AI-assisted research summary: Mamlaka mbili zilizotajwa zinapaswa kuandaa na kuhifadhi mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali.
3. Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Usanda Tangazo la Serikali Na. 232 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 529931.489MS, 9578652.717KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS86º46’05.34’’MG kwa umbali wa kilomita 2.145 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 532073.422MS, 9578773.664KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ31º26’09.49’’MG kwa umbali wa kilomita 2.689 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 533476.017MS, 9576479.085KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS68º16’44.75’’MS kwa umbali wa kilomita 5.149 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 529297.493MS, 9574862.393KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KS35º15’56.11’’MS kwa umbali wa kilomita 0.895 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 528780.542MS, 9575593.440KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KS02º14’00.92’’MG kwa umbali wa kilomita 1.801 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 529746.167MS, 9577023.834KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KZ67º32’23.51’’MG kwa umbali wa kilomita 0.968 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 528850.769MS, 9577393.990KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS06º29’26.78’’MG kwa umbali wa kilomita1.639 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2