila kibali cha Halmashauri. Biashara za mifugo - 15 Verify source ↗
Section 15
AI-assisted research summary: Livestock businesses must operate in designated areas, animals moved to market or slaughter must use livestock routes, no one may cultivate or build homes on those routes, slaughter must be at council-approved slaughterhouses, and authorised officers may inspect and order destruction of uninspected carcasses or meat.
15.- (1) Biashara zote za mifugo lazima zifanyike katika maeneo yaliyotengwa kwa kusudi hilo. (2) Kila mfugaji anayepeleka mifugo yake sokoni, 7 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) josho, machinjioni au mahali pengine, atapaswa kupitisha mifugo yake katika njia za kupitisha mifugo. (3) Hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kulima kuweka makazi kwenye njia za kupitisha mifugo. (4) Kila mfanyabiashara anayetaka kuchinja mifugo yake, atahakikisha mifugo hiyo inachinjwa katika machinjio yaliyoidhinishwa na Halmashauri. (5) Afisa Mwidhiniwa atakuwa na mamlaka ya kuingia katika eneo lolote kukagua, kudhibiti uchinjaji holela na anaweza kuamuru kuharibiwa kwa mzoga au nyama ambayo haikukaguliwa. (1) Halmashauri inaweza kuanzisha vituo kwa ajili ya kunenepesha mifugo katika maeneo yanayofaa kwa kuzingatia utunzaji wa mazingira. (2) Mtu yeyote anaweza kuanzisha kituo cha kunenepesha mifugo baada ya kupata kibali kutoka Halmashauri. (3) Kibali cha kuanzisha kituo cha kunenepeshea mifugo kitaombwa kwa barua na kutolewa kwa barua. Vituo vya kunenepesh ea mifugo - 16 Verify source ↗
Section 16
AI-assisted research summary: This section concerns the transport of livestock within the municipality.
16.- Usafirishaji wa mifugo ndani ya Halmashaur i - 17 Verify source ↗
Ni marufuku kwa mtu yeyote kusafirisha mifugo
AI-assisted research summary: A person must not transport livestock from one part of the Council to another within the Council unless they have written permission from the Council.
17. Ni marufuku kwa mtu yeyote kusafirisha mifugo kutoka katika sehemu moja ya Halmashauri kwenda katika sehemu nyingine ndani ya Halmashauri bila ya kuwa na kibali cha maandishi kutoka Halmashauri. Usafi wa zizi - 18 Verify source ↗
Kila mfugaji atahakikisha zizi linakuwa katika hali ya
AI-assisted research summary: Every livestock keeper must keep the animal enclosure clean at all times and dispose of or store livestock waste in line with health and environmental sanitation rules.
18. Kila mfugaji atahakikisha zizi linakuwa katika hali ya usafi wakati wote na taka zinaozalishwa kutokana na shughuli za ufugaji zitatupwa au kuhifadhiwa kwa kuzingatia kanuni za afya na usafi wa mazingira. Kuamisha mifugo - 19 Verify source ↗
Section 19
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kuamuru mifugo ihamishwe ikiwa ufugaji unapingana na sheria za mipango miji au unasumbua wakazi; Halmashauri haitawajibika kwa gharama au hasara za mfugaji isipokuwa hasara hiyo imetokana na uzembe wa afisa mwidhiniwa.
19.- (1) Mkurugenzi anaweza kuamuru mifugo ihamishwe kutoka katika eneo moja kwenda eneo jingine endapo ufugaji katika eneo la kwanza unakinzana na Sheria za mipango miji au ni kero kwa wakazi wa eneo hilo. (2) Katika zoezi la kuhamisha mifugo chini kifungu 8 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) Ukamataji wa mifugo kidogo cha (1), Halmashauri haitahusika na gharama wala hasara ambayo mfugaji anaweza kuipata itathibitika hasara imesababishwa na uzembe wa Afisa Mwidhiniwa. isipokuwa kama - 20 Verify source ↗
(1) Ni marufuku kwa mtu yeyote kuachia mifugo yake
AI-assisted research summary: Watu hawaruhusiwi kuwaachia mifugo wao wazurure ovyo au kuharibu mazao ya watu wengine; Halmashauri inaweza kukamata mifugo hiyo na, chini ya masharti yaliyotajwa, kuiuza mnadani au kuamuru kuuliwa kwa baadhi ya mifugo, na wafugaji lazima wahakikishe mifugo yao inapata chanjo na matibabu.
