AI-assisted research summary: General and detailed plans for the specified area must be prepared and the table kept by the Town Planning Director and the Kondoa District Council Executive Director.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika itaandaliwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa. _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba VD268 yenye majira - nukta 223012.447MS, 9219583.037KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ50045’50.00’’MS kwa umbali wa kilomita 6.49 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba KN2 yenye majira - nukta 228125.090MS, 921507.898KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata ukingo wa mto Mtera katika uelekeo wa KS23030’53.27’’MGkwa umbali wa kilomita 6.34hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya KN3 yenye majira - nukta 225573.014MS, 9209542.668KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kukatiza mto Mloa katika uelekeo wa KS23008’00.21’’MG kwa umbali wa kilomita 4.31 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya KN4 yenye majira - nukta 223875.888MS, 9205570.229KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa kufuata ukingo wa mto Mloa katika uelekeo wa KS7028’53.30’’MS kwa umbali wa kilomita 5.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya KN5 yenye majira - nukta 224568.525MS, 9200295.188KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Amri ya Kupanga Eneo la Kwa Delo Tangazo la Serikali Na. (linaendelea) Kusini katika uelekeo wa KS49014’28.09’’MS kwa umbali wa kilomita 1.04 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya KN6 yenye majira - nukta 223776.219MS, 9199612.193KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS50043’14.45’’MG kwa umbali wa kilomita 3.51 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya KN7 yenye majira - nukta 221054.704MS, 9201838.087KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ3004’51.63’’MG kwa umbali wa kilomita 16.03 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya KN8 yenye majira - nukta 220192.703MS, 9217852.794KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ58027’57.65’’MS kwa umbali wa kilomita 3.18 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi