NOTISI YA KUSUDIO LA KUONDOA MAKABURI, 2021
The notice says the listed areas are needed for public use and that there are graves in those areas.
AI-assisted research synopsis — verify against the official legal text below.
- Jurisdiction
- Tanzania
- Instrument
- Notice
- Citation
- NOTISI YA KUSUDIO LA KUONDOA MAKABURI, 2021
- Version
- Undated source snapshot
- Language
- sw
- Official source
- View official record ↗
Statute overview
About this statute
The notice says the listed areas are needed for public use and that there are graves in those areas. The notice says the Government intends to remove the graves and move them to the relevant district council cemetery area after 21 days from the notice’s publication. The graves listed in the Second Schedule of this Notice may be inspected at specified land offices and the relevant local authority offices. Wazazi au ndugu wa marehemu waliozikwa katika maeneo haya wanaweza kupinga hatua iliyokusudiwa kwa maandishi kwa Waziri wa ardhi ndani ya siku 21, au kumjulisha Waziri kwa maandishi kuwa watasogeza kaburi wenyewe kwa idhini ya Waziri ndani ya miezi 2. Objections or applications for permission to remove cemeteries under paragraph 4 must be submitted to the Minister at the stated address.
Search within this statute
Search all stored provisions in this version.
Legal text
Provisions of NOTISI YA KUSUDIO LA KUONDOA MAKABURI, 2021
Showing 6 of 6
- 1 Verify source ↗
KWA KUWA maeneo yaliyoainishwa katika Jedwali la Notisi hii
AI-assisted research summary: The notice says the listed areas are needed for public use and that there are graves in those areas.
1. KWA KUWA maeneo yaliyoainishwa katika Jedwali la Notisi hii yanahitajika kwa ajili ya matumizi ya umma na KWA KUWA kuna makaburi katika maeneo tajwa; - 2 Verify source ↗
Notisi inatolewa kwamba Serikali inakusudia kuyaondoa makaburi
AI-assisted research summary: The notice says the Government intends to remove the graves and move them to the relevant district council cemetery area after 21 days from the notice’s publication.
2. Notisi inatolewa kwamba Serikali inakusudia kuyaondoa makaburi hayo na kuyahamishia katika maeneo ya Makaburi ya Halmashauri husika kwa mujibu wa masharti ya Sheria baada ya kuisha kwa siku ishirini na moja (21) tangu kutangazwa kwa Notisi hii; - 3 Verify source ↗
Taarifa kuhusu Makaburi yanayopaswa kuondolewa zimeainishwa
AI-assisted research summary: The graves listed in the Second Schedule of this Notice may be inspected at specified land offices and the relevant local authority offices.
3. Taarifa kuhusu Makaburi yanayopaswa kuondolewa zimeainishwa katika Jedwali la Pili la Notisi hii na zinaweza kukaguliwa katika Ofisi ya Kamishna wa Ardhi, Dodoma, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa na katika Ofisi za Halmashauri husika; - 4 Verify source ↗
Ndugu wa marehemu waliozikwa katika maeneo hayo anayo haki
AI-assisted research summary: Wazazi au ndugu wa marehemu waliozikwa katika maeneo haya wanaweza kupinga hatua iliyokusudiwa kwa maandishi kwa Waziri wa ardhi ndani ya siku 21, au kumjulisha Waziri kwa maandishi kuwa watasogeza kaburi wenyewe kwa idhini ya Waziri ndani ya miezi 2.
4. Ndugu wa marehemu waliozikwa katika maeneo hayo anayo haki ya:- a) Kuwasilisha kimaandishi kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya ardhi pingamizi dhidi ya hatua inayokusudiwa kuchukuliwa ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu kutangazwa kwa Notisi hii; na b) Kumjulisha Waziri kwa maandishi kuwa, kwa idhini ya Waziri, atahamisha mwenyewe kaburi husika ndani ya miezi miwili tangu kutangazwa kwa Notisi hii. 1 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi - 5 Verify source ↗
Mapingamizi yote au maombi ya idhini ya Kuondoa Makaburi chini
AI-assisted research summary: Objections or applications for permission to remove cemeteries under paragraph 4 must be submitted to the Minister at the stated address.
5. Mapingamizi yote au maombi ya idhini ya Kuondoa Makaburi chini ya aya ya 4 yawasilishwe kwa Waziri kupitia anwani ifuatayo:- Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mji wa Serikali- Eneo la Mtumba, S.L.P 2908, 40477 DODOMA 2 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi JEDWALI LA KWANZA (Limetengenezwa chini ya aya ya 1) MAENEO YENYE MAKABURI YANAYOKUSUDIWA KUONDOLEWA NA MKOA WILAYA
Part
JEDWALI LA KWANZA
- 8 Verify source ↗
Section 8
AI-assisted research summary: Notisi hii inaonyesha kusudio la kuondoa makaburi yaliyoorodheshwa kwenye jedwali.
8. Kagera Geita Shinyanga Tabora Singida Dodoma Manyara Tanga Jumla ya Makaburi Missenyi Halmashauri ya Bukoba Muleba Biharamulo Chato Mbogwe Kahama Nzega Igunga Halmashauri ya Singida Mkalama Iramba Kondoa Hanang Kiteto Tanga Jiji Muheza Handeni IDADI YA MAKABURI 48 20 JUMLA 97 26 3 16 9 25 60 7 90 1 24 37 2 2 5 107 18 25 25 67 115 37 4 130 500 3 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi JEDWALI LA PILI (Limetengenezwa chini ya aya ya 3) TAARIFA ZA MAKABURI YANAYOKUSUDIWA KUONDOLEWA NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 Yahaya Gadafi Sudi Kagera Mastura Abdallah Kasimu Kagera Clara Maliseri Koburu Richard Renard Daud Kagera Kagera Elisa Kashangaki Teplisio Kagera Anna Ntabadde Peter Kagera Pius Christopher Mugisha Kagera Missenyi Missenyi Missenyi Missenyi Missenyi Missenyi Missenyi Missenyi Missenyi Zaifath Sadiki Said Helena Mblamaisho Marco Ahamada Hamadi Othiman Grevas Rwelamila Kevina Nyamwiza Clemence Deogratias Aloyce Kashaija Gereturuda Dominisani Buyongwe Martin Mugisha Paschal Kagera Kagera Kagera Missenyi Kagera Missenyi Kagera Missenyi Kagera Missenyi Kagera Missenyi Kagera Missenyi Projestus Paul Malisafi Kagera Missenyi Kagera Missenyi Erenestina Prospery Alakila Secilia Simon Ngilamumalo Gina Deogratius Daud Kaiza Simioni Simon/Anjelina Gervase Anastasia Tibagiliwage Selestine Sevelin Kaijage Kijoma Kagera Kagera Kagera Kagera Kagera Edwin Mugisha Sostenes Kagera Godwin Rweyemamu Lubanzibwa Kagera 4 Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Bulifani Bulifani Bulifani Kassamb ya Kilimile Mabuye Mabuye Mabuye Mabuye Mutukul a Nyabiha nga Nyabiha nga Nyabiha nga Nyabiha nga Nyabiha nga Kassamb ya Nyabiha nga Kamuli Kyaitoke Kyaitoke Kyaitoke Kyaitoke Kyaitoke Mugajwa le 2 12 4 5 1 2 3 2 2 1 2 5 1 3 1 1 1 1 1 4 1 2 6 1 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 51 Gidius Kalokola Lugemalira Murshid Kasinde Said Kagera Kagera Daud Gatole Joseph Kagera Gaudensia Petro Laurent Kagera Faustina Ezekiel Zakalia Kagera Temistockless Leopard Grasian Rwezaulo Paulo Masiga Andrea Rwakidege Michael Namugisha Novat John Kagera Kagera Kagera Kagera Frugence Mwijage Nsheka Kagera Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Halmashauri ya Bukoba Muleba Muleba Muleba Muleba Muleba Muleba Muleba Muleba Muleba Saraji Karaki Issa Felista Kokusima Emmanuel