AI-assisted research summary: The listed urban planning and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Urban Planning and the Executive Director of Mpwapwa District Council.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa. 1 Tangazo la Serikali Na. 122 (Linaendelea.) Amri ya Kupanga Eneo la Berege _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR1 yenye majira – nukta 198529.629MS, 9292840.826KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ73000’57.43’’MS kwa umbali wa kilomita 11.562 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR2 yenye majira – nukta 209588.185MS, 9289463.253KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS12045’32.21’’MS kwa umbali wa kilomita 4.50 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR3 yenye majira – nukta 208592.516MS, 9285066.612KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS73000’57.43’’MS kwa umbali wa kilomita 3.07 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR4 yenye majira – nukta 205779.011MS, 9282153.037KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS73000’54.60’’MS kwa umbali wa kilomita 8.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR5 yenye majira – nukta 200473.093MS, 9275353.254KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS52019’56.71’’MG kwa umbali wa kilomita 4.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR6 yenye majira – nukta 196772.629MS, 9278209.955KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS18016’21.18’’MG kwa umbali wa kilomita 4.00 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji ya namba BR7 yenye majira – nukta 195463.067MS, 9282176.074KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS35009’17.44’’MG kwa umbali wa kilomita 10.46 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba BR8 yenye majira – nukta 189234.918MS, 9291019.828KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ78054’54.51’’MG kwa umbali wa kilomita 9.47 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2