AI-assisted research summary: The overall and detailed Mipangoya for the area listed in the Schedule must be prepared and kept by the Director of Urban Planning and the Mafinga Town Director.
3. Mipangoya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Mafinga. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Amani Tangazo la Serikali Na. 220 (Linaendelea.) _______ JEDWALI ________ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo: “Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 01 yenye majira - nukta 753530MS, 9083510KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 2.43 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 02 yenye majira - nukta 753772MS, 9083490KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 3.28 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 03 yenye majira – nukta 753872MS, 9083178KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 04 yenye majira - nukta 753891MS, 9083190KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa Kilomita 1.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 05 yenye majira – nukta 754071MS, 9083176KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 06 yenye majira – nukta 753977MS, 9082816KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.62 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 07 yenye majira - nukta 753741MS, 9082932KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa Kilomita 3.70 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 08 yenye majira - nukta 753529MS, 9082232KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea mashariki hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 09 yenye majira - nukta 753553MS, 9083234KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 2.80 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba AM 01 hadi ulipoanzia’’ Dodoma, …………, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2