AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the listed area must be prepared and kept by the named urban planning and district authorities.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika itaandaliwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Busengwa Tangazo la Seriakli na. 85 (linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 461624.461MS, 9646476.672KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 97.30 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 462381.124MS, 9646575.650KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 110.440 kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 463237.349MS, 9645616.131KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 160.270 kwa umbali wa kilomita 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 463509.231MS, 9645249.014KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 155.80 kwa umbali wa kilomita 0.39 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 463856.658MS, 9645076.419KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 107.240 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 463830.625MS, 9644746.393KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 900 kwa umbali wa kilomita 1.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 462386.723MS, 9644786.858KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa 132.40 kwa umbali wa kilomita 1.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 461664.146MS, 9645719.985KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa 155.350 kwa umbali wa kilomita 0.75 hadi ulipoanzia.’’ Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2