Theodory Rweyendera Ruganzi Odetha Pius Katatwile Mustafa Kamugisha Benjamini Haron Ndianabo Yahya Kagera Kagera Kagera Muleba Kagera Muleba Kagera Muleba Kagera Muleba Holestes Mzee Andrew Kagera Muleba Valentine Mshumbusi Kagera Muleba Yofamilya Kanyoni Baltazary Ngasani Konomsima Ng'onyingo Samoja Nengo Masubi Kagera Muleba Kagera Biharamulo Kagera Biharamulo Edward Simon Nhunge Paschal Mkindwa Ningu/Mgema Nengelo Makinga Paulo Mazimwe Shija Kameli Mathias Michael Rwabatika Rusatila Michael Rwabatika Rusatila Geita Geita Geita Geita Geita Geita Chato Chato Chato Chato Chato Chato 5 Mugajwa le Mugajwa le Mugajwa le Kiguzi Kiguzi Kiguzi Kakoma Kakoma Kakoma Kishuro Kiteme Kiteme Nyakany asi Nyakany asi Nyakany asi Nyakany asi Rwigem be Rwigem be Ngenge Kasoziba kaya Kasoziba kaya Busalala Busalala Ilemela Kamanga Kamanga Mkungo 1 1 2 1 1 1 2 3 1 1 1 1 4 1 1 1 2 1 4 2 1 1 4 2 2 1 3 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI Mondesta Lugendo Maige Geita Mpemba Sami Mlongo/Marko Mandago Shadracka Lugutu Yolyagwa Lubeho AICT Dispensary/Philimon Andrea Boniphace Sospeter Francis Paschal Kapembe Nzingula/Richard Gutaba Nzalalila Nyamaja Giloya Josephat Salu Kuhoka/Kulwa Nchalangi Tabu John Kunguku Chome Seni Shuka/Regina Mwandaki Suzana Masebya/Jumanne Yatobanga Paul Julius Makungwi/Chausikiu Kanyele Ilindilo Ngwhagi Seba Chato Chato Mwabaru hi Mkungo Mbogwe Lubeho Mbogwe Lubeho Mbogwe Lubeho Mbogwe Lubeho Geita Geita Geita Geita Geita Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama 1 2 4 1 3 1 1 1 1 1 1 1 8 1 2 8 1 1 1 5 5 1 1 1 2 1 Bukooba Mtaa Bumbiti Mtaa Bumbiti Mtaa Bumbiti Mtaa Mpera Mtaa Seeke Mtaa Seeke Mtaa Tumaini Mtaa Tumaini Mtaa Wendele Mtaa Butandul a Butandul a Butandul a Idala Idala Idala Idala Mbogwe Mbogwe Mbogwe Stephano Mkoma Shila Shinyanga Kahama Emmanuel Masolwa Ndulu George Maziku Mabula Shinyanga Kahama Shinyanga Kahama Dotto Shinyage Lushindika Pili Mhoja Ndeli Tabora Nzega Tabora Nzega Juma Tungu Nghombe Tabora Nzega Shija Dotto Mnyeti Tabora Samweli Luziga Makonda Tabora Juma Mshandete Ubila Elizabeth John Masanja Sesela Katembe Shija Kali Makubi Magaka Tabora Tabora Tabora Tabora Marko Masali Ndugulile Tabora Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega 6 52 53 54 55 56 57 58 59 60 61 62 63 64 65 66 67 68 69 70 71 72 73 74 75 76 77 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Nzega Igunga Masanja Mashala Masanja Tabora Sabina Bundala Kadama Tabora Kashindye Mashigati Mihambo Wile Tazina Ningili Tabora Tabora Seleman Pambe Nhonoli Tabora Mhoja Tungu Shija Kadamila John Tuma Kadushi Mihambo Ngh'Waya Felister Daudi Ngasa Zuzana Daudi Ngasa Maguzu Ngasa Maneno Nkwabi Mayunga Mandwa Masali Chambi Makula Ngalihya Malingumu Makungu Raphaeli Ilandala Magazi Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Regina Magazi Maganga Tabora 78 79 80 81 82 83 84 85 86 87 88 89 90 91 92 93 94 95 96 97 98 99 Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Tabora Juma Mahela Bundu Juma Doto Lugutu Kifunga Maganga Selemani Ntiliga Kashiwa Mholu Shija Masanja Nzela Edward Shija Masanja 100 101 102 Kashindye Masolwa Maziku Shija Peter Gagi Nyolobi Shimba Mahona/Holo Sagasu 103 Wiliam Mbulimo Muyanga Shija Mapalala Kadelya/Kishiwa Mbibi 104 Tabora Igunga Tabora Igunga 105 Mpanda Mpanda/Maliuta Tabora Igunga 106 107 Maliuta Kishiwa Shija Kahumbu Halmashauri ya Kijiji cha Igauri/Juma Mangi Tabora Singida Igunga Halmashauri ya Singida 7 Mbogwe Mbogwe Uchama Uchama Uchama Uchama Uchama Buduba Nindo Nindo Nindo Nindo Nindo Sagida Sagida Sagida Sagida Sagida Sagida Sagida Sagida Sagida Wella II Wella II Bulyang' ombe Igogo, Nanga Mwabala turu Ziba Ziba Iguari 2 3 4 4 1 4 3 1 1 2 1 1 1 1 1 1 1 1 1 1 2 1 1 6 2 1 1 1 2 2 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI 108 Juma Kanka Mwendwa Singida 109 Jacob Leons Wawa Singida 110 Gregory Mathias Kitakala Singida 111 Dionis Antipas Moshi Singida 112 113 114 115 Dionis Antipas Moshi/Yusuphu Nkindwa Jumannwe Rajabu Mwiru Jumanne Ramadhani Wawa Boniphace Kitara Njoka/Ituka Kindu Ifompa Singida Singida Singida Singida 116 Mathias Adam Loya Singida 117 Hassan Nyua Msaghaa Singida 118 Jumanne Adam Loya Singida 119 Iddi Muhamed Mungadi Singida 120 121 122 Hamisi Mjojo Abedi/Ramadhani Mwanja Mande Anna Mndulu Pangaa/Amina Rajab Labia Elisha Rashidi Kitadu Singida Singida Singida 123 Fedinand Kijiu Nkindwa Singida 124 125 Ally Abrahamani Muna(O) Fatuma juma Sinda Singida Singida 126 Saidi Omari Mwangi Singida 127 Michael Dominiko Mwimi Singida 128 Ramadhani Abubakari Tuji/Saidi Omari Mwangi Singida 129 Manase Ramadhani Singida Jambau/Shabani Lisu Senge 130 Mohamedi Kitiku Singida Mangi/Shabani Lisu Kisese Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Iguari Iguari Iguari Iguari Iguari Misinko Ntonge 3 2 1 1 1 3 4 Idisimba 10 Ifombou Ifombou Ifombou Iguari Kinyam wambo Halmashauri ya Singida Kinyam wambo Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Kinyagig i Kinyagig i Makhand i Village Mrama Mrama Mrama Mrama Misinko Misinko 8 3 1 1 2 3 1 2 2 2 1 1 2 4 1 2 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI 131 132 Ramadhani Mnyambi Muyau Hasani Yusuph Mwiru Singida Singida 133 Jumanne Rajabu Mwiru Singida 134 Ramadhani Kitiada Mwiru Singida 135 Iddi Mgogo Ntandu Singida 136 137 138 Athumani Hongoa Esya/Shabani Yusufu Mwanja Ramadhani Abdalla Omary Athumani Saidi Kwimba Singida Singida Singida 139 Rebeca Soa Banka Singida 140 Erinest Charles Madoro Singida 141 Rajab Kulungu Mtupa Singida 142 143 144 145 146 147 148 Yunus Seleman Swaleh/Ramadhani Kiduka Buruani Ramadhan Sogweda/Ramadhani Omari Kiduka Ignas Mkhotya Mwahi Amina Omari Mbutu Njile Mathias Mboyi Ramadhani Issa Ntandu Goi Lusana Seni Singida Singida Singida Singida Singida Singida Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Halmashauri ya Singida Mkalama Iramba Iramba Iramba 149 Hawa