AI-assisted research summary: This section describes the Segera-Michungwani planning area and its boundary points and directions.
3. Mipango ya Jumla na ya Kina ya eneo na lililoainishwa Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni. itaandaliwa 1 Amri ya Kupanga Eneo la Segera-Michungwani Tangazo La Serikali Na. 86 (Linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: - “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba GY412 yenye majira - nukta 439610MS, 9406789KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 8.67 katika uelekeo wa 89̊.58’.27’’ hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba NP1 yenye majira - nukta 448343MS, 9406798KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.3 katika uelekeo wa 76º 50’ 48’’hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 450559MS, 9407309KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.98 katika uelekeo wa 11º 21’ 33’’hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira – nukta 450743MS, 9408266KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 3 katika uelekeo wa 341º 56’ 38’’ hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VTB109 yenye majira - nukta 449782MS, 9411136KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 3.7 katika uelekeo wa 26º 15’ 30’’hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TV190 yenye majira - nukta 451127MS, 9414626KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa kufuata uelekeo wa mto Pangani hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VTB270 yenye majira - nukta 449893MS, 9420493KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 2.7 katika uelekeo wa 77º 43’ 21’’ hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VTB92 yenye majira - nukta 447216MS, 9419902KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 7.5 katika uelekeo wa 56º 36’ 41’’hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TV194 yenye majira – nukta 440952MS, 9415831KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 5 katika uelekeo wa 29º 46’ 38’’hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba TV198 yenye majira – nukta 438931MS, 9411765KZ; hadi ulipoanzia”. Dodoma ANGELINE S. MABULA, 6 February, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2