AI-assisted research summary: The schedule sets the planning area boundary and says the general and detailed plans for that area are to be kept by the Town Planning Director and the Chemba District Council Executive Director.
3. Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. itaandaliwa 1 Tangazo la serikali na. 102 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Paranga _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR1 yenye majira - nukta 815921.927MS, 9431515.906KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ78024’19.82’’MS kwa umbali wa kilomita 3.49 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR2 yenye majira - nukta 819345.673MS, 943013.455KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ34057’42.21’’MS kwa umbali wa kilomita 4.48 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR3 yenye majira - nukta 821916.903MS, 9427136.247; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS27055’12.66’’MS kwa umbali wa kilomita 1.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR4 yenye majira - nukta 821133.183MS, 9425657.317KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Masharikii katika uelekeo wa KS40016’05.90’’MS kwa umbali wa kilomita 2.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR5 yenye majira - nukta 819599.537MS, 9423846.875KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS64052’51.06’’MG kwa umbali wa kilomita 9.06 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PW6 yenye majira - nukta 811387.374MS, 9419996.670KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS20022’58.13’’ kwa umbali wa kilomita 0.99 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PW7 yenye majira - nukta 81040.574MS, 9419063.286KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ86037’20.18’’MG kwa umbali wa kilomita 5.35 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR8 yenye majira - nukta 805692.128MS, 9418718.096KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS62030’47.27’’MG kwa umbali wa kilomita 7.76 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PW9 yenye majira - nukta 798806.817MS, 9422300.356KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ25041’36.35’’MS kwa umbali wa Kilomita 2.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR10 yenye majira - nukta 799917.020MS, 9424607.864KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS87055’11.18’’ kwa umbali wa kilomita 7.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PW11 yenye majira - nukta 807157.781MS, 9424346.557KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ48030’50.02’’MS kwa umbali wa kilomita 9.86 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba PR12 yenye majira - nukta 814550.015MS, 9430883.458KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ65015’01.57’’MG kwa umbali wa kilomita 1.5 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2