AI-assisted research summary: The Urban Planning Director and the Executive Director of Shinyanga District Council must prepare and keep general and detailed plans for the area listed in the Schedule.
3. Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. 1 Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Solwa Tangazo la Serikali Na.233 (Linaendelea.) _______ JEDWALI _______ (Limetengenezwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 485427.129MS, 9625302.424KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS72º49’58.23’’MG kwa umbali wa kilomita 4.495 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 489722.699MS, 9626629.427KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KZ07º41’18.41’’MG kwa umbali wa kilomita 1.476 hadi kwenye alama kwenye akama ya mpaka ya upiamji namba C yenye majira - nukta 489920.214MS, 9625166.359KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ29º21’27.91’’MG kwa umbali wa kilomita 1.745 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 490776.109MS, 9623644.767KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KZ57º31’03.40’’MS kwa umbali wa kilomita 1.08 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 489858.370MS, 9623060.500KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS80º49’47.76’’MS kwa umbali wa kilomita 1.202 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 488671.055MS, 9623252.166KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KZ16º19’54.14’’MS kwa umbali wa kilomita 2.038 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 488097.751MS, 9621295.640KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS79º21’20.08’’MS kwa umbali wa kilomita 1.446 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 486676.364MS, 9621562.786KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS20º32’38.70’’MG kwa umbali wa kilomita 1.901 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 487343.805MS, 9623343.759KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KS79º27’00.73’’MS kwa umbali wa kilomita 2.093 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 485285.509MS, 9623727.093KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KS05º08’13.23’’MG kwa umbali wa kilomita 1.581 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi 2