AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali inapaswa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa na Jedwali kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu. itaandaliwa katika ______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 526 yenye majira - nukta 412350MS,9540837KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ79°47’26”MS kwa umbali wa kilomita 3.66 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 494 yenye majira – nukta 415912MS,9541524KZ; - Mashariki katika uelekeo wa baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini 1 Tangazo la Serikali Na.176 (Linaendelea) Amri ya Kupanga Eneo la Mbika KS87°37’03”MS kwa umbali wa kilomita 0.42 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 546 yenye majira - nukta 416371MS,9541528KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS20°38’18”MS kwa umbali wa kilomita 4.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 495 yenye majira – nukta 416597MS,9537189KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS13°02’14”MS kwa umbali wa kilomita 2.32 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 496 yenye majira – nukta 417116MS,9534977KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KS09°04’16”MG kwa umbali wa kilomita 6.47 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 497 yenye majira – nukta 416106MS,9528529KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS80°54’15”MG kwa kufuata mto Kasenga kwa umbali wa kilomita 5.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 460 yenye majira – nukta 411370MS,9529312KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ01°46’18”MG kwa umbali wa kilomita 4.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 461yenye majira – nukta 411174MS, 9534478KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ08°56’04”MG kwa umbali wa kilomita 5.37 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba SHV 467 yenye majira – nukta 412041MS, 9539798KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa KZ15°39’06”MS kwa umbali wa kilomita 1.16 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2