20.- (1) Ni marufuku kwa mtu yeyote kuachia mifugo yake kuzurura ovyo au kuharibu mazao ya mtu mwingine. (2) Halmashauri itakuwa na uwezo wa kukamata mifugo ambayo itakutwa inazurura ovyo, inaharibu mazao ya mtu mwingine au inasafirishwa kutoka eneo moja la Halmashauri kwenda eneo jingine ndani ya Halmashauri bila kibali cha Halmashauri. (3) Kila mtu ambaye mifugo yake itakamatwa chini ya kifungu kidogo cha (2), atagharamia gharama za ukamataji na utunzaji wa mifugo yake kwa viwango vilivyoainishwa katika Jedwali la Pili la Sheria Ndogo hii. (4) Endapo mifugo iliyokamatwa haitakombolewa kwa zaidi ya siku saba kwa kulipiwa gharama za ukamataji na utunzaji, Halmashauri itaipiga mnada mifugo hiyo baada ya kupata amri ya Mahakama. (5) Fedha itakayopatikana katika mnada chini ya kifungu kidogo cha (4), italipia gharama za ukamataji, utunzaji wa mifugo iliyokamatwa na gharama za mnada na fedha itakayobaki atapewa mmiliki wa mifugo husika. (6) Halmashauri haitawajibika kwa hasara yoyote inayotokana na kukamatwa kwa mifugo ikiwemo vifo au upotevu isipokuwa pale itakapothibitika kwamba hasara hiyo imesababishwa na uzembe wa Afisa Mwidhiniwa. (1) Kila mfugaji atawajibika kuhakikisha mifugo yake inapata chanjo na matibabu dhidi ya magonjwa ya mifugo kwa kufuata utaratibu utakaowekwa na Halmashauri. (2) Halmashauri inaweza kuamuru kuuawa kwa mbwa au mifugo mingine yenye kichaa au inazurura na 9 Udhibiti wa magonjwa ya mifugo - 21 Verify source ↗
Section 21
AI-assisted research summary: This section appears to concern environmental cleanliness and handling livestock that may be dangerous to the environment or human life.
21.- Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) ambao kwa maoni ya Afisa Mifugo, ni hatari kwa mazingira au maisha ya binadamu na endapo kuuawa kwa mifugo hiyo kutaonekana ndio njia bora zaidi ya kudhibiti hatari hiyo. SEHEMU YA TATU USAFI WA MAZINGIRA Wajibu wa kutunza na kufanya usafi
Part
SEHEMU YA TATU
- 22 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki au mwangalizi wa ardhi, jengo, kaya,
AI-assisted research summary: Wamiliki, wasimamizi, madereva na abiria wana majukumu ya kutunza usafi na kudhibiti taka; pia kuna marufuku ya kutupa taka maeneo yasiyoruhusiwa.
22.- (1) Kila mmiliki au mwangalizi wa ardhi, jengo, kaya, kiwanda, ofisi au eneo la biashara, atawajibika kutunza na kufanya usafi katika eneo lake au eneo analolisimamia na mazingira yanayozunguka eneo hilo. (2) kila mmiliki wa nyumba au eneo au mpangaji linapakana na barabara ambaye eneo atawajibika kutunza na kufanya usafi mpaka katikati ya barabara kutoka kwenye mpaka wa eneo lake. lake anafunika kutoruhusu atahakikisha ili (3) Kila mmiliki au dereva wa chombo cha kusafirishia bidhaa hizo mizigo anazosafirisha kudondoka au kumwagika wakati wa usafirishaji. (4) Wamiliki au madereva wote wa vyombo vya kusafirisha abiria watahakikisha wanaweka vyombo vya kuhifadhia taka ndani ya magari yao na abiria watawajibika kutumia vyombo hivyo kuweka taka zanazozalishwa ndani ya gari husika. bidhaa (5) Ni marufuku kwa mtu yeyote kutupa taka katika maeneo ya wazi, mitaani, barabarani, katika mitaro ya maji ya mvua, vyanzo vya maji na maeneo mengine yasiyoruhusiwa. Ukusany aji wa taka ngumu - 23 Verify source ↗
(1) Kila mmiliki au mpangaji wa nyumba ya makazi au
AI-assisted research summary: Owners, tenants, and waste producers must keep waste in containers, take it to the council’s designated collection point, and sort waste by type.
23.- (1) Kila mmiliki au mpangaji wa nyumba ya makazi au biashara au ofisi, atapaswa kuwa na chombo cha kutunzia lake na ambacho taka katika eneo hakiruhusu taka kuwa wazi au kusambaa. (2) Utakuwa ni wajibu kwa mwenye nyumba au mpangaji kupeleka taka zake katika kituo kidogo cha kukusanyia taka kilichotengwa na Halmashauri. 10 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) (3) Halmashauri inaweza kuweka utaratibu wa kupita nyumba kwa nyumba katika baadhi ya maeneo au maeneo yote kukusanya taka. (4) Kila mzalishaji wa taka atalazimika kutenganisha taka atakazozalisha kulingana na aina ya taka kwa kuzingatia zile zinazooza, vyuma, plastiki, chupa, karatasi na kuziweka katika vyombo tofauti. Halmash auri kusafirish a taka ngumu hadi Dampo Taka hatari - 24 Verify source ↗
Section 24
AI-assisted research summary: Halmashauri lazima iazime taka kutoka vituo vidogo vya kukusanyia taka na kuzipeleka dampo la Halmashauri. Ikiwa inakusanya taka nyumba kwa nyumba, lazima izisafirishe moja kwa moja hadi dampo.
24.- (1) Halmashauri itakuwa na wajibu wa kuzoa taka kutoka katika vituo vidogo vya kukusanyia taka na kuzipeleka katika dampo la Halmashauri. (2) Endapo Halmashauri itapita nyumba kwa nyumba kukusanya taka, itasafirisha taka hizo moja kwa moja hadi dampo. - 25 Verify source ↗
Kila mzalishaji wa taka hatari atawajibika kuzihifadhi
AI-assisted research summary: Kila mzalishaji wa taka hatari lazima azihifadhi kwa uangalifu na aziteketeze katika maeneo yaliyotengwa kwa kusudi hilo.
25. Kila mzalishaji wa taka hatari atawajibika kuzihifadhi kwa uangalifu, na kuziteketeza taka hizo katika maeneo yaliyotengwa kwa kusudi hilo. Ushuru wa taka - 26 Verify source ↗
Section 26
AI-assisted research summary: Wamiliki wa biashara, wakuu wa kaya, wasimamizi wa taasisi au kampuni lazima walipe ushuru wa taka kwa viwango vilivyoelekezwa na Halmashauri, na malipo ya mwezi yafanyike hadi tarehe 7 ya mwezi unaofuata.
26.- 27 Uwezo wa Afisa Mwidhini wa (1) Mmiliki wa biashara, mkuu wa kaya, msimamizi wa taasisi au kampuni atawajibika kulipa ushuru wa taka kwa viwango vilivyoelekezwa katika Sheria Ndogo za ada na ushuru za Halmashauri. (2) Ushuru wa taka wa kila mwezi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii utalipwa hadi kufikia tarehe saba ya mwezi unaofuata. (3) Endapo mtu atatenda kosa linalohusiana na kushindwa kulipa ushuru wa taka, mkosaji ataadhibiwa kwa kuzingatia masharti ya Sheria Ndogo za Ada na Ushuru za Halmashauri. Bila kuathiri masharti ya Sheria Ndogo hii, Afisa Mwidhiniwa atakuwa na uwezo kuingia katika majengo na maeneo mengine ndani ya muda wa kazi kwa ajili ya kufanya ukaguzi na anaweza kutoa maelekezo kwa mmiliki au msimamizi wa jengo au eneo au mkazi wa jengo husika kuondoa taka au kero nyingine yoyote katika mazingira hayo. 11 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) SEHEMU YA NNE MAMBO MENGINE Uteuzi wa wakala
Part
SEHEMU YA NNE
- 28 Verify source ↗
Halmashauri inaweza kumteua mtu, kampuni, taasisi
AI-assisted research summary: Halmashauri inaweza kumteua mtu, kampuni, taasisi au kikundi cha kijamii kuwa wakala wa kutekeleza baadhi au majukumu yote ya Halmashauri chini ya Sheria Ndogo hii.
