AI-assisted research summary: Section 3 says the listed planning table and the area planning boundaries are to be prepared and kept by the named planning authorities.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika itaandaliwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Bwanga Tangazo la Serikali na. 141 (linaendelea) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 359529.2454MS, 9661178.4336KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 800 kwa umbali wa kilomita 3.21 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 359782.8669MS, 9664383.0037KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kufuata uelekeo wa 1300 kwa umbali wa kilomita 1.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 360965.8544MS, 9665228.8818KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 1180 kwa umbali wa kilomita 1.75 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 360735.3174MS, 9666964.8954KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 1040 kwa umbali wa kilomita 1.06 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 361725.9194MS, 9667364.9462KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1280 kwa umbali wa kilomita 3.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 364542.0795MS, 9665759.5179KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 1200 kwa umbali wa kilomita 1.22 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 364557.9545MS, 9664537.1404KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 1030 kwa umbali wa kilomita 2.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 362074.5041MS, 9663910.0495KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 1050 kwa umbali wa kilomita 2.47 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 362033.8342MS, 9661434.5673KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 970 kwa umbali wa kilomita 2.51 hadi ulipoanzia.’’ Dodoma 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2