AI-assisted research summary: General and detailed plans for the area in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Town Planning and the Executive Director of Mufindi District Council.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi. 1 Tangazo la Serikali na. 155 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Igowole _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL yenye majira nukta 738450MS ,9048293KZ; baada ya hapo mpaka uanelekea Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.60 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 02 yenye majira nukta 737241MS, ;9048050KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 3.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 03 yenye majira nukta 736034MS, 9050937KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 04 yenye majira nukta 736525MS, 9051052KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL06 yenye majira - nukta 737499MS, 9050634KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.85 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 07 yenye majira - nukta 738549MS,9051875KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 3.02 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 08 yenye majira - nukta 741574MS, 9051944KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 09 yenye majira - nukta 741930MS, 9051717KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 10 yenye majira - nukta 741938E, 9051154KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 11yenye majira - nukta 739361MS, 9050675KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL12 yenye majira - nukta 737879MS, 9050198KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba IGL 01 hadi ulipoanzia’’ ANGELINE S. MABULA, Dodoma, 6 Februari, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2