AI-assisted research summary: Mipango ya jumla na ya kina kwa eneo lililo kwenye Jedwali lazima iandaliwe na kuhifadhiwa na viongozi waliotajwa.
3. Mipango ya jumla na kina kwa eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Iselamagazi Tangazo la Serikali Na. 236 (Linaendelea.) _____ JEDWALI _______ (Limeandaliwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 512606.317MS, 9610905.535KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS85º02’56.28’’MS kwa umbali wa kilomita 3.421 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 516028.265MS, 9610609.100KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki - Kusini katika uelekeo wa KS67º04’50.55’’MS kwa umbali wa kilomita 1.74 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 562630.40MS, 9606160.48KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa KS05º34’25.24’’MG kwa umbali wa kilomita 2.86 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 517356.319MS, 9607084.036KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa KZ89º50’03.13’’MG kwa umbali wa kilomita 3.65 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 513706.622MS, 9607094.597KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ03º38’05.30’’MG kwa umbali wa kilomita 2.53 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 513546.107MS, 9609621.415KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi - Kaskazini katika uelekeo wa KS76º38’45.61’’MS kwa umbali wa kilomita 1.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 513546.107MS, 9609621.415KZ, baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ23º01’43.67’’MS kwa umbali wa kilomita 1.032 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 Februari, 2023 ANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi