AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the identified area must be prepared and kept by the Town Planning Director and the Executive Director of Ushetu District Council.
3. Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu. Jedwali ______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 387 yenye majira - nukta 423459MS, 9572185KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Magharibi katika uelekeo wa KZ43°01’16”MG kwa umbali wa kilomita 2.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 339 yenye majira - nukta 422027MS, 9573743KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ27°14’13”MS kwa umbali wa kilomita 2.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 340 yenye majira - nukta 423087MS, 9575838KZ; baada ya hapo 1 Tangao la Serikali Na. 177 (linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Iramba mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KZ76°04’55”MS kwa umbali wa kilomita 0.24 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 409 yenye majira - nukta 423332MS, 9575769KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ07°12’53”MG kwa umbali wa kilomita 1.94 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 410 yenye majira - nukta 423079MS, 9577683KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS73°08’57”MG kwa umbali wa kilomita 1.75 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 385 yenye majira - nukta 418919MS, 9576427KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS27°15’10”MG kwa umbali wa kilomita 1.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 386 yenye majira – nukta 418123MS, 959574877KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS63°10’25”MG. kwa umbali wa kilomita 5.98 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2