AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali lazima ihifadhiwe kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama. itaandaliwa katika 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Mtakuja Tangazo la Serikali na. 111(linaendelea) _____ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba A yenye majira - nukta 450452.12MS, 9580316.01KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KS 680 01’43.67”MS kwa umbali wa kilometa 2.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira – nukta 452544.14MS, 9579472.05KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS 320 09’47.55”MS kwa umbali wa kilometa 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka wa upimaji namba C yenye majira- nukta 453220.52MS, 9578397.11KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS470 39’43.03”MG wa umbali wa kilometa 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira- nukta 452556.05MS, 9577792.21KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS100 24’51.90”MS kwa umbali wa kilometa 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 452463.35MS, 9577286.71KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ580 24’53.60”MG kwa umbali wa kilometa 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira – nukta 451749.12MS, 9577725.26KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ210 40’58.82”MG kwa umabali wa kilometa 1 hadi kwenye alama ya mpaka ya uimaji namba G yenye majira – nukta 451417.21MS,9578560.31KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ580 01’43.21.8”MG kwa umbali wa kilometa 1.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 450134.26MS, 9579361.91KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ680 01’ 43 67”Mg kwa umbali wa kilometa hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2