AI-assisted research summary: The general and detailed plans for the area listed in the Schedule must be prepared and kept by the Town Planning Director and the Executive Director of Bukombe District Council.
3. Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Msasa Tangazo la Serikali Na. 218 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 339268MS, 9628626KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini- Magharibi katika uelekeo wa 1210 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 339140MS, 9628944KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kasini – Magharibi katika uelekeo wa 1350 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 338821MS, 9629075KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskusini - Magharibi katika uelekeo wa 1160 kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 338595MS, 962886KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini- Magharibi katika uelekeo wa 810 kwa umbali wa kilomita 0.06 kupitia Runzewe hadi barabara kuu ya Ushirombo hadi alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 338573MS, 9628809KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi katika uelekeo wa 670 kwa umbali wa kilomita 0.1 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 338528MS, 962866KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki katika uelekeo wa 1220 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba yenye majira ya nukta 338706MS, 9628455KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 1730 kwa umbali wa kilomita 0.3 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira – nukta 338916MS, 9628267KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini – Mashariki katika uelekeo wa 980 kwa umbali wa kilomita 0.2 hadi alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 339081MS, 9628404KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki katika uelekeo wa 780 kwa umbali wa kilomita 0.06 kupitia Runzewe hadi ulipoanzia’’ Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2