AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Urban Planning and the Director of Mafinga Town.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Mafinga. 1 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Ivambinungu Tangazo la Serikali na. 116(linaendelea) _________ JEDWALI _________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV1 yenye majira - nukta 750847MS, 9082158KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.10 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV2 yenye majira – nukta 750947MS, 9082190KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.029 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV3 yenye majira - nukta 750933MS, 9082216KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.06 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV4 yenye majira - nukta751052MS, 9082240KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.060 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV5 yenye majira –nukta 751306MS, 9082184KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.31 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV6 yenye majira-nukta 751349MS, 9082028KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.21 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV7 yenye majira - nukta 751283MS, 9081830KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.11 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV8 yenye majira - nukta 751174MS, 9081842KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV8 na IV9 yenye majira nukta 751086MS, 9081814KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV10 yenye majira - nukta 751040MS, 9081928KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.13 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV11 yenye majira - nukta 750920MS, 9081915KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV12 yenye majira - nukata 750930MS, 9082078KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IV1 hadi ilipoanzia’’ Dodoma, ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na 6 Februari, 2023 Maendeleo ya Makazi 2