07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C8 yenye majira - nukta 364037MS, 9635899KZ; baada
Verify source ↗ AI-assisted research summary: The provision describes the boundary of the Bulega area by listing survey points, directions, distances, and coordinates.
0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C8 yenye majira - nukta 364037MS, 9635899KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 830 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C9 yenye majira - nukta 363851MS, 9635894KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 920 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C10 yenye majira - nukta 363851MS, 9635705KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C11 yenye majira - nukta 363867MS, 9635647KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa 1450 kwa umbali wa kilometa 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaj namba C12 yenye majira - nukta 363844MS, 9635346KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Mashariki katika uelekeo wa 1440 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C13 yenye majira - nukta 363912MS, 9635579KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 950 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C14 yenye majira - nukta 364069MS, 9635376KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 910 kwa umbali wa kilomita 0.07 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C15 yenye majira - nukta 364085MS, 9635300KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 1640 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C16 yenye majira - nukta 364085MS, 9635062KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 780 kwa umbali wa kilomita 0.3 ukikatiza barabara itokayo Ushirombo kutoka Bulega hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C17 yenye majira - nukta 364392MS, 9635129KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 810 kwa umbali wa kilomita 0.3 kwa kufuata barabara ya kutoka Ushirombo kuelekea Bulega hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C18 yenye majira - nukta 364287MS, 9635418KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1690 kwa umbali wa kilomita 0.2 kwa kufuata barabara ya Ushirombo kuelekea Bulega hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C19 yenye majira - nukta 364267MS, 9635574KZ; baada ya 2 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Bulega Tangazo la Serikali na. 145 (linaendelea ) hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 150 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C20 yenye majira - nukta 364394MS, 9635571KZ baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 1630 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C21 yenye majira - nukta 364623MS, 9635636KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 1010 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi ulipoanzia” Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 3