AI-assisted research summary: The Director of Urban Planning and the Chief Executive of Newala District Council must prepare and keep general and detailed plans for the area in the schedule.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala. 1 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Majengo Tanagazo la seriakali na.77 (linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M1 yenye majira - nukta 535862MS, 8822382KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 700 12’04’’ kwa umbali wa kilomita 0.998 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M2 yenye majira - nukta 536801MS, 8822720KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 140 19’05’’ kwa umbali wa kilomita 0.485 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M3 yenye majira - nukta 536921MS, 8822250KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 660 52’58’’ kwa umbali wa kilomita 0.44 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M4 yenye majira - nukta 536516MS, 8822077KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 120 21’06’’ kwa umbali wa kilomita 0.148 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M5 yenye majira - nukta 536484MS, 8821932KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 120 21’06’’ kwa umbali wa kilomita 0.375 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M6 yenye majira - nukta 536163MS, 8822126KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 830 13’08’’ kwa umbali wa kilomita 0.448 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M7 yenye majira - nukta 535718MS, 8822073KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 490 10’14’’ kwa umbali wa kilomita 0.44 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M8 yenye majira - nukta 535827MS, 8822167KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa ¼60 36’10’’ kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba M9 yenye majira - nukta 535793MS, 8822282KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 340 49’28’’ kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi ulipoanzia.” Dodoma, …………, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2