AI-assisted research summary: The Town Planning Director and the Newala District Council Executive Director must prepare and keep the general and detailed plans for the area in the table.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo la kwenye Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala. 1 Amri ya Mipango Miji ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Katika Eneo la Hospitali Kitangari GN. NO. 216 (Contd.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H1 yenye majira - nukta 538914MS, 8821708KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa 400 15’48’’ kwa umbali wa kilomita 0.657 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H2 yenye majira - nukta 537589MS, 8821207KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa kufuata barabara ya Mtopwa-Kitangari hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H3 yenye majira - nukta 536517MS, 8821938KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 110 23’43’’ kwa umbali wa kilomita 0.139 hadi kwenye alama ya mpaka ya upiamji namba H4 yenye majira - nukta 536544MS, 8822074KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 650 07’24’’ kwa umbali wa kilomita 0.417 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H5 yenye majira - nukta 536923MS, 8822250KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 140 27’18’’ kwa kilomita 0.492 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H6 yenye majira - nukta 536800MS, 8822726KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 670 06’59’’ kwa umbali wa kilomita 0.176 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H7 yenye majira - nukta 536637MS, 8822795KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 160 27’36’’ kwa umbali wa kilomita 0.146 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H8 yenye majira - nukta 536596MS, 8822935KZ;baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 750 13’51’’ kwa umbali wa kilomita 0.12 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H9 yenye majira - nukta 536712MS, 8822966KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 420 42’34’’ kwa umbali wa kilomita 0.112 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H10 yenye majira - nukta 536789MS, 8822883KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 880 04’10’’ kwa umbali wa kilomita 0.565 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H11 yenye majira - nukta 537354MS, 882286KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 410 55’14’’ kwa umbali wa kilomita