28. Halmashauri inaweza kumteua mtu, kampuni, taasisi au kikundi cha kijamii kuwa wakala wa kutekeleza baadhi ya majukumu au majukumu yote ya Halmashauri yaliyobainishwa katika Sheria Ndogo hii. Makosa - 29 Verify source ↗
Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa chini ya Sheria
AI-assisted research summary: Mtu yeyote anaweza kutenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii akifanya mojawapo ya vitendo vilivyotajwa, ikiwemo kukata mti bila kibali, kutupa taka ovyo, au kufanya shughuli zilizokatazwa bila kibali.
29.- Mtu yeyote atakuwa ametenda kosa chini ya Sheria Ndogo hii endapo :- a) ni mmiliki wa ardhi akishindwa kupanda miti inayotakiwa kupandwa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; b) atakata mti bila kibali cha Halmashauri; c) atashindwa kutunza mti uliopandwa ambao anawajibika kuutunza; d) akishindwa kujenga na choo bora kwa ajili jengo lake; e) hatatumia choo na badala yake kujisaidia mahali pengine; f) ni dereva, akisimamisha gari porini ili abiria wajisaidie porini badala ya kutumia choo; g) atatiririsha maji taka au maji machafu nje ya mfumo wa maji taka; h) atafanya shughuli mojawapo kati ya zile zilizoainishwa katika kifungu cha 12 nje ya eneo lililotengwa kwa matumizi hayo; i) atachoma moto vichaka, shamba, kiwanja au msitu bila kibali cha Halmashauri; j) atafanya shughuli yoyote katika eneo la Hifadhi bila kibali cha Halmashauri; k) atafanya shughuli za kilimo, ufugaji, kukata mti, ujenzi au shughuli yoyote ya kibinadamu katika vyanzo vya maji bila kibali cha Halmashauri; l) atashindwa kulipa ushuru wa kuzao taka; m) atashindwa kutunza au kufanya usafi katika eneo ambalo anapaswa kufanya au kutunza 12 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) usafi kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii; n) atatupa taka katika eneo tofauti na eneo lililotengwa kwa kusudi hiyo; o) atakataa kupokea au kusaini uthibitisho wa kupokea hati, taarifa au notisi kwa ajili yake au mtu mwingine ambaye yeye anafanya kazi ofisini kwake au anaishi nyumbani kwake; p) atachimba madini ya ujenzi katika eneo lililotengwa na Halmashauri bila kibali cha mamlaka husika au bila ithibati inayoonesha kwamba eneo hilo linafaa kwa uchimbaji wa madini ya ujenzi husika; q) atatoa taarifa za uongo kuhusu jambo lolote linaweza kupelekea kutotekelezeka kwa moja ya masharti ya Sheria Ndogo hii ; r) atashindwa kwa namna yoyote kutimiza masharti ya Sheria Ndogo hii. Adhabu Uwezo wa kufililisha kosa - 30 Verify source ↗
Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa kosa lolote
AI-assisted research summary: Anyone found guilty of an offence under this by-law must pay a fine, go to prison, or both.
30.- Mtu yeyote atakayepatikana na hatia kwa kosa lolote chini ya Sheria Ndogo hii, atalipa faini isiopungua shilingi elfu hamsini na isiyozidi shilingi laki tatu au kifungo kisichozidi miezi kumi na miwili au vyote kwa pamoja faini na kifungo kwa pamoja. - 31 Verify source ↗
Bila kujali masharti ya Sheria Ndogo hii,
AI-assisted research summary: Mkurugenzi anaweza kumtoza mtu aliyekiri kosa chini ya Sheria Ndogo hii faini isiyozidi shilingi laki mbili, akitimiza masharti yaliyotajwa.
31.- Bila kujali masharti ya Sheria Ndogo hii, Mkurugenzi atakuwa na uwezo wa kufililisha kosa kwa kumtoza mtu yeyote aliyetenda kosa kwa mujibu wa Sheria Ndogo hii kiasi kisichozidi shilingi laki mbili endapo mtu atakiri kutenda kosa na kuwa tayari kutimiza wajibu wake na kujaza Fomu Na. 5 iliyoainishwa katika Jedwali la Tatu la Sheria Ndogo hii. 13 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) JEDWALI LA KWANZA Fomu Na. 1 MAOMBI YA KIBALI CHA KUKATA MITI (Kifungu cha 6(3))
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: Applicant name.
1. Jina la Mwombaji............................................................................................................ - 2 Verify source ↗
Anwani ya Mwombaji
AI-assisted research summary: This section is about the applicant’s address.
2. Anwani ya Mwombaji..................................................................................................... - 3 Verify source ↗
Makusudi ya kukata mti/miti
AI-assisted research summary: Section title: “Makusudi ya kukata mti/miti” (purposes of cutting a tree/trees).
3. Makusudi ya kukata mti/miti .......................................................................................... .......................................................................................................................................... - 4 Verify source ↗
Kiwango cha ukataji unaokusudiwa (kuangusha mti wote au kupunguza matawi)
AI-assisted research summary: This section is about the intended cutting level: whether the whole tree is to be felled or only branches reduced.
4. Kiwango cha ukataji unaokusudiwa (kuangusha mti wote au kupunguza matawi) - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This provision appears to be a label for the number of trees intended to be cut down or pruned.
5. ....................................................................................................................................... Idadi ya miti inayokusudiwa kukatwa (kuangushwa ............ kupunguza matawi .........) .......................................................................................................................................... - 6 Verify source ↗
Ukubwa wa eneo linalokusudiwa kukatwa mti/miti
AI-assisted research summary: Section 6 concerns the size of the area intended to be cut for trees.
6. Ukubwa wa eneo linalokusudiwa kukatwa mti/miti ........................................................ - 7 Verify source ↗
Matumizi ya ardhi ambako mti/miti inakusudiwa kukatwa (Kiwanja, shamba, Msitu,
AI-assisted research summary: Hii ni fomu ya kuomba kibali cha kukata mti/miti na kutaja matumizi ya ardhi husika.
7. Matumizi ya ardhi ambako mti/miti inakusudiwa kukatwa (Kiwanja, shamba, Msitu, mengineyo taja) ............................................................................................................. Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa hapo juu ni kweli tupu na niko tayari kuzingatia masharti ya kibali endapo nitapewa. Jina la Mwombaji ....................................................................... Saini ............................................................................................ Tarehe ......................................................................................... 14 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) KIBALI CHA KUKATA MTI/MITI (Kifungu cha 6(3) Fomu Na. 2 - 1 Verify source ↗
Section 1
AI-assisted research summary: This section is a form field for the applicant’s name.
1. Jina la Mwombaji ........................................................................................................... - 2 Verify source ↗
Anuani ya Mwombaji
AI-assisted research summary: This section is titled “Anuani ya Mwombaji” (Applicant’s address).
2. Anuani ya Mwombaji ..................................................................................................... - 3 Verify source ↗
Sababu ya kutoa/kukataa kutoa kibali
AI-assisted research summary: 3. Sababu ya kutoa/kukataa kutoa kibali ........................................................................... ............................................................................................................................
3. Sababu ya kutoa/kukataa kutoa kibali ........................................................................... ......................................................................................................................................... - 4 Verify source ↗
Mahali ambapo kibali hicho kitatumika
AI-assisted research summary: This section states where the permit applies.
4. Mahali ambapo kibali hicho kitatumika ............................................................................. ......................................................................................................................................... - 5 Verify source ↗
Section 5
AI-assisted research summary: This section heading concerns the number of trees that may be cut down, felled, or pruned.
5. Idadi ya miti iliyoruhusiwa kukatwa – (kuangushwa......... kupunguzwa matawi...........) - 6 Verify source ↗
Ukubwa wa eneo lililoruhusiwa kukata miti…………………………………………
AI-assisted research summary: Section heading about the size of the area allowed for tree cutting.
6. Ukubwa wa eneo lililoruhusiwa kukata miti…………………………………………... - 7 Verify source ↗
Kibali hiki kitakuwa hai kuanzia tarehe ................. hadi tarehe
AI-assisted research summary: Kibali hiki kinaanza na kuisha katika tarehe zilizowekwa, na taarifa za uongo za mwombaji zinaweza kusababisha kibali kufutwa na hatua nyingine za kisheria.
7. Kibali hiki kitakuwa hai kuanzia tarehe ................. hadi tarehe .................................... Kimetolewa leo tarehe ............................. mwezi.......................mwaka................................... Jina ..................................................................... Saini ...................................................... Cheo ................................................................... Tarehe ................................................... ZINGATIA KWAMBA: Taarifa za uongo za mwombaji zinaweza kupelekea kibali hiki kufutwa na kuchukuliwa hatua nyingine za kisheria. Fomu Na. 3 MAOMBI YA KUKAGULIWA ENEO LA KUCHIMBA MADINI YA UJENZI (Kifungu cha 11(4)) - 1 Verify source ↗
Mimi/Sisi
AI-assisted research summary: The text is a request to have a building-material mining area inspected in Igunga District Council.
1. Mimi/Sisi................................................................. S.L.P................... naomba/tunaomba Kukaguliwa eneo langu/letu la kuchimba madini ya ujenzi lililopo (taja mahali eneo ............................................................................. ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. lilipo) wa - 2 Verify source ↗
Ukubwa
AI-assisted research summary: Kichwa hiki kinahusu ukubwa wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi.
2. Ukubwa wa eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya ujenzi................................................ - 3 Verify source ↗
Aina ya Madini ya ujenzi yanayokusudiwa kuchimbwa katika eneo linaloombewa
AI-assisted research summary: The applicant must state the type of building material to be excavated in the requested area and confirm the information is true and that they will follow permit conditions if granted.
3. Aina ya Madini ya ujenzi yanayokusudiwa kuchimbwa katika eneo linaloombewa yataje mawe/kokoto/kifusi/mchanga/chokaa/udongo/mengineyo ukaguzi ni ............................................. Nathibitisha kwamba maelezo niliyotoa ni kweli tupu na niko tayari kuzingatia masharti ya kibali endapo nitapewa kibali hicho. Jina la Mwombaji ......................................................................... Saini ............................................................................................. Tarehe ........................................................................................... 15 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) ITHIBATI YA HALI YA MAZINGIRA KATIKA ENEO LINALOKUSUDIWA KUCHIMBWA MADINI YA UJENZI Fomu Na. 4 A. Taarifa za Msingi: (Kifungu cha 11(5)) - 2 Verify source ↗
Anwani
AI-assisted research summary: This section appears to be a form line for the applicant’s address and the area intended for mining.
2. Anwani Jina la mwombaji wa ukaguzi........................................................................................... ya makazi ya mwombaji…………………………………………………………….. madini linalokusudiwa kuchimba eneo - 3 Verify source ↗
Mahali
AI-assisted research summary: Hii sehemu inaomba kujaza mahali ambapo ujenzi upo.
3. Mahali ya ujenzi lilipo……………………………… i. ii. Kitongoji/Kijiji…………………………………………………………….…… Kata……………………………………………………………………..……… ……. - 4 Verify source ↗
Ukubwa
AI-assisted research summary: 4. Ukubwa wa ujenzi…………………………….. eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya
4. Ukubwa wa ujenzi…………………………….. eneo linalokusudiwa kuchimbwa madini ya - 5 Verify source ↗
Aina ya madini ya ujenzi yanayokusudiwa kuchimbwa katika eneo hilo
AI-assisted research summary: This section is titled “Type of construction minerals intended to be mined in that area.”
5. Aina ya madini ya ujenzi yanayokusudiwa kuchimbwa katika eneo hilo ………………….. Ukaguzi na Mapendekezo B. - 6 Verify source ↗
Tarehe ya Ukaguzi wa Mazingira ya eneo la uchimbaji…………………………………
AI-assisted research summary: Kifungu hiki kinaonyesha mada ya tarehe ya ukaguzi wa mazingira katika eneo la uchimbaji.
6. Tarehe ya Ukaguzi wa Mazingira ya eneo la uchimbaji…………………………………. - 7 Verify source ↗
Eneo
AI-assisted research summary: The section indicates that a specified area may be suitable or unsuitable for excavation/mining of named construction minerals, but the reason is not provided in the text shown.
7. Eneo linafaa/halifai kuchimbwa madini ujenzi tajwa ya kwa sababu...................................................................................................................……… - 8 Verify source ↗
Mwombaji aruhusiwe/asiruhusiwe kuchimba madini ya ujenzi katika eneo hilo kwa
AI-assisted research summary: If a suitable area is excavated for construction minerals, the owner must plant and maintain trees at a rate of at least 30 per acre immediately after excavation.
8. Mwombaji aruhusiwe/asiruhusiwe kuchimba madini ya ujenzi katika eneo hilo kwa sababu ................................................................................................................................................ Endapo eneo linalofaa kuchimbwa madini ya ujenzi, mmiliki anaelekezwa kupanda miti na kuhakikisha miti hiyo inakua katika eneo lote atakalokuwa amechimba madini ya ujenzi kwa uwiano wa miti isiyopungua therathini kwa ekari mara baada ya uchimbaji. Saini ............................................... Jina ................................................. Tarehe ............................................ Saini ........................................................ Jina .......................................................... Tarehe ..................................................... Afisa Mazingira wa Halmashauri Afisa Mipango Miji/Ardhi wa Halmashauri Imethibitishwa Saini ............................................ Jina ............................................. Tarehe ......................................... Cheo: Mkurugenzi wa Halmashauri 16 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) JEDWALI LA PILI SEHEMU YA I MAENEO YA HIFADHI (Kifungu cha 14(1)) Maeneo yafuatayo yatajulikana kama maeneo ya Hifadhi na hakuna shughuli za kibinadamu zitakazofanyika katika maeneo hayo bila idhini ya maandishi ya halmashauri: Bonde la Wembele. Tindiga la Bulenya. i. ii. iii. Mitelemko inayoingiza maji bwawani na bwawa lenyewe la Mwamapuli. iv. Misitu ya mlima Bulenya, msitu ya Igoweko, msitu wa Uswaya, msitu wa Mwamaganga, msitu wa Unyambiu na msitu wa kijiji cha Mgazi. GHARAMA ZA UKAMATAJI NA UTUNZAJI WA MIFUGO (Kifungu cha 20(3)) SEHEMU YA II Na Aina ya Mifugo Gharama za Ukamataji Wa Mifugo (TSHS) Gharama za Utunzaji wa Kila Mfugo kwa Siku(TSHS) Ng’ombe Punda Nguruwe Ngamia Mbuzi au kondoo Kuku au Bata Mifugo mingine isiyotajwa 5,000/= 5,000/= 5,000/= 5,000/= 2,000/= 500/= 2,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 10,000/= 5,000/= 1,000/= 5,000/= 17 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) JEDWALI LA TATU (Imetungwa Chini ya kifungu cha 31) KUFILILISHA KOSA Mimi……………………………………………………………. nakiri KWA HIARI YANGU MWENYEWE mbele ya …………………………ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwamba Tarehe ………Mwezi………...Mwaka………. nilitenda kosa la kukiuka masharti ya kifungu cha………………. cha Sheria Ndogo ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021. Kwa mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Halmashauri, niko tayari kulipa kiasi ninachodaiwa pamoja na faini na kutekeleza wajibu niliopewa na Sheria Ndogo hii. NATHIBITISHA KWAMBA MAELEZO HAPO JUU NI KWELI NA NINAYATOA KWA HIARI YANGU KADRI YA UFAHAMU WANGU Leo tarehe………………. ya Mwezi………………..………. Mwaka………………… Jina…………………………………………Saini……………………………………… Mbele ya: Jina………………………………………...Cheo……………………………………. Saini………………………………………Tarehe…………………………………… 18 Sheria Ndogo ya Hifadhi Na Usafi Wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Tangazo la Serikali Na. 285 (Linaendelea.) Nembo na Muhuri wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga vimebandikwa kwenye Sheria Ndogo hizi kufuatia Azimio lililopitishwa na Mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika 3/4/2020 na ubandikaji huo kushuhudiwa na:- REVOCATUS L. K. KUULI, Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya, Igunga PETER ONESMO MALODA, Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya, Igunga L.S NAKUBALI, Dodoma, SELEMANI SAID JAFO (MB.), 22 Februari, 2021 Waziri wa Nchi -OR- Tamisemi 19
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
Sheria Ndogo ya Hifadhi na Usafi wa Mazingira za Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ya mwaka 2021
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in