AI-assisted research summary: General and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Urban Planning and the Executive Director of Kondoa District Council.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa. 1 Tangazo la serikali Na78. (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Iloo _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD154 yenye majira - nukta 816596MS, 9462523KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ88000’44.02’’MS kwa umbali wa kilomita 2.97hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji nambaVD155 yenye majira - nukta 819571MS, 9462626KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ79003’53.10’’MSkwa umbali wa kilomita 3.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD156 yenye majira - nukta 823074MS, 9463303KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ11051’35.20’’MS kwa umbali wa Kilomita 2.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD157 yenye majira - nukta 823962MS, 9459631KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ17041’39.25’’MS kwa umbali wa kilomita 1.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD158 yenye majira - nukta 822678MS, 9456546KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS22035’50.79’’MS kwa umbali wa kilomita 3.34 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD159 yenye majira – nukta 8209926MS, 9454427KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS58030’28.09’’MG kwa umbali wa kilomita 2.70 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD160 yenye majira - nukta 819289MS, 9451972KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS34044’54.66’’MG kwa umbali wa kilomita 2.98 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD161 yenye majira - nukta 819466MS, 9449347KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa kukatizabarabara ya Tanga - Kondoa katika uelekeo wa KS3051’27.12’’ kwa umbali wa kilomita 2.63 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD162 yenye majira - nukta 815008MS, 9451022KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS69004’09.28’’MG kwa umbali wa kilomita 4.77 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD163 yenye majira - nukta 814611MS, 9456013KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa MG4034’39.41’’MG kwa umbali wa kilomita