AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo inapaswa kuandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo itaandaliwa na lililoainishwa katika Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama. 1 Tangazo la Serikali na. 119 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Nyihigo _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira – nukta KZ455531.84MS, 9577068.07KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS13° 2’ 24.78’’MG kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta KZ455446.13,9576701.43MG; baada ya hapo mpaka unaeleka Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS74° 01’ 21.89’’MS; kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta KZ455921.41MS, 9576565.08KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS9° 44’ 07.35’’MG kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira – nukta KZ455886.35MS, 9576361.63KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika katika uelekeo wa KZ79° 43’ 44.39MG kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira – nukta KZ455737.88MS, 9576388.90KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika ueleko wa KS11° 17’ 38.76’’MG kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira – nukta KZ455598.06MS, 9575692.86KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ89° 16’ 12.56’’MS kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira – nukta KZ456069.45MS, 9575698.92KZ; baada ya hapo mpaka unaeleka Kusini – Mashariki katika uelekeo wa KS14° 31’ 23.55’’MS kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira – nukta KZ456298.87MS,9574814.14KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS6° 4’ 46.52’’MG kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta KZ456280.69MS, 9574645.32KZ; baada ya hapo mpaka unaeleka Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS89° 15’