Mnyambi Nkumbi Singida Iramba 150 Josephine Athumani Ngae Singida Iramba 151 Chiku Hamadi Mlingi Singida Iramba 152 Chiku Hamadi Mlingi/Jacob Gunda Singida Iramba 153 Monica Athumani Sungura Singida Iramba 154 Iddi Said Kitula Singida Iramba 9 Misinko Misinko Misinko Misinko Msisi Msisi Mitula Mitula Mitula Mitula Mitula Nkwae Nkwae Nkwae Tumuli Misigiri Misigiri Ng’angul i Ng’angul i Simbalun gwala Simbalun gwala Simbalun gwala Simbalun gwala Simbalun gwala 2 11 1 3 2 3 1 1 2 1 1 2 1 4 1 4 2 1 2 2 2 1 1 9 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI Hanang Gorimba 155 156 157 158 159 160 161 162 Shabani Juma Issa Jumanne Rashidi Isere Halima Rajabu Iyulu Dodoma Dodoma Dodoma Kondoa Kondoa Kondoa Juma shabani Hoti Dodoma Kondoa Saidi Iddi Iyulu Isa Huseni Anchi Athumani Issa Mbuva Ali Mataka Ali Dodoma Dodoma Dodoma Dodoma Kondoa Kondoa Kondoa Kondoa 163 Shabani Hussein Mtinangi Dodoma Kondoa 164 Tatu swalehe Mriri Dodoma Kondoa 165 Saidi Hussen selemani Dodoma Kondoa 166 167 168 169 170 Dodoma Hasani Kipunde Saidi/Adamu Makambala Girigisti Mgesa Muhindi/Sungura Laghay Emmanuel Marko Ammy Manyara Manyara Lazaro Isaya Ngayay Ngayoni Kemaa Lesinyagwa Manyara Manyara Kondoa Hanang Kiteto Kiteto 171 Mwalizo Jumaa Wema Tanga Tanga Jiji 172 Jumaa Ngare Omari Tanga Tanga Jiji 173 Ismail Waziri Sembwana Tanga Muheza 174 175 Hussein Sembwana Behewa Ramadhani Mussa Kingazi Tanga Tanga Muheza Muheza 176 Amina Mbwana Mussa Tanga Muheza 177 178 Salimu Athumani Semdachi Batuli Juma Kijazi Tanga Muheza Tanga Muheza 179 Muheza District Tanga Muheza 180 181 Council/Swaibu Msigiti Shule Ya Sekondari Kerenge /Omari Mngumi Halima Omari Mohamedi/Amir Rajabu Zuberi Iyoli Iyoli Iyoli Iyoli Iyoli Iyoli Iyoli Mongoro ma Mongoro ma Mongoro ma Mongoro ma Msui Masusu Lolera Mwitikir a Pande Mtaa Ndumi Mtaa Lusanga C Lusanga C Lusanga C Lusanga C Lusanga C Lusanga C Mianga Village Mkinga Tanga Muheza Tanga Muheza Mpakani 28 10 2 6 4 4 1 1 4 7 1 1 2 4 1 1 1 1 3 2 1 48 1 2 7 5 1 9 Tangazo la Serikali na. 158 (linaendelea) Notisi ya Kusudio la Kuondoa Makaburi NA JINA LA MSIMAMIZI MKOA WILAYA KIJIJI IDADI 182 183 184 Abubakari Hussein Warisanga Serikali Ya Kijiji Tanganyika/Juma Gatuli Hosseni Ally Mnunga Tanga Muheza Tanga Handeni Tanga Muheza Mpakani 185 Tabu Maendeleo Gumbo Tanga Handeni 186 Asha Ramadhani Sefu Tanga Handeni 187 Merita Sonyo Kalao Tanga Handeni JUMLA YA MAKABURI Tanganyi ka Kwamala ho Kwamad ule Michung wani Sindeni 4 1 5 8 4 1 500 Dodoma, DKT. ANGELINE S. L. MABULA (MB.), 27 Februari, 2023 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 11
Provision text is displayed from LexChat’s stored statute record. Use the official source links to verify amendments, commencement, and current legal force.
Ask AI about this statute
NOTISI YA KUSUDIO LA KUONDOA MAKABURI, 2021
Sign in to ask AI about this statute
Sign in to start authenticated, citation-grounded statute research.
Sign in