AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina ya eneo pamoja na jedwali lililoainishwa vinapaswa kuhifadhiwa na Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo na Jedwali lililoainishwa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. itaandaliwa katika 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Zanka Tangazo la Serikali na.146 (linaendelea) ______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK1 yenye majira - nukta 806316.271MS, 9354844.258KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ98010’’MS kwa umbali wa kilomita 1.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK2 yenye majira - nukta 807680.584MS ,9354648.067KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa kukatisha barabara ya Arusha - Dodoma katika uelekeo wa MS1090 24’’kwa umbali wa kilomita 0.97 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK3 yenye majira - nukta 807869.856MS, 9353692.931KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS1340 38’’MS kwa umbali wa kilomita 2.43 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK4 yenye majira - nukta 806501.594MS, 9351681.971KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS163027’’ kwa umbali wa kilomita 0.76 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK5 yenye majira - nukta 805908.447MS, 9351198.831KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS91054’’MG kwa umbali wa kilomita 0.72 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK6 yenye majira - nukta 805433.314MS, 9351747.526KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi kwa kukatiza barabara ya Dodoma – Arusha katika uelekeo wa MG169048’’ kwa umbali wa kilomita 1.40 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK7 yenye majira nukta 804342.373MS, 9352633.091KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KS102007’’MG kwa umbali wa kilomita 0.88 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ZK8 yenye majira - nukta 804737.572MS, 9353421.887KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ158014’’MG kwa umbali wa kilomita 2.12 hadi ulipoanzia.” Dodoma, ANGELINE S. MABULA, 6 Februari, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2