AI-assisted research summary: The demarcated area listed in the Schedule must be prepared and kept by the Town Planning Director and the Executive Director of Tandahimba District Council.
3. Mipangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Malopokelo Na Old Tangazo la serikali na. 191 (linaendelea) Tandahimba _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT1 yenye majira - nukta 568737SM , 8811568KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 000 06’29’’ kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT2 yenye majira - nukta 568740MS ,8811896KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 610 47’12’’kwa umbali wa kilomita 2.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT3 yenye majira - nukta 566544MS, 8810720KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki hadi barabara ya Newala - Mtwara katika uelekeo wa 790 56’26’’ kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT4 yenye majira - nukta 566871MS, 8810329KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 800 09’39’’ kwa umbali wa kilomita 0.465 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT5 yenye majira - nukta 567331MS, 8810253KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Mashariki katika uelekeo wa 690 12’59’’kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT6 yenye majira - nukta 567616MS, 8809418KZ ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 020 07’44’’ kwa umbali wa kilomita 0.9 kwenye hadi alama ya mpaka ya upimaji namba MT7 yenye majira - nukta 568140MS, 8809230KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 730 37’08’’ kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT8 yenye majira –nukta 568174MS, 8810137KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Masharki katika uelekeo wa 020 06’55’’ kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba MT9 yenye majira -nukta 568787MS, 8810318KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 020 06’55’kwa umbali wa kilomita 1.238 hadi ulipoanzia.” Dodoma 6 February, 2023 ANGELINE S. MABULA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2