AI-assisted research summary: Provision hii inaweka mipaka ya eneo lililoainishwa na inaonyesha kuwa jedwali la mipango litahifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika itaandaliwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba. 1 Tangazo la serikali na. 103 (linaendelea) Amri Ya Kupanga Eneo La Soya ______ JEDWALI ______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY1 yenye majira – nukta 181167.989MS, 9426797.370KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ82001’42.66’’MS kwa umbali wa kilomita 3.57 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY2 yenye majira – nukta 186491.814MS, 9426051.266KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ61018’58.51’’ kwa umbali wa kilomita 1.51 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY3 yenye majira - nukta 187822.770MS, 9425323.080KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa kukatiza barabara ya Magasa - Mwailamje katika uelekeo wa MS42037’10.33’’ kwa umbali wa kilomita 7.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY4 yenye majira – nukta 193023.097MS, 9419671.635KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS48001’19.79’’MG kwa umbali wa kilomita 4.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY5 yenye majira – nukta 189890.551MS, 9416853.272KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS71013’50.20’’MG kwa umbali wa kilomita 6.34 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY6 yenye majira – nukta 183883.972MS, 9418894.498MG; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS44017’45.64’’ kwa umbali wa kilomita 10.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY7 yenye majira – nukta 176502.924MS, 9411329.804KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ2020’10.88’’MG kwa umbali wa kilomita 8.26 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY8 yenye majira – nukta 176166.026MS, 9419587.171KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ21042’20.13’’MG kwa umbali wa kilomita 2.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SY9 yenye majira – nukta 175377.690MS, 9421567.608MG; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ47054’42.66’’MG kwa umbali wa kilomita