3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 327470MS, 9624515KZ baada ya
Verify source ↗ AI-assisted research summary: Hii sehemu inaeleza mpaka wa eneo la Namonge kwa kufuata alama za mpaka, mwelekeo, na umbali.
0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 327470MS, 9624515KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini –Mashariki katika uelekeo wa 960 kwa umbali wa kilomita 0.03 ukikatiza barabara ya Runzewe - Nyamalandula hadi alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 327474MS, 9624484KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 1110 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 327461MS, 9624218KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1390 kwa umbali wa kilometa 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaj namba L yenye majira - nukta 327614MS, 9224027KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1740 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba M yenye majira - nukta 327771MS, 9623785KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1100 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba N yenye majira - nukta 328050MS, 9623847KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 1750 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba O yenye majira - nukta 328244MS, 9623910KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1470 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba P yenye majira - nukta 328354MS, 9624044KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1760 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba Q yenye majira - nukta 328462MS, 9623165KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 1070 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba R yenye majira - nukta 328392MS, 9624284KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 1660 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba S yenye majira - nukta 328346MS, 9624443KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 2 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Namonge Tangazo la Serikali na. 117 (linaendelea) 1090 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba T yenye majira - nukta 328485MS, 9624505KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 1090 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba U yenye majira - nukta 328356MS, 9624779KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 930 kwa umbali wa kilomita 0.11 ukikatiza barabara ya Runzewe - Nyamalandula hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3