AI-assisted research summary: Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Njombe lazima waandae na wahifadhi mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Njombe. 1 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo La Igereke Tangazo la serikali na. (linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia njiapanda kati ya mto na barabara ya mtaa kwenye majira - nukta 693256.4514MS, 8968294.367KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.453 hadi kwenye majira – nukta 693659.5856MS, 8968088.9022KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.381 hadi majira - nukta 693630.8331E, 8967708.7788N; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.133 hadi kwenye majira - nukta 693759.0621MS, 8967692.2717KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.359 hadi kwenye barabara ya mtaa kwenye majira - nukta 693967.4761MS, 8967410.6432KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.168 kwenye majira – nukta 693829.4572MS, 8967314.1876KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.35 hadi kwenye majira – nukta 693830.9002MS, 8967243.9148KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.53 hadi kwenye majira – nukta 693471.5577MS, 8966969.1913KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.256 hadi kwenye majira – nukta 693494.7328MS, 8966713.9784KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.507 hadi kwenye majira – nukta 693821.4655MS, 8966327.9848 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.322 hadi kwenye majira – nukta 693849.403MS, 8966007.1967NKZ baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kwa umbali wa kilomita 0.408 hadi kwenye barabara ya mtaa kwenye majira – nukta 693444.2991MS, 8965958.6912KZ; baada ya hapo mpaka unaeleka Kaskazini – Magharibi kwa kufuata barabara ya mtaa kwa umbali wa kilomita 0.477 hadi kwenye majira – nukta 693025.8641MS, 8966187.8634KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.347 hadi kwenye majira – nukta 692812.6516MS, 8965913.9322KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kufuata bonde kwa umbali wa kilomita 0.983 hadi kwenye majira – nukta 691984.5929 MS, 8966443.0388 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata mto kwa umbali wa kilomita 2.4 hadi ulipoanzia”. ANGELINE S. MABULA, Dodoma ………..,2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2