AI-assisted research summary: Sehemu hii inaweka mipaka ya eneo la urasimishaji kwa kuripoti alama za mpaka na umbali/viwango vya mwelekeo kutoka pointi A hadi kurudi mahali ilipoanzia.
3. Mipango ya Jumla na kina kwa eneo na Jedwali lililoainishwa kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. itaandaliwa katika Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ishinabulandi Tangazo la Serikali Na. 237 (Liandelea.) _____ JEDWALI ______ (Limeandaliwa chini ya aya ya 2) Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatayo:- “Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 540876.667MS, 9585362.019KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki - Kaskazini katika uelekeo wa KZ57º57’49.64’’MG kwa umbali wa lilometa 2.79 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 543242.044MS, 9583881.888KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KZ33º36’53.55’’MG kwa umbali wa kilomita 0.94 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 542724.175MS, 9583102.872KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KZ59º22’15.06’’MS kwa umbali wa kilomita 1.35 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 541560.962MS, 9583791.593KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini – Magharibi katika uelekeo wa KZ33º49’46.24’’MS kwa umbali wa kilomita 0.91 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira - nukta 541055.487MS, 9583037.363KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa KS83º35’52.32’’MS kwa umbali wa kilomita 2.44 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 538632.442MS, 9583309.243KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KS37º09’38.69’’MG kwa umbali wa kilomita 1.11 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 538632.442MS, 9583309.243KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki - Kusini katika uelekeo wa KZ61º41’08.80’’MG kwa umbali wa kilomita 0.76 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 538632.442MS, 9583309.243KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ30º26’01.30’’MG kwa umbali wa Kilomita 1.18 hadi ulipoanzia.” Dodoma, 6 Februari, 2023 BANGELINE S. MABULA, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi