AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo lililoainishwa kwenye Jedwali inapaswa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.
3. Mipango ya Jumla na ya kina katika eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi. itaandaliwa _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN01 yenye majira - nukta 749517MS, 9033636KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 02 yenye majira - nukta 751348MS, 9034171KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki 1 Amri ya Kupanga Eneo la Mabaoni, Tazara Na Mtakuja Tangazo la Serikali na. 123 (linaendelea) kwa umbali wa kilomita 0.14 hadi kwenye alama ya ya mpaka ya upimaji namba MBN 03 yenye majira - nukta 751490MS, 9034164KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.77 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 04 yenye majira - nukta 752156MS, 9033783KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 05 yenye majira - nukta 752253MS, 9033372KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya upimaji ya upimaji namba MBN 06 yenye majira - nukta 751705MD, 9032772KZ; baada ya mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.62 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN07 yenye majira - nukta 751217MS, 9033161KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 08 yenye majira - nukta 750755MS, 9033240KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 09 yenye majira - nukta 750306 MS, 9033206KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.54 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 10 yenye majira - nukta 749821MS, 9033445KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 11 yenye majira - nukta 749616MS, 9033411KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.25 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MBN 